Uchaguzi 2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

Lengo ni kutoa burudani tu na kuhamasisha vijana wakapige kura ila limedhaminiwa na ccm, sio kampeni wala tamasha la dini useme utawapangia watu wafanze nini
 
Eric Shigongo deni lake la kuwachapishia T-shirt za kampeni uchaguz uliopita vipi kalipwa huu ndio muda wakudai haki yake ccm matapeli
 
Lahovyo sana eti na Rais alikuwepo na vyombo vya dola. Huku wakirusha video na picha za kufabricate.
 
Wataishia kuomba radhi tu hawana jipya
Ila hawa jamaa si mchezo yaan wapo wapo tu
Itakuwaa kuna mmoja alimchongea mwenzake kwenye mchongo wa kipeana hizo senti senti za kimaskini za CCM. Jamaa alimkata mtama live live. Kwenye makamera.

Hawa ndio wanaofanya fujo mikutano ya chadema. Sasa wameota sugu na mapembe.
 
Nakumbuka MBASHA baada ya mtama akaanza kusema "ADAM..ADAM.... ADAM pigana na yesuuuu,ADAM,ADAM pigana na yesuuuuu!!"baada ya kipigo kukolea akasema "baba ni wewe uliuumba ulimwengu na ukamuumba ADAM...simama nami katika JUKWAA hili....!!!
 
Mbaya zaidi ni kumshirikisha Rais wa nchi kwenye uhuni huu wa Polepole.
Kumfanya apige simu katikati ya shughuli na kusema yuko nyuma ya TV anafuatilia ni aibu kwa taifa zima. Yaani Rais anaacha kushughulika na mambo ya maana anafuatilia uhuni ule na mibangi?
Hata kama hatumkubali lakini kwa sasa ndio rais na tunamlipa na kumtunza kama nembo ya taifa letu na sio kusanyiko la kihuni. Ebo!
 
Ubora wake, walifanikiwa kulipa vijana waliowaita Wasanii kwa pesa ndogo ndogo na wengine kukopwa kwa ahadi ya kutumika kwenye kampeni (kuwa compasated) basi hilo tu. [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nakumbuka MBASHA baada ya mtama akaanza kusema "ADAM..ADAM.... ADAM pigana na yesuuuu,ADAM,ADAM pigana na yesuuuuu!!"baada ya kipigo kukolea akasema "baba ni wewe uliuumba ulimwengu na ukamuumba ADAM...simama nami katika JUKWAA hili....!!!
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Itakuwaa kuna mmoja alimchongea mwenzake kwenye mchongo wa kipeana hizo senti senti za kimaskini za CCM. Jamaa alimkata mtama live live. Kwenye makamera.

Hawa ndio wanaofanya fujo mikutano ya chadema. Sasa wameota sugu na mapembe.
CCM hawana uwezo wa kufanya kitu kikawa na impact nzuri kwenye jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…