Tathmini: Uongozi wa Rais Samia Suluhu ndani ya mwaka mmoja

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Anaandika, Robert Heriel

Taikon wa Fasihi.

Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja.

Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo.

Dondoo
1. Utangulizi
2. Kujitambulisha na kuchagua upande
3. Upimwaji
4. Kushindwa
5. Kushinda
6. Nini KIFANYIKE.
7. Hitimisho.

1. Samia Suluhu Hassan ni Rais wa sita tangu nchi yetu ipate Uhuru
Licha ya sifa zingine zote, lakini kitu pekee ambacho kitabaki Kama historia Kwa taifa letu kupitia yeye ni kuwa ndiye Rais wakwanza mwanamke katika nchi yetu.

Kuingia Kwa Samia Suluhu katika nafasi ya Urais hakukupokelewa vizuri na waliowengi ukizingatia kuwa Nchi yetu Kama zilivyonchi za Afrika ni nchi yenye Dhana ya Mfumo dume. Na siajabu mpaka hivi leo wapo watu ambao bado hawamkubali Raia Samia kutokana na jinsia yake.

Rais Samia anayokazi ya ziada kuitengeneza njia ya wanawake wengine wa nchi yetu Kwa kufanya mazuri ili kuondoa dhana kuwa mwanamke hawezi kushika nafasi ya juu ya kiuongozi ndani ya nchi.

Hata hivyo Kama nikiambiwa niseme ukweli, nitasema kuwa, Kwa nchi yetu hii bado Dhana potofu kuhusu mfumo dume ipo, hivyo hata Samia angefanya mazuri Kwa kiwango gani, bado kwenye jamii watu wakiambiwa wapige Kura anaweza asipewe Kura na waliowengi.
Hivyo ni muhimu elimu ya jinsia izidi kutolewa ili kuleta Uelewa na mipaka ya kijinsia jamii iweze kuelewa manufaa yake.

2. Rais Samia aliweza kujitambulisha baada ya kutambulishwa na chama chake
Kujitambulisha ni hatua ya awali kabisa katika suala la uongozi na Maisha. Kujipambanua yeye ni Nani, falsafa yake ya maisha, na matazamio yake.

Katika kujitambulisha Mama Samia mara kadhaa alikuwa akieleza kuwa yeye ni Rais mwenye umbile(jinsia) ya kike. Jambo ambalo angelisema mara moja au mbili lingeeleweka lakini kulirudia rudia ilifanya wengine tuanze kuona kuna tatizo, sio ajabu niliwahi andika makala inayomshauri aachane na kuelezea jinsia yake kwani hiyo haileti tafsiri nzuri. Hiyo ilikuwa miezi sita ya Mwanzo, baadaye akaacha nafikiri ni baada ya kuanza kuzoea na ku-master kazi yake mpya.

Mama Samia Katika kuchagua upande Kama nikimtathmini na nikiambiwa niseme ukweli wowote, nakiri kuwa amechagua upande wa KIBEPARI, ambayo kimsingi ndio msingi wa biashara katika Karne yetu.

Upande wa kibepari unapendelewa zaidi na matajiri, hivyo Kwa kuuchagua upande huo ni dhahiri kuwa biashara nyingi zitaneemeka na matajiri wataongezeka.

Hata hivyo hatuweza kukataa kuwa Gap baina ya Tajiri na Masikini tunalitarajia kuongezeka Kwa miaka mitatu mpaka mitano inayokuja ikiwa Hali itaendelea kama ilivyosasa.

Mama Samia Katika kuchagua upande wa kibepari, anapendelea demokrasia ya kiuchumi zaidi kuliko ya Kisiasa, na Kama itakuwepo demokrasia ya Kisiasa basi isiguse maslahi ya kiuchumi.

Demokrasia ya kiuchumi itaruhusu nchi kufunguka Kwa wenye mitaji na mitandao au waliopo kwenye mifumo. Lakini wale wasio na kimoja Kati ya hivyo basi habari Yao itakuwa imekwisha.

Mfumo wake ni mzuri Kwa kiasi kikubwa kwani angalau kundi Fulani litanufaika na kunufaisha makundi mengine.

3. Kupimwa ni sehemu muhimu baada ya kujitambulisha
Mama Samia alipimwa Kwa namna kadhaa, iwe na watu wampendao au watu wamchukiao.
Kupimwa ni kupimwa tuu. Lengo la kupokea ni kumfanya mpimwaji aonyeshe uwezo wake.
Katika matokeo Kwa mujibu wangu, matokeo yananiambia kuwa amefaulu kwa 60% tu.

📍Ndani ya chama chake amefaulu Kwa 100% Kwa kudhibiti wanaoitaka nafasi yake.
📍 Vyama vingine vya Siasa amefaulu Kwa 40%. Kesi ya Mbowe na wenzake ni sehemu ya changamoto iliyomshushia maksi.
📍 Uchumi amepata 60% kilichomkosesha naksi nyingi ni kupanda bei Kwa baadhi ya bidhaa.
📍 Uhusiano kimataifa amefaulu 100%
📍 Uhusiano wa kujenga umoja ndani ya nchi amefaulu 50% zingine amekosa kutokana na nature ya nchi yetu hasa ya Mfumo dume, pia baadhi ya makundi(Kama yapo) kuhusu sukuma gang Vs Msoga gang. Haya ameyakuta hivyo yeye sio chanzo Ila yatahesabiwa kwani anawajibu WA kuyaondoa.

📍 Ulinzi na Usalama ndani ya nchi na mipaka amefaulu Kwa 90% hizo Asilimia 10 alizokosa ni kutokana na kuripotiwa baadhi ya matukio ya mauaji na kuungua Kwa masoko. Kwenye kuungua Kwa masoko bado watu hawaridhishwi na matokeo ya uchunguzi.

Kwenye matukio mengine ya uhalifu Kama mauaji huku wanajitahidi kufuatilia na hii inafanya watu wasione kwamba serikali inahusika na matukio hayo, tofauti na awamu iliyopita.

📍 Mahusiano ya vyombo vya Dola na Raia amepata 70%. Hizo 30 alizokosa ni kutokana na baadhi ya Askari wasio waaminifu kujiingiza katika uhalifu na kulichafua Jeshi la polisi. Matukio ya polisi kuhusishwa na Rushwa na matukio ya mauaji pia yamefanya baadhi ya wananchi kukosa Imani na vyombo vya Dola.

Serikali inapaswa ifanye marekebisho na kulisuka upya Jeshi la polisi.

📍 Uhuru wa vyombo vya habari na wananchi kutoa maoni 90%. Kwa sasa vyombo vya habari na watu wanauhuru WA kutoa maoni na ndio maana sasa tunaweza sikia habari nzuri na mbaya Maeneo yote nchini.

4. Katika maisha kupo kushindwa pia
📍Raia Samia Suluhu ameshindwa kudhibiti ongezeko la bei Kwa baadhi ya bidhaa hasa vyakula.

📍 Mama Samia ameshindwa kufanya maridhiano na wanachama wa CHADEMA. Kila mmoja hataki kujishusha.

📍 Mama Samia Ameshindwa kuitisha uchunguzi wa matukio ya mauaji na utekaji yaliyotokea yaliyo Kwa mrengo wa Kisiasa. Hata hivyo Kwa vile ndio kwanza mwaka mmoja, ngoja tuwe na subira huenda ataunda tume ya uchunguzi.

📍 Mama ameshindwa kuzuia pesa ya kuingiziwa umeme ibaki Ile Tsh 20,000 na kuipeleka zaidi ya laki tatu Kwa baadhi ya Maeneo.

5. Kushinda na Kufanikiwa
📍 Mama Samia amefanikiwa kuifungua nchi hasa Kwa wale wenye macho, mitaji na connection.

📍 Mama Samia amefanikiwa kuleta mahusiano mazuri kimataifa na wawekezaji.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutoa wazo na kulisimamia kuhusu ujenzi wa madarasa na limefanikiwa Kwa kiwango kikubwa.

📍 Mama Samia amejitahidi kuleta USAWA wa kijinsia ingawaje bado anakazi ya ziada.

📍. Mama Samia amefanikiwa kuzimudu Siasa za demokrasia Kwa kuachia Uhuru wa kukosolewa na kushambuliwa.

📍 Mama Samia amefaniliwa mpaka hivi sasa kudhibiti maadui wa awali ndani ya chama chake.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutokuwa na migogoro na chuki Kwa wafanyabiasha wakubwa. Hii italeta Uhuru katika uwekezaji kwani matajiri watakuwa huru kutumia mitaji Yao.

📍 Mama Samia amejitahidi kuonyesha uhalisia wa nchi yetu kuwa ni masikini na bila mikopo hakuna tutakachofanya zaidi ya kuchelewa tuu.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutokuwa na adui mwenye chuki iliyopitiliza ukilinganisha na Mtangulizi wake.
Adui zake wanachuki za wastani na hawajamkamia kikamilifu.

📍 Mama Samia amefanikiwa kuongoza Kwa Asilimia kubwa pasipo kutumia mihemko na maneno machafu Kwa kuponda na kukashifu watu wengine.

6. Nini kifanyike
📍 Katiba mpya ni MUHIMU mengine yafuate.

7. Hitimisho
Binafsi uongozi wa Mama Samia licha ya kuwa na mapungufu ya hapa na pale lakini ni wazo wengi wetu tuna Amani.
Hayo mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo hayajavuka mipaka.

Ninaufurahia uongozi wa Samia, maboresho machache yajikite kwenye elimu ya utambuzi Kwa wananchi, Wananchi wasiwe tegemezi Kwa serikali, kila kitu wasiilaumu serikali Bali wawe Sehemu ya kutatua kero na changamoto zinazoikabili nchi.

Kingine, masuala ya uvyama Vyama ndio yanaharibu nchi. Pawepo na Sera kuu za nchi Kwa miaka kumi kumi, na kila chama kiandike ilani yake kupitia Sera za nchi na kuzitekeleza pindi kishikapo Dola.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
Nini kifanyike?

- Katiba mpya na mengine yafuate.

Hitimisho hili linatia shaka kwani mtaani sauti za kudai katiba zinaendelea kufifia.
 
Hapo kwa bei za vitu kupanda namtetea ,sio ishu ya ndani bali ni mambo yaliyo nje ya uwezo wa serikali Kwa sababu visababishi vimetoka Nje kuliko ndani na Serikali haiwezi kutoa ruzuku kwa kila bidhaa.

Kiujumla amefaulu kwa zaidi ya asilimia 80%

Screenshot_20220128-082114.png
 
Nampongeza raisi wangu SSH. Na mleta mada ndg Robert umejitahidi japo hujabainisha umetumia data zipi mpaka unaweka za viwango kabisa sijui 80%

Napenda mheshimiwa awe muazi haswa kwenye mapato,matumizi,mikopo na mipango endelevu ya kumalizia miradi.

Bado upo udhaifu wa nidhamu kwa watumishi wa umma wote including mapolisi.

Napendekeza kuwe na tumbua hata kama isipotangazwa hadharani lakini watu wasiotenda au wabadhirifu hatua kali zichukuliwe si lazima zitangazwe

Kuwe na usimamiaji wa.nguvu wa fedha ya umma na sio matamko na.maombi . Naombeni mkatimize wajibu wenu hiyo kauli kwa sisi wabongo inazidisha mbinu vichwani mwa wahasibu na wadokoaji kuzunguka controls.

Marehemu JPM lenders wakubwa walimkopesha sababu walijua hela zinaenda kutimiza malengo yaliyokusudiwa sasa mama naona kama waheshimiwa wengine wanaenda kuongeza wake sababu mifuko iko mtibwa kwa kudokoa hela za umma.

Tunapenda kujua mipango ya muda mfupi na.mrefu shukrani kaja Bi Venus nyota ataweza kutoa kiu ya wananchi ya kujua raisi anataka kutupeleka wapi ana atatutendea nini.

Kwa mfano suala la climate change hakuna mipango inayoeleka na imefahamishwa wananchi miaka 10 ijayo itakuwaje

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa bei za vitu kupanda namtetea ,sio ishu ya ndani bali ni mambo yaliyo nje ya uwezo wa serikali Kwa sababu visababishi vimetoka Nje kuliko ndani na Serikali haiwezi kutoa ruzuku kwa kila bidhaa.

Kiujumla amefaulu kwa zaidi ya asilimia 80%

View attachment 2105498

Napokea maelezo yako Mkuu.
🙏🙏
 
Nampongeza raisi wangu SSH. Na mleta mada ndg Robert umejitahidi japo hujabainisha umetumia data zipi mpaka unaweka za viwango kabisa sijui 80%

Napenda mheshimiwa awe muazi haswa kwenye mapato,matumizi,mikopo na mipango endelevu ya kumalizia miradi.

Bado upo udhaifu wa nidhamu kwa watumishi wa umma wote including mapolisi.

Napendekeza kuwe na tumbua hata kama isipotangazwa hadharani lakini watu wasiotenda au wabadhirifu hatua kali zichukuliwe si lazima zitangazwe

Kuwe na usimamiaji wa.nguvu wa fedha ya umma na sio matamko na.maombi . Naombeni mkatimize wajibu wenu hiyo kauli kwa sisi wabongo inazidisha mbinu vichwani mwa wahasibu na wadokoaji kuzunguka controls. Marehemu JPM lenders wakubwa walimkopesha sababu walijua hela zinaenda kutimiza malengo yaliyokusudiwa sasa mama naona kama waheshimiwa wengine wanaenda kuongeza wake sababu mifuko iko mtibwa kwa kudokoa hela za umma.

Tunapenda kujua mipango ya muda mfupi na.mrefu shukrani kaja Bi Venus nyota ataweza kutoa kiu ya wananchi ya kujua raisi anataka kutupeleka wapi ana atatutendea nini. Kwa mfano suala la climate change hakuna mipango inayoeleka na imefahamishwa wananchi miaka 10 ijayo itakuwaje

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app

MKUU

Kwa Hali inavyoendelea wenye macho, mitaji na connection watafaidika.

Wapenda lawama watabaki kulalamika.
 
Anaandika, Robert Heriel

Taikon wa Fasihi.

Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja.

Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo.

Dondoo
1. Utangulizi
2. Kujitambulisha na kuchagua upande
3. Upimwaji
4. Kushindwa
5. Kushinda
6. Nini KIFANYIKE.
7. Hitimisho.

1. Samia Suluhu Hassan ni Rais wa sita tangu nchi yetu ipate Uhuru
Licha ya sifa zingine zote, lakini kitu pekee ambacho kitabaki Kama historia Kwa taifa letu kupitia yeye ni kuwa ndiye Rais wakwanza mwanamke katika nchi yetu.

Kuingia Kwa Samia Suluhu katika nafasi ya Urais hakukupokelewa vizuri na waliowengi ukizingatia kuwa Nchi yetu Kama zilivyonchi za Afrika ni nchi yenye Dhana ya Mfumo dume. Na siajabu mpaka hivi leo wapo watu ambao bado hawamkubali Raia Samia kutokana na jinsia yake.

Rais Samia anayokazi ya ziada kuitengeneza njia ya wanawake wengine wa nchi yetu Kwa kufanya mazuri ili kuondoa dhana kuwa mwanamke hawezi kushika nafasi ya juu ya kiuongozi ndani ya nchi.

Hata hivyo Kama nikiambiwa niseme ukweli, nitasema kuwa, Kwa nchi yetu hii bado Dhana potofu kuhusu mfumo dume ipo, hivyo hata Samia angefanya mazuri Kwa kiwango gani, bado kwenye jamii watu wakiambiwa wapige Kura anaweza asipewe Kura na waliowengi.
Hivyo ni muhimu elimu ya jinsia izidi kutolewa ili kuleta Uelewa na mipaka ya kijinsia jamii iweze kuelewa manufaa yake.

2. Rais Samia aliweza kujitambulisha baada ya kutambulishwa na chama chake
Kujitambulisha ni hatua ya awali kabisa katika suala la uongozi na Maisha. Kujipambanua yeye ni Nani, falsafa yake ya maisha, na matazamio yake.

Katika kujitambulisha Mama Samia mara kadhaa alikuwa akieleza kuwa yeye ni Rais mwenye umbile(jinsia) ya kike. Jambo ambalo angelisema mara moja au mbili lingeeleweka lakini kulirudia rudia ilifanya wengine tuanze kuona kuna tatizo, sio ajabu niliwahi andika makala inayomshauri aachane na kuelezea jinsia yake kwani hiyo haileti tafsiri nzuri. Hiyo ilikuwa miezi sita ya Mwanzo, baadaye akaacha nafikiri ni baada ya kuanza kuzoea na ku-master kazi yake mpya.

Mama Samia Katika kuchagua upande Kama nikimtathmini na nikiambiwa niseme ukweli wowote, nakiri kuwa amechagua upande wa KIBEPARI, ambayo kimsingi ndio msingi wa biashara katika Karne yetu.

Upande wa kibepari unapendelewa zaidi na matajiri, hivyo Kwa kuuchagua upande huo ni dhahiri kuwa biashara nyingi zitaneemeka na matajiri wataongezeka.

Hata hivyo hatuweza kukataa kuwa Gap baina ya Tajiri na Masikini tunalitarajia kuongezeka Kwa miaka mitatu mpaka mitano inayokuja ikiwa Hali itaendelea kama ilivyosasa.

Mama Samia Katika kuchagua upande wa kibepari, anapendelea demokrasia ya kiuchumi zaidi kuliko ya Kisiasa, na Kama itakuwepo demokrasia ya Kisiasa basi isiguse maslahi ya kiuchumi.

Demokrasia ya kiuchumi itaruhusu nchi kufunguka Kwa wenye mitaji na mitandao au waliopo kwenye mifumo. Lakini wale wasio na kimoja Kati ya hivyo basi habari Yao itakuwa imekwisha.

Mfumo wake ni mzuri Kwa kiasi kikubwa kwani angalau kundi Fulani litanufaika na kunufaisha makundi mengine.

3. Kupimwa ni sehemu muhimu baada ya kujitambulisha
Mama Samia alipimwa Kwa namna kadhaa, iwe na watu wampendao au watu wamchukiao.
Kupimwa ni kupimwa tuu. Lengo la kupokea ni kumfanya mpimwaji aonyeshe uwezo wake.
Katika matokeo Kwa mujibu wangu, matokeo yananiambia kuwa amefaulu kwa 60% tu.

📍Ndani ya chama chake amefaulu Kwa 100% Kwa kudhibiti wanaoitaka nafasi yake.
📍 Vyama vingine vya Siasa amefaulu Kwa 40%. Kesi ya Mbowe na wenzake ni sehemu ya changamoto iliyomshushia maksi.
📍 Uchumi amepata 60% kilichomkosesha naksi nyingi ni kupanda bei Kwa baadhi ya bidhaa.
📍 Uhusiano kimataifa amefaulu 100%
📍 Uhusiano wa kujenga umoja ndani ya nchi amefaulu 50% zingine amekosa kutokana na nature ya nchi yetu hasa ya Mfumo dume, pia baadhi ya makundi(Kama yapo) kuhusu sukuma gang Vs Msoga gang. Haya ameyakuta hivyo yeye sio chanzo Ila yatahesabiwa kwani anawajibu WA kuyaondoa.

📍 Ulinzi na Usalama ndani ya nchi na mipaka amefaulu Kwa 90% hizo Asilimia 10 alizokosa ni kutokana na kuripotiwa baadhi ya matukio ya mauaji na kuungua Kwa masoko. Kwenye kuungua Kwa masoko bado watu hawaridhishwi na matokeo ya uchunguzi.

Kwenye matukio mengine ya uhalifu Kama mauaji huku wanajitahidi kufuatilia na hii inafanya watu wasione kwamba serikali inahusika na matukio hayo, tofauti na awamu iliyopita.

📍 Mahusiano ya vyombo vya Dola na Raia amepata 70%. Hizo 30 alizokosa ni kutokana na baadhi ya Askari wasio waaminifu kujiingiza katika uhalifu na kulichafua Jeshi la polisi. Matukio ya polisi kuhusishwa na Rushwa na matukio ya mauaji pia yamefanya baadhi ya wananchi kukosa Imani na vyombo vya Dola.

Serikali inapaswa ifanye marekebisho na kulisuka upya Jeshi la polisi.

📍 Uhuru wa vyombo vya habari na wananchi kutoa maoni 90%. Kwa sasa vyombo vya habari na watu wanauhuru WA kutoa maoni na ndio maana sasa tunaweza sikia habari nzuri na mbaya Maeneo yote nchini.

4. Katika maisha kupo kushindwa pia
📍Raia Samia Suluhu ameshindwa kudhibiti ongezeko la bei Kwa baadhi ya bidhaa hasa vyakula.

📍 Mama Samia ameshindwa kufanya maridhiano na wanachama wa CHADEMA. Kila mmoja hataki kujishusha.

📍 Mama Samia Ameshindwa kuitisha uchunguzi wa matukio ya mauaji na utekaji yaliyotokea yaliyo Kwa mrengo wa Kisiasa. Hata hivyo Kwa vile ndio kwanza mwaka mmoja, ngoja tuwe na subira huenda ataunda tume ya uchunguzi.

📍 Mama ameshindwa kuzuia pesa ya kuingiziwa umeme ibaki Ile Tsh 20,000 na kuipeleka zaidi ya laki tatu Kwa baadhi ya Maeneo.

5. Kushinda na Kufanikiwa
📍 Mama Samia amefanikiwa kuifungua nchi hasa Kwa wale wenye macho, mitaji na connection.

📍 Mama Samia amefanikiwa kuleta mahusiano mazuri kimataifa na wawekezaji.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutoa wazo na kulisimamia kuhusu ujenzi wa madarasa na limefanikiwa Kwa kiwango kikubwa.

📍 Mama Samia amejitahidi kuleta USAWA wa kijinsia ingawaje bado anakazi ya ziada.

📍. Mama Samia amefanikiwa kuzimudu Siasa za demokrasia Kwa kuachia Uhuru wa kukosolewa na kushambuliwa.

📍 Mama Samia amefaniliwa mpaka hivi sasa kudhibiti maadui wa awali ndani ya chama chake.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutokuwa na migogoro na chuki Kwa wafanyabiasha wakubwa. Hii italeta Uhuru katika uwekezaji kwani matajiri watakuwa huru kutumia mitaji Yao.

📍 Mama Samia amejitahidi kuonyesha uhalisia wa nchi yetu kuwa ni masikini na bila mikopo hakuna tutakachofanya zaidi ya kuchelewa tuu.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutokuwa na adui mwenye chuki iliyopitiliza ukilinganisha na Mtangulizi wake.
Adui zake wanachuki za wastani na hawajamkamia kikamilifu.

📍 Mama Samia amefanikiwa kuongoza Kwa Asilimia kubwa pasipo kutumia mihemko na maneno machafu Kwa kuponda na kukashifu watu wengine.

6. Nini kifanyike
📍 Katiba mpya ni MUHIMU mengine yafuate.

7. Hitimisho
Binafsi uongozi wa Mama Samia licha ya kuwa na mapungufu ya hapa na pale lakini ni wazo wengi wetu tuna Amani.
Hayo mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo hayajavuka mipaka.

Ninaufurahia uongozi wa Samia, maboresho machache yajikite kwenye elimu ya utambuzi Kwa wananchi, Wananchi wasiwe tegemezi Kwa serikali, kila kitu wasiilaumu serikali Bali wawe Sehemu ya kutatua kero na changamoto zinazoikabili nchi.

Kingine, masuala ya uvyama Vyama ndio yanaharibu nchi. Pawepo na Sera kuu za nchi Kwa miaka kumi kumi, na kila chama kiandike ilani yake kupitia Sera za nchi na kuzitekeleza pindi kishikapo Dola.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Aliposhinda hongera zake. Shida ni pale aliposhindwa.
 
Nampongeza raisi wangu SSH. Na mleta mada ndg Robert umejitahidi japo hujabainisha umetumia data zipi mpaka unaweka za viwango kabisa sijui 80%

Napenda mheshimiwa awe muazi haswa kwenye mapato,matumizi,mikopo na mipango endelevu ya kumalizia miradi.

Bado upo udhaifu wa nidhamu kwa watumishi wa umma wote including mapolisi.

Napendekeza kuwe na tumbua hata kama isipotangazwa hadharani lakini watu wasiotenda au wabadhirifu hatua kali zichukuliwe si lazima zitangazwe

Kuwe na usimamiaji wa.nguvu wa fedha ya umma na sio matamko na.maombi . Naombeni mkatimize wajibu wenu hiyo kauli kwa sisi wabongo inazidisha mbinu vichwani mwa wahasibu na wadokoaji kuzunguka controls. Marehemu JPM lenders wakubwa walimkopesha sababu walijua hela zinaenda kutimiza malengo yaliyokusudiwa sasa mama naona kama waheshimiwa wengine wanaenda kuongeza wake sababu mifuko iko mtibwa kwa kudokoa hela za umma.

Tunapenda kujua mipango ya muda mfupi na.mrefu shukrani kaja Bi Venus nyota ataweza kutoa kiu ya wananchi ya kujua raisi anataka kutupeleka wapi ana atatutendea nini. Kwa mfano suala la climate change hakuna mipango inayoeleka na imefahamishwa wananchi miaka 10 ijayo itakuwaje

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Tathmini kila mtu anayo ya kwake kwani wanannchi tuna macho na masikio.

Mambo ya Data serikali inapika sana namba.
 
Hapo kwa bei za vitu kupanda namtetea ,sio ishu ya ndani bali ni mambo yaliyo nje ya uwezo wa serikali Kwa sababu visababishi vimetoka Nje kuliko ndani na Serikali haiwezi kutoa ruzuku kwa kila bidhaa.

Kiujumla amefaulu kwa zaidi ya asilimia 80%

View attachment 2105498
Mkuu hata Sembe na wuchele zimetoka huko duniani?
 
Kwani hujui kwamba mikoa mingi hakuna chakula sababu za ukame kwa hiyo soko linaitokia kwa sababu za speculation of shortage au?

Hili sio swala la Rais na wala serikali haiwezi kuhangaika nalo, Mwendazake alikuwa anawaambia kama unataka bei ya chini kalime na wewe.
 
Mama anafanya vizuri...na haitaji pambio zako.

Toa tathmini ya jamaa yako Bashite.!?
 
Anaandika, Robert Heriel

Taikon wa Fasihi.

Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja.

Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo.

Dondoo
1. Utangulizi
2. Kujitambulisha na kuchagua upande
3. Upimwaji
4. Kushindwa
5. Kushinda
6. Nini KIFANYIKE.
7. Hitimisho.

1. Samia Suluhu Hassan ni Rais wa sita tangu nchi yetu ipate Uhuru
Licha ya sifa zingine zote, lakini kitu pekee ambacho kitabaki Kama historia Kwa taifa letu kupitia yeye ni kuwa ndiye Rais wakwanza mwanamke katika nchi yetu.

Kuingia Kwa Samia Suluhu katika nafasi ya Urais hakukupokelewa vizuri na waliowengi ukizingatia kuwa Nchi yetu Kama zilivyonchi za Afrika ni nchi yenye Dhana ya Mfumo dume. Na siajabu mpaka hivi leo wapo watu ambao bado hawamkubali Raia Samia kutokana na jinsia yake.

Rais Samia anayokazi ya ziada kuitengeneza njia ya wanawake wengine wa nchi yetu Kwa kufanya mazuri ili kuondoa dhana kuwa mwanamke hawezi kushika nafasi ya juu ya kiuongozi ndani ya nchi.

Hata hivyo Kama nikiambiwa niseme ukweli, nitasema kuwa, Kwa nchi yetu hii bado Dhana potofu kuhusu mfumo dume ipo, hivyo hata Samia angefanya mazuri Kwa kiwango gani, bado kwenye jamii watu wakiambiwa wapige Kura anaweza asipewe Kura na waliowengi.
Hivyo ni muhimu elimu ya jinsia izidi kutolewa ili kuleta Uelewa na mipaka ya kijinsia jamii iweze kuelewa manufaa yake.

2. Rais Samia aliweza kujitambulisha baada ya kutambulishwa na chama chake
Kujitambulisha ni hatua ya awali kabisa katika suala la uongozi na Maisha. Kujipambanua yeye ni Nani, falsafa yake ya maisha, na matazamio yake.

Katika kujitambulisha Mama Samia mara kadhaa alikuwa akieleza kuwa yeye ni Rais mwenye umbile(jinsia) ya kike. Jambo ambalo angelisema mara moja au mbili lingeeleweka lakini kulirudia rudia ilifanya wengine tuanze kuona kuna tatizo, sio ajabu niliwahi andika makala inayomshauri aachane na kuelezea jinsia yake kwani hiyo haileti tafsiri nzuri. Hiyo ilikuwa miezi sita ya Mwanzo, baadaye akaacha nafikiri ni baada ya kuanza kuzoea na ku-master kazi yake mpya.

Mama Samia Katika kuchagua upande Kama nikimtathmini na nikiambiwa niseme ukweli wowote, nakiri kuwa amechagua upande wa KIBEPARI, ambayo kimsingi ndio msingi wa biashara katika Karne yetu.

Upande wa kibepari unapendelewa zaidi na matajiri, hivyo Kwa kuuchagua upande huo ni dhahiri kuwa biashara nyingi zitaneemeka na matajiri wataongezeka.

Hata hivyo hatuweza kukataa kuwa Gap baina ya Tajiri na Masikini tunalitarajia kuongezeka Kwa miaka mitatu mpaka mitano inayokuja ikiwa Hali itaendelea kama ilivyosasa.

Mama Samia Katika kuchagua upande wa kibepari, anapendelea demokrasia ya kiuchumi zaidi kuliko ya Kisiasa, na Kama itakuwepo demokrasia ya Kisiasa basi isiguse maslahi ya kiuchumi.

Demokrasia ya kiuchumi itaruhusu nchi kufunguka Kwa wenye mitaji na mitandao au waliopo kwenye mifumo. Lakini wale wasio na kimoja Kati ya hivyo basi habari Yao itakuwa imekwisha.

Mfumo wake ni mzuri Kwa kiasi kikubwa kwani angalau kundi Fulani litanufaika na kunufaisha makundi mengine.

3. Kupimwa ni sehemu muhimu baada ya kujitambulisha
Mama Samia alipimwa Kwa namna kadhaa, iwe na watu wampendao au watu wamchukiao.
Kupimwa ni kupimwa tuu. Lengo la kupokea ni kumfanya mpimwaji aonyeshe uwezo wake.
Katika matokeo Kwa mujibu wangu, matokeo yananiambia kuwa amefaulu kwa 60% tu.

📍Ndani ya chama chake amefaulu Kwa 100% Kwa kudhibiti wanaoitaka nafasi yake.
📍 Vyama vingine vya Siasa amefaulu Kwa 40%. Kesi ya Mbowe na wenzake ni sehemu ya changamoto iliyomshushia maksi.
📍 Uchumi amepata 60% kilichomkosesha naksi nyingi ni kupanda bei Kwa baadhi ya bidhaa.
📍 Uhusiano kimataifa amefaulu 100%
📍 Uhusiano wa kujenga umoja ndani ya nchi amefaulu 50% zingine amekosa kutokana na nature ya nchi yetu hasa ya Mfumo dume, pia baadhi ya makundi(Kama yapo) kuhusu sukuma gang Vs Msoga gang. Haya ameyakuta hivyo yeye sio chanzo Ila yatahesabiwa kwani anawajibu WA kuyaondoa.

📍 Ulinzi na Usalama ndani ya nchi na mipaka amefaulu Kwa 90% hizo Asilimia 10 alizokosa ni kutokana na kuripotiwa baadhi ya matukio ya mauaji na kuungua Kwa masoko. Kwenye kuungua Kwa masoko bado watu hawaridhishwi na matokeo ya uchunguzi.

Kwenye matukio mengine ya uhalifu Kama mauaji huku wanajitahidi kufuatilia na hii inafanya watu wasione kwamba serikali inahusika na matukio hayo, tofauti na awamu iliyopita.

📍 Mahusiano ya vyombo vya Dola na Raia amepata 70%. Hizo 30 alizokosa ni kutokana na baadhi ya Askari wasio waaminifu kujiingiza katika uhalifu na kulichafua Jeshi la polisi. Matukio ya polisi kuhusishwa na Rushwa na matukio ya mauaji pia yamefanya baadhi ya wananchi kukosa Imani na vyombo vya Dola.

Serikali inapaswa ifanye marekebisho na kulisuka upya Jeshi la polisi.

📍 Uhuru wa vyombo vya habari na wananchi kutoa maoni 90%. Kwa sasa vyombo vya habari na watu wanauhuru WA kutoa maoni na ndio maana sasa tunaweza sikia habari nzuri na mbaya Maeneo yote nchini.

4. Katika maisha kupo kushindwa pia
📍Raia Samia Suluhu ameshindwa kudhibiti ongezeko la bei Kwa baadhi ya bidhaa hasa vyakula.

📍 Mama Samia ameshindwa kufanya maridhiano na wanachama wa CHADEMA. Kila mmoja hataki kujishusha.

📍 Mama Samia Ameshindwa kuitisha uchunguzi wa matukio ya mauaji na utekaji yaliyotokea yaliyo Kwa mrengo wa Kisiasa. Hata hivyo Kwa vile ndio kwanza mwaka mmoja, ngoja tuwe na subira huenda ataunda tume ya uchunguzi.

📍 Mama ameshindwa kuzuia pesa ya kuingiziwa umeme ibaki Ile Tsh 20,000 na kuipeleka zaidi ya laki tatu Kwa baadhi ya Maeneo.

5. Kushinda na Kufanikiwa
📍 Mama Samia amefanikiwa kuifungua nchi hasa Kwa wale wenye macho, mitaji na connection.

📍 Mama Samia amefanikiwa kuleta mahusiano mazuri kimataifa na wawekezaji.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutoa wazo na kulisimamia kuhusu ujenzi wa madarasa na limefanikiwa Kwa kiwango kikubwa.

📍 Mama Samia amejitahidi kuleta USAWA wa kijinsia ingawaje bado anakazi ya ziada.

📍. Mama Samia amefanikiwa kuzimudu Siasa za demokrasia Kwa kuachia Uhuru wa kukosolewa na kushambuliwa.

📍 Mama Samia amefaniliwa mpaka hivi sasa kudhibiti maadui wa awali ndani ya chama chake.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutokuwa na migogoro na chuki Kwa wafanyabiasha wakubwa. Hii italeta Uhuru katika uwekezaji kwani matajiri watakuwa huru kutumia mitaji Yao.

📍 Mama Samia amejitahidi kuonyesha uhalisia wa nchi yetu kuwa ni masikini na bila mikopo hakuna tutakachofanya zaidi ya kuchelewa tuu.

📍 Mama Samia amefanikiwa kutokuwa na adui mwenye chuki iliyopitiliza ukilinganisha na Mtangulizi wake.
Adui zake wanachuki za wastani na hawajamkamia kikamilifu.

📍 Mama Samia amefanikiwa kuongoza Kwa Asilimia kubwa pasipo kutumia mihemko na maneno machafu Kwa kuponda na kukashifu watu wengine.

6. Nini kifanyike
📍 Katiba mpya ni MUHIMU mengine yafuate.

7. Hitimisho
Binafsi uongozi wa Mama Samia licha ya kuwa na mapungufu ya hapa na pale lakini ni wazo wengi wetu tuna Amani.
Hayo mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo hayajavuka mipaka.

Ninaufurahia uongozi wa Samia, maboresho machache yajikite kwenye elimu ya utambuzi Kwa wananchi, Wananchi wasiwe tegemezi Kwa serikali, kila kitu wasiilaumu serikali Bali wawe Sehemu ya kutatua kero na changamoto zinazoikabili nchi.

Kingine, masuala ya uvyama Vyama ndio yanaharibu nchi. Pawepo na Sera kuu za nchi Kwa miaka kumi kumi, na kila chama kiandike ilani yake kupitia Sera za nchi na kuzitekeleza pindi kishikapo Dola.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Hongera ROBERT HERIEL kwa a balanced assessment. We have a best president in Madam SSH
 
Back
Top Bottom