Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli


Sio tuu soko letu la mazao kwa leo, hili ni soko tutakuwa nalo kwa leo, kesho tuu bado litaendelea kuwepo milele.

Nchi ya Tanzania kieneo ni kubwa kuliko nchi zifuatazo kwa zikiunganishwa pamoja, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Malawi. Idadi ya watu waishio Kenya na Tanzania tunashindana kwa wingi sisi tumewazidi kidogo.

Nusu ya Kenya ni jangwa kwa hiyo sehemu iliyobaki na idadi ya watu leo, tayari mawefikia mwisho wa kujilisha na kupanda mazao ya kibiashara. eg; Maua, chai, kahawa, kufuga ng'ombe na shuguli zingine za kilimo biashara. Na kwa sababu hiyo ni bora mtu apande mazao ya kibiashara alafu akiuza ndio akanunue chakula. Sababu mazao ya biashara unapata pesa zaidi na huwezi kuwalazimisha raia kwa wao ardhi ni mali yake kama vile wewe mkono wako.

Jee unakubali kuwa Wakenya wamewekeza Trillion 28 nchini Tanzania yaani 25 % ya uchumi wetu. Ama 61 % ya production processes nchiniTanzania?
Viwanda vikubwa walivyo wekeza ni East African Cables na Mufindi Paper Mills na kwa Viwanda vyote viwili kwa pamoja wakati tukiwa tuna miliki vilikuwa na thamani ya 450 million Dollars, kwa uwekezaji upi wa Dollar 650 million na thamani kufika 1.1 billion.

Kwani hivi viwili ni viwanda vikubwa kuliko viwanda 7 kwa pamoja ambavyo vinafanya Aluminium Africa ? KUWEZA KULIEWA HILI LABDA UNIAZIME AKILI YAKO. YA KWANGU IMEGOTA BILA KUELEWA.

Na nikumbie nchi inapotaka kufanya Investment valution ujue kuna taabu kidogo. Dhana: Wali inflate value ili tukitaka kuvinationalise tuogope kwa declared value.

Kama wange miliki 62% ya production processes ni kuwa katika kila watanzania walioajiriwa 100 , walioajiriwa na wakenya wangekuwa 62. Mtaa unaoishi wewe watu ambao wanaondoka asubuhi kwenda kazini kwa kila watu kumi, sita kati ya hao wanafanya kazi kwa wakenya au viwanda vya wakenya?

Kwa kusema sisi tumewekeza Kenya kuliko wao, suala hili wala haliitaji maelezo, wazungu wengi walio wekeza wameona soko Tanzania lakini wali invest kenya kwanza, ndio wamekuja kwetu kutokea Kenya, sisi tuna uwezo mdogo mnoo wa kuwekeza, kwa hiyo wanatushinda kwa mbali sana

Tourist infrastracture ni rahisi kujenga kwa ukamilifu katika eneo dogo kama Kenya lakini tuna miaka mitano tutakutana hapa na tutaongea.

Kwa hali ya uwekezaji kati ya sisi na kenya ni kama anayejenga chumba kimoja kamaliza na mwenye kujenga vyumba sita.

Eneo la Kenya linatumika na ambalo tunalizungumza ndio Kenya ni kama Mbeya, Rukwa, Katavi na Tabora ene lililo baki ni Jangwa.
 
Tatizo kubwa LA wizara ya mambo ya nje Ni waziri, Ni mzigo.
 
Magu hatoshi kwenye kile kiti ndo maana ligi za kijinga haziishi
 
Yani mtoa mada hamnazo kabisa kwanza Awamu za Jk na Mkapa Ndio zilikua pengo kwa Tanzania kuchukuliwa fulsa zake kiuchumi na kazi ya ndege ni usafilishaji sio kutangaza Chamwisho Mabebelu wapo2 na niwengi labda kama huna ufahamu na hilo ndio uta ongea utopolo huo.
Na mwisho wa siku ndio nyio mnao sema watu Ajila ni ngumu akili 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…