Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

kumbe sasa kwanini urusi hataki sasa ?
[emoji23][emoji23] wewe bulaza una maswali ya kiduanzi.... Hivi ni unataka wakutafunie details siyo? Embu Ka Google huko minyuzi ya RT TV na Propaganda za akina CNN na BBC na washirika wake ndio urudi na hoja za kibabe....

Nilifikiri anayeuliza ni mwanafunzi wa kindergarten

Lakini kwa article yako naamini wewe ni miongoni mwa watu wastaarabu,waoga Duniani na wambea pia
 
Ulikuwa sahihi kabisa chief
 
Hata haujielewe farisi ameuliza maswali pale juu hamja yajibu toa hoja kwanini unaitetea ukraine
Ila pro ukraine mihemko ndo inawaendeza hata hamjielewe
kuna mmoja kanipa maelezo safi ila wengine mkumbo wanaishia mitini.
 
Umesahau, Pro Ukraines wengi ni Wakristo, Pro Russia wengi ni Waislamu ambao wanajaribu kujustify uvamizi wa Urusi kutokana na Mataifa ya Kiarabu kuvamiwa mara kwa mara na Westerners!
 
kuwa neutral sio kufurahisha watu mkuu.
Ni nchi gani kuna Uhuru wa vyombo vya habari ?
 
nipe summary mkuu kwanini hataki ni swali la kiduwazi ila hutaki kujibu. Nimeamua kuja kiduwazi zaidi maana nimechoka kukwepwa na pro nato.
 
Nina marafiki wa karibu Kama watatu hivi WhatsApp dp wametoa picha za magu wakaweka picha ya Putin.. from there nikagundua kitu[emoji16]

Ila muhimu nyie warusi weusi hakikisheni mna facts za maana coz mko kwenye wrong side, mnavyotukana watu ndio kabisa hamuwezi fanya watu waamini mko sehem sahihi
 
Umepoteza mwelekeo. Kama kweli ndiye Lwaitama Xavery basi nilifundishwa na mtu ovyo sana japo siamini kama ni wewe kweli
Kuna Rwaitama na lwaitama kwanza kabisa ujue kutofautisha apo asee alafu ndo ulete hoja yako baada ya kujua tofauti za hayo majina mawili
 
britanicca yupo vzr ila huruma inamponza pia inawezeka alikuwa na ndoto za kusoma ukraine sasa russia kaharibu kila kitu😀😀😀😀😀
kabisa hana hamu kabsa. Mi nasubiri waichome Russia halafu tuone kama kweli ina umuhimu au la. Maana mafuta na gesi yamegomewa kidogo tu tuishaanza kuona hali ilivyoshwari kabsa tena duniani
 
britanicca yupo vzr ila huruma inamponza pia inawezeka alikuwa na ndoto za kusoma ukraine sasa russia kaharibu kila kitu😀😀😀😀😀
Kusoma Ukraine Yaan unaona mimi nasoma?

Basi ngoja nikudadavulie kidogo

Nimesoma shule ya msingi ****
Sekondari nikasoma Bukoba Secondary ***
A Level Nikasoma PUGU 1978-1981
Nikaenda JKT mwaka 1982 Nilipangwa kigoma Lakin baadae nikapelekwa Dar es salaam Kwa ajili ya kulinda Pipe la Kwenda Zanzibar Kunduchi… Tegeta…
Baadae nikaanza Doria za Usiku JKT wawili tulikuwa tunapewa askari Polisi mmoja kwenye gari …
Kwanini nilienda Kigoma Alafu Muda mfupi Dar Ni kwasababu mwaka wetu tulifaulu Kwenda University tulikuwa 72 tu nchi nzima Kwahiyo sisi tulikaa JKT kidogo ..

Chuo kikuu nikasoma UDSM (Chemical and process engineering) japo ndoto nilitaka Nisomee agricultural engineering SUA mwaka 1983

Mwaka 1987 nikaenda Australia Darwin hadi 1989 Nikarejea Tanzania,

Nikapangiwa kazi maalumu lumumba pamoja na kwamba nimesoma mambo ya engineering.

Baadae nikaenda Malaysia kipindi cha Mkapa..

Nikarejea Tanzania …

Ndo mwaka 2012 Nikaletwa Russia Tupo wengi wa namna hiyo ndo maana sijataja Primary niliposoma ingekuwa rahisi kunijua…

Wengine wako Texas wengine wapo Japan ila Russia kama 6 Au 7

Mchumba wa pasko Yule alosoma Urusi kidogo nikutane naye haha
Cc Pascal Mayalla Sky Eclat
Britanicca ( Elimu sina ya siku hizi kama unayojua)
 
ushaandika biography kuhusu wewe mkuu.
 
Utakuta kwenye hii operation kama wanavyoita waliovamia ni Russia kwa Ukraine lakini saa zote wanaleta hoja kuichukia Marekani wakati Marekani ni sehemu tu ya wanaochukia ile operation kwa nchi kama Ukraine ambayo ina uhuru wake na mipaka yake na katiba yake
 
Tena warusi wenyewe wabaguzi kweli
 
Yaani ukishajua nchi yako ni sovereignty hatakiwi tokea mtu akawapangia cha kufanya.
 
Nadhani sasa vijana hawa undergraduate wataweka heshima,maana kwa elimu zao hizi za kugoogle kila kitu huwa wanajiona wanajua kila kitu[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…