Uchaguzi 2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

Hivi mbona watawala watangulizi hawakupenda kusifiwa hivi. Kwa nini utawala huu unataka na kung'ang'ania sana kusifiwa. Hivi hii ni nini sasa! Kuna nini? Yaani ushamba uliooneshwa juzi wa kuita wasanii na kutumia fedha zote hizo wakati mama zetu huku mavijijini hawana dawa na wanajifunika mashuka ambayo ni vitambaa walivyopewa na CCM ni ushamba kweli kweli.
 
Hahaa acha bwana kumkumbusha machungu. Hadi leo hajasikika tena.
Ukifanya biashara na ccm akikisha mnamalizana kabisa wakisema tunakutangulizia ndio mmemaliza siri zote za makubaliana ya show ya mitama kiasi kilichobaki tutajua baada ya chaguzi watakuja kulialia humu kua wametapeliwa.
 
point ya maana Kaka
 
Wivu Inaonesha umekujaa
 
Mzee umesahau kichwa cha habari kilisemaje?
UHURU KUNA JAMBO... Na jambo lenyewe ndio lile.. Ccm walisema kupitia katibu mkuu wao kwamba mwaka huu hwata tumia waimbaji kuwapigia kampeni..
Baada ya CHADEMA kubadilisha upepo tumeona zaidi ya nyimbo, wengine wametafuta na makanisa yawape tunzo..
 
Acha wivu.. nanyi Chadema mufanye yenu.. si pesa munazo za mabeberu pia.. kutumbuiza wananchi..

Magufuli 2020 💯
 
Mbona hiyo ni sifa sahihi ya ccm, inakuwaje unashangaa na wakati hakuna jambo lolote la kushangaza hapo ?, hiyo ndio ccm ambayo nashangaa sana watanzania kuendelea kuipigia chepuo na kuishangilia, ccm ni genge la wahuni, hao viongozi wao wa juu wanajifanya kujionesha watu wa maana wakati ni watu wa ovyo kabisa, na ni kwa sababu wanategemea jeshi la polisi, juzi hapa tumeona mkuu wa wilaya Sabaya kule Hai alipoongoza genge la wahuni kwenda kufanya fujo kwenye mkutano wa Tundu Lissu na jeshi la polisi likiwa linawalinda ili wafanye fujo salama, utakumbuka pia kule zanzibar.
 
Ukiachana na kichwa Cha habari mengine aliyoyaandika mleta mada hayana mantiki kabisa.

Kuna shida kubwa ya kufikisha ujumbe kwa watu wengi.
 
uko sahihi , kingine ni hiki , 80% ya watumbuizaji na wahudhuriaji hawakuwa wanaccm akiwemo Mbasha na Adam , ila wengi walijifanyisha kama wafanyavyo siku zote ili kujilinda na kuendelea kujipigia mpunga wa bure
mbasha ni ccm damu damu
 
Ukisikia wivu wa kike ndo huu. Eti bila vurugu iliyotokea hakuna mtu angejua kuhusu tamasha. Lile nyomi la watu lilitokea wapi kama hakuna mtu aliekua anajua kuhusu hilo tamasha. Unataka TAKUKURU iangalie mapato na matumizi, nani alikuambia lile Tamasha lilikua na mapato? unadhani hii ni SACCOS yenu ya Ufipa, mliozoea kuibia watu hela? Watu waliingia bure na wasanii wote walijitolea kuisupport CCM hakuna hata mmoja alielipwa. Umekurupuka kuandika uzi wakati huna taarifa sahihi, aendaeni Tamasha lenu tuwaone kama mtapata support waliyopata CCM.
 
acha stori za kitoto watazmaji walilipiwa na ccm,hakuna msanii aliyetumbuiza bure pale,pale hakunahata mwenye uwezo wa kushona tu sare,wote waliimba maudhui yanayofanna ya kumsifia mungu wenu,kilichotrendi ni ule mtama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…