Uchaguzi 2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

acha stori za kitoto watazmaji walilipiwa na ccm,hakuna msanii aliyetumbuiza bure pale,pale hakunahata mwenye uwezo wa kushona tu sare,wote waliimba maudhui yanayofanna ya kumsifia mungu wenu,kilichotrendi ni ule mtama.
Hakuna alielipwa. Pole pole aliongea hilo wakati wa uzinduzi na wasanii walihojiwa wakathibitisha hilo. CCM walichogharamia ni kuandaa majukwaa n.k. Acheni wivu wa kike, andaeni na nyinyi la kwenu kama ubavu mnao.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
uko sahihi , kingine ni hiki , 80% ya watumbuizaji na wahudhuriaji hawakuwa wanaccm akiwemo Mbasha na Adam , ila wengi walijifanyisha kama wafanyavyo siku zote ili kujilinda na kuendelea kujipigia mpunga wa bure
Ni wivu tu. Andaeni la kwenu, SACCOS ipige mpunga.
 
acha wapinzaniwaliounga juhudi waliunga bure bila senti
 

umetoka wimbo wa roma unaitwa lissu jamaa hadi kaukana maana ni aibu kua kwenye ilo saccoss
 
We ungeitwa mvuta bange mchana kweupe mbele ya mamia ya watu ungechukulia poa??
 
wale watoto waliojaa uwanjani sijui walitoka shule gani maskini hata wakiambiwa waaimbe maguuli hawakutaka
 
kingine ni hiki , 80% ya watumbuizaji na wahudhuriaji hawakuwa wanaccm akiwemo Mbasha na Adam , ila wengi walijifanyisha kama wafanyavyo siku zote ili kujilinda na kuendelea kujipigia mpunga wa bure
So hawa ni watu wa vyama gani?
 
wale watoto waliojaa uwanjani sijui walitoka shule gani maskini hata wakiambiwa waaimbe maguuli hawakutaka
Kila wakihimiza watu washangilie wapi. Watu wako kimya. Nashawishika kusema zile video zilizokuwa transimited kwenye Tv zilikwa fabricated kwa kunga unga matukio tofauti. Maana video hazioneshi companion ya tukio.
 
Delete ccm Oct 28
 
Kwenye matangazo watu wengi hawapendi kutumia watu maalumu kwaajili ya matangazo eti wanagharama athari zake ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…