kwa kiukweli kaka sina utaalamu wa kujua ni maeneo gani ila maeneo ambayo nina ushahidi nayo ndio hayo niliokwambia na kuhusu mkoa wako kaka bado sijajua mana mm si mtu wa climate
Sasa mkuu wangu kwa nini usifatilie kwanza then ufind out ili uweze kupata watu wa kutosha, maana sisi wengine hayo maeneo hatuna mashamba sasa unadhani hizo extra gharama zisizokuwa na malengo inakuwaje??Fanya utafiti basi...
Mkuu kweli bana mi mwenyewe nimeletwa Songea ardhi ipo yakutosha vijijini ekarimoja mpka elfu 50.da!ngoja jamaa atupe uzoefu hapa
Mkuu wangu kumbe na wewe tupo boti moja mimi nina ekari 80 ndio maana nikamwambia jamaa afanye kwanza mpango kwa kule kama inawezekana...
Hongera sana kwa taarifa. Swali langu ni kuhusu aina ya mchungwa, na jina lake kitaalamu? Je soko la haya machungwa baada ya kuvuna utauza wapi yote uweze maliza shambani bila kuharibika?
Nadhani previous nimeuliza hili swali ila sijaona kujibiwa bado maana naona hapa inabidi kuwa makini kidogo kwenye hii biashara kwa kweli.....
mm si mtaalaam wa irrigation ila rabda nikupeleke sehemu ukaone jamaa walivyofanya irrigation yao nzuri na ni ya kieconimic
Mkuu wangu why kama una nia ya kuwasaidia watu usiilete humu hiyo hiyo ikawa public na kila mtu akatoa points zake??
aina hii ya michungwa mjomba ni magumu makubwa na matamu suala la soko ondoa shaka mm nadhani ningewaonjesha aina hiyo ya machungwa subiri niagizie halafu nitawaambia muje muchukue moja moja kwa ushahidi kisha mtanambia wenyewe!
Hilo soko lipo wapi mkuu wangu???Maana nilikuwa nategemea hasa kuona lugha za kusema kwamba unaweza kusaidia kuanzia mwanzo mwisho ila naona ume base kwenye kufanya biashara zaidi.....
mm sina utaalamu na irrigation ila nikupeleke shambani kwa rafiki yangu halafu uone jinsi alivofanya very intresting na economic
Ongea na jamaaa ajiunge ajee mkuu hala atusaidie na atupe more details kama anavyofanya mkuu wetu
Malila
songea sina ushahidi kama aina hii ya michungwa itakubali!
Unaweza kutuulizia mkuu kama itawezekana??
ni kweli tunafanya grafting
So naona vile vile upo kibiashara zaidi, maana hujasemea kwenye hii project advantage and disadvantages naona hujazungumzia kabisa.......
yoyote anaehitaji miche anipe order then nitawataarifu bei mana sasa imekua adimu!
mhhhh sasa kuna maswali mengi sana hujajibu sasa mtu atawezaje kutoa jibu lake wakati hajapata conclusion ya hii project ina make sense kweli??
Tengeneza busindes plan then uiuze!
gud idea ila naweza hatoweza maana hapa naona kama kuna vitu muhimu sana hataki kuviongelea endapo anaulizwa
jamani mm nipo dar hapa hayo mashamba yako tanga nikifika nitawatumia sasa hivi sina picha hapa yaliyopo hapa dar bado ni miaka miwili huko tanga nina michungwa 2000 nitawaonyesha nikifika!
Tutashukuru sana tena sanaaa
mm hapa nafanya biashara kama kuna yoyote aliekua intrest na kilimo hiki tukae mezeni tuongee biashara
Ndio maana kumbe upo kibiashara zaidi mkuu wangu basi watu wataingia hasawa endapo watakubali kuingia kwenye hii project.....
kwani haya si mawazo yangu kama hayakufai achana nayo! na hao walioona yanawafaa washanifata na tumeshaongeoa ni zaidi ya watu 10 wananitosha
ina maana kwenye biashara yako una limit ya watu unaowataka??maana umesema 10 wanakutosha una mean nini hapo hutaki wengine au vipi??still kabla ya kutoa hela yangu mfukoni naona nina maswali mengi sana kuhusu hii project.