Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli

Mfupa uliomshinda Mwanadiplomasia nguli hayati Mzee Mahiga, Prof Kabudi ataweza kweli kumshauri boss kubwa?.

Prof kilichombakisha ni kuganga njaa na kulinda heshima feki ya kuitwa Waziri!.

Tatizo la Raia namba moja wetu ni kujiamini kupita kiasi ambapo kunapelekea yeye kuona kila kitu anakijua na anakiweza!.

Na mpaka sasa hivi hana wasaidizi wa kuweza kuwa na uthubutu wa kumshauri na kama ushauri unatolewa basi unatolewa kwa hofu kubwa!.

Baraza la Mawaziri linaishia kupokea maelekezo tu kutoka kwa boss, na kibaya zaidi na Bunge ambalo lingesaidia kumu shape nalo ndio hilo!.

Hapa aliyekuwa amebaki wa kuweza kumumdu huyu mzee ni mtoto pendwa maana mzee hakohowi, ila nae ndio huyo amekuwa akimshauri mambo ya kuvuruga amani na mshikamano wa Taifa.

Kwa huu uongozi wa one man show sijui nini hatima ya huko tunakoelekea kama Taifa!.
[emoji23][emoji23][emoji23] mtoto pendwa mwenyewe alikimbia umande ndo tatizo lililopo. Hana exposure yeyote zaidi ya kuwaza kumiliki ukwasi wa kulazimisha.
 
Kwanza siku hizi kabadilisha namna ya kuongea, anaongea kama reyfredo masako(kama jina sijakosea) yule aliyekuwa mtangazaji wa ITV
 
Kwenye upoyoyo wa waziri kabudi na naibu wake nakubali. Ni zero brains hata ukiangalia vichwa vyao unaweza kubaini. Hii wizara ni nyeti sana kupewa maroporopo
Na wanaowatapanyia mimate wale wanaozungumza nao.
 
Nimeona WAJINGA-WAJINGA wengi wamepongeza TANZANIA kuzuia ndege za Kenya bila kujua undani wa mgogoro huu....
Ila mwisho wa siku kabudi atajikuta anatembea Kwenye bonde la umauti
Sio wajonga wanahoja pia aidha za msingi au siyo za msingi.Zisomeni hoja zao siyo kuwapuuza tu.migogoro Kati ya nchi na nchi ya kawaida hata wenzetu weupe pia wanayo sababu duniani SI peponi ,hoja ni kwamba zitafutwe njia za kutatua migogoro hiyo.Hoja hapa SI ubaguzi hoja ni migogoro ya kiuchumi ni itafutiwe njia ya kuitatua
 
Asante sana mtoa mada, nakubaliana nawe sana; tatizo kubwa ni uongozi uliopo sasa nchini. Kweli wamekuwa watu wa jazba na maamuzi ya papo kwa papo katika mambo yanayohitaji mchakato na umakini mkubwa. Tumeona juzi alichoamua Magufuli huko njiani, jamani hayo sio maamuzi yenye busara hata ukiwa rais. Waziri Kabudi amekuwa mtu wa propaganda na uongo ni kweli katika mgogoro huu anaficha kitu, kwanini ndege ya Kenya ilirudia angani?....Na kwanini baadaye Uhuru Kenyatta aliishutumu Tz kwa kutoweka wazi suala la corona? Je, mnafikiri hakuna ukweli kwa alichoongea Uhuru? Kwanini Kenye ichukue hatua hii ngumu ya kuzuia ndege za Tz zisiingie Kenya? Hii ni hatua ngumu sana, unafikiri hawakuwa wanajua nini kitafuata? Nakubaliana na mtoa mada kuwa kuna mgogoro mkubwa wa kidiplomasia umekuwa ukiendelea tangu awamu hii iingie madarakani. Magufuli hashirikiani vizuri na wenzake EAC. Hili lipo wazi, huwezi kuamini kwamba katika msiba mkubwa kama huu hakuna kiongozi kutoka nchi za EAC aliyetia timu, hata kama kuna corona. Tunapaswa kufanya kitu October.
Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana.

Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa tulichotegemea kupata na mwingine wa yanayoendelea sasa. Ilikuwa ni maigizo matupu. Haya leo hayanihusu!

Juzi wakati wa msiba wa mzee Mkapa, tulisema wazi kuwa upo mgogoro wa kidiplomasia ambao ulipelekea ndege ya Kenya kugeuza angani na kuwarudisha wajumbe wa kutoka Kenya waliokuja kuhudhuria mazishi yale. Mbiombio Kabudi akaja na taarifa eti ndege hiyo ilikumbwa na hitilafu, tena alizungumza palepale msibani. Mbiombio akaagiza ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kutoa taarifa kama yake. Ila Kenya hawakutoa taarifa yoyote kuhusu tukio lile. Tukasema huku kuwa lipo tatizo ila kama kawaida ya wafuasi wasioelewa wakaendelea kushupaza shingo!

Siku mbili baadaye ukweli umedhihirika! Ukweli umewekwa hadharani kuwa upo mgogoro mkali wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania.

Kiukweli siyo uungwana hata kidogo kwa kilichofanyika juzi! Hizo ni siasa za kitoto na sijui nani anazianzisha, kwa malengo gani?

Kwanza mimi nashangaa sana, lini ndege ya Tanzania imewahi kutangaza hata kivutio kimoja tu cha utalii kilichopo Kenya? Mbona ndege za Kenya zimeandika hadi hifadhi ya Ngorongoro? Tumewahi hata kuwapa wakenya asante ya mdomo hadharani kwa kututangazia vivutio vyetu vya utalii huko duniani?

Enzi ya utawala wa JK na Mkapa Kenya na Tanzania walikuwa ndugu. Nakumbuka enzi ya Mkapa kila shughuli ya kitaifa marais wote watatu wa nchi za EAC lazima wawepo. Leo kuna nini? Lazima tukiri kuwa lipo tatizo la kimfumo. Rais Magufuli ana hulka ambayo waziri wake wa mambo ya nje anahitaji kujiongeza sana na kuzuia yale maboko ambayo yakitoka kwake yanaleta madhara.

Mbaya zaidi zipo taarifa kuwa mgogoro kati ya Kenya na Tanzania umetanuka hadi kwa mataifa ya Uganda na Rwanda. Pia na wao wameshaacha kushirikiana na Tanzania kwenye mambo mengi.

Ni lazima tuelewe kuwa Rais wa Tanzania ana tatizo kubwa sana la ubaguzi ambalo alianza kuwaita watu weupe "Mabeberu ( Sifa mbaya sana kwa mkuu wa nchi) . Hivyo anahitaji kuwa na waziri anayejua sana kujiongeza na kumshauri ila siyo huyu Kabudi ambaye anacheza kila ngoma ya Magufuli na kutuletea uongo na ulaghai.

Kama nchi ni lazima tukiri kuwa tunatumia njia ya aina yake kuishi na Corona ambayo ni vigumu sana kuaminika usoni pa mataifa mengi. Lazima tuje na mikakati ambayo tutawaeleza wenzetu watuelewe na siyo eti tunapiga Nyungu au miujiza. Ni lazima tujue tupo ndani ya dunia ya aina gani.
Ni wajinga pekee ndio watakaoshangilia na kufurahia haya yanayoendelea. Nazani viongozi wa nchi zetu zote mbili waache unafiki kwani mwisho wa siku wanaoathirika na upuuzi huu ni wananchi wa kawaida ambao hawawezi tena kufanya biashara baina ya nchi hizi mbili. Mgogoro huu hauna afya yoyote zaidi ya hasara.
Hii ni hatari sana. Bwana Yile hatki kuwa kwenye Jumuiya yeuote ile kwani hapendi mawazo tofauti na yake. Ni suala la muda tu tutasikia Tanz imejiondoa kwenye Jumuiya Afrika Mashariki kama ilivyofanya kwenye Mahakama ya Afrika.
Kwenye upoyoyo wa waziri kabudi na naibu wake nakubali. Ni zero brains hata ukiangalia vichwa vyao unaweza kubaini. Hii wizara ni nyeti sana kupewa maroporopo
Nimeona WAJINGA-WAJINGA wengi wamepongeza TANZANIA kuzuia ndege za Kenya bila kujua undani wa mgogoro huu....
Ila mwisho wa siku kabudi atajikuta anatembea Kwenye bonde la umauti
Kwanini kwa muda mrefu tumekuwa tukishirikiana iweje iwe leo kwenye awamu hii ya tano??

Tumekuwa tukipigia kelele ubaguzi wa wazi wazi wa Bw Yule anaowafanyia Watz wenye mawazo mbadala. Sasa ubaguzi wake umeshavuka mipaka. Ni hatari kweli kweli.
Unauliza aliyeanzisha mgogoro?

Kama ulikuwa hujui, labda nikufahamishe, aliyeleta migogoro ya nchi na nchi, chanzo kabisa ni Corona, baada ya hapo, ni wivu wa maendeleo na diplomasia ya Uchumi hasa swala la utalii katika nchi zetu hizi

Licha ya hivyo, Bado Wenzetu hawaepuki Lawama zote za mgogoro huu, walianza na mipakani, nawaziri wakakaa, wakakubaliana, lkn kabla hata ya wiki kuisha, Wao wakazuwia tena, hapo Nani mgomvi

Kabudi Pr, Chapa kazi, Wakati mwingine migogoro hii suluhu yake ni kudindishiana tu basi
Angalau mzee Mahiga alikua anamudu ku filter utopolo wa mukulu, kabudi ni garbage in garbage out.
Watanzania tuache ujinga wa kutetea hata vitu vya kijinga Kisa Kenya ni nchi jirani.

Hebu tupeni sababu za msingi za Kenya kuzuia Ndege za Tanzania kutua Kenya halafu iruhusu Ndege zake kutua Tanzania.?

Kama ishu ni maambukizi ya Korona ilibidi wazuie Ndege zote kuingia na kutoka pande zote mbili.

Je hizo za kwao zinavyokuja na kutoka Tanzania zilikuwa hazichukui wenye korona na kupeleka kwao..

Jirani gani anazuia watoto wako kwenda kwake kisa Kuna magonjwa Ila anaruhusu wake kuja kwako.

Nafikiri Tanzania imewasaidia tu wakenya kuwa haina haja ya kuja kubeba korona huku uzidi kuhangaika nayo, baki salama na familia yako...

Kenya ameruhusu Uganda, Rwanda China zenye maambukizi makubwa lakini imeizuia Tanzania.

USA, Russia na Mataifa kadhaa makubwa raia wanaingia na kutoka Tz bila shida lakini Kenya ndio anajiona Standard sana.

Najua haya maamuzi yana athari kubwa Sana kwa nchi zote mbili hasa kwa wafanyabiashara lakini hakuna namna.

Kama ni kulinda ushirikiano tuulinde wote sio upande mmoja tu ndio uwajibike.

Uzuri Tanzania inajibu mashambulizi haianzishi mashambulizi, hivyo kiwewe kitabaki kwa anaejibiwa.

Binafsi nipo pamoja na serikali kwenye kutetea maslahi na hadhi ya nchi popote pale.

Kenya sio Ndugu yetu ni mshirika Mwenzetu kibiashara.
 
Asante sana mtoa mada, nakubaliana nawe sana; tatizo kubwa ni uongozi uliopo sasa nchini. Kweli wamekuwa watu wa jazba na maamuzi ya papo kwa papo katika mambo yanayohitaji mchakato na umakini mkubwa. Tumeona juzi alichoamua Magufuli huko njiani, jamani hayo sio maamuzi yenye busara hata ukiwa rais. Waziri Kabudi amekuwa mtu wa propaganda na uongo ni kweli katika mgogoro huu anaficha kitu, kwanini ndege ya Kenya ilirudia angani?....Na kwanini baadaye Uhuru Kenyatta aliishutumu Tz kwa kutoweka wazi suala la corona? Je, mnafikiri hakuna ukweli kwa alichoongea Uhuru? Kwanini Kenye ichukue hatua hii ngumu ya kuzuia ndege za Tz zisiingie Kenya? Hii ni hatua ngumu sana, unafikiri hawakuwa wanajua nini kitafuata? Nakubaliana na mtoa mada kuwa kuna mgogoro mkubwa wa kidiplomasia umekuwa ukiendelea tangu awamu hii iingie madarakani. Magufuli hashirikiani vizuri na wenzake EAC. Hili lipo wazi, huwezi kuamini kwamba katika msiba mkubwa kama huu hakuna kiongozi kutoka nchi za EAC aliyetia timu, hata kama kuna corona. Tunapaswa kufanya kitu October.
Pendekeza mkuu ni kitu gani tufanye oktoba,kupiga kura au kususia kupiga kura au kupiga kura za hapana?
 
Mtu aliyetolewa jalalani ni masikini. Masikini hawezi kuwa na msimamo, prof analinda ugali wake.
 
Wajinga wakiwa wengi , werevu ndio huwa wajinga. ( Ujinga: kutofahamu jambo). Mkuu tujitahidi kufahamu mambo na kuyachuja kwa kupitia chujio la mawazo ya kupata habari na majawabu sahihi ( Hypothesis analysis pamoja Synthesis analysis).

Bila kufanya hicho tutakumbatia ujinga na tukadhani tuko sahihi katika uchambuzi wa maoni yetu.

Ingefaa sana kama ungemrudisha mwenzio kwenye chujio la mawazo kwa kuchuja hili kwa manufaa yetu wote....

Lakini na wewe umeishia kuchungulia na kuiacha hoja ya mtoa mada ikiwa imesimama tisti...

I mean this; Una nini cha tofauti sana na hiki alichoandika mwenzako?
 
Unauliza aliyeanzisha mgogoro?

Kama ulikuwa hujui, labda nikufahamishe, aliyeleta migogoro ya nchi na nchi, chanzo kabisa ni Corona, baada ya hapo, ni wivu wa maendeleo na diplomasia ya Uchumi hasa swala la utalii katika nchi zetu hizi

Licha ya hivyo, Bado Wenzetu hawaepuki Lawama zote za mgogoro huu, walianza na mipakani, nawaziri wakakaa, wakakubaliana, lkn kabla hata ya wiki kuisha, Wao wakazuwia tena, hapo Nani mgomvi

Kabudi Pr, Chapa kazi, Wakati mwingine migogoro hii suluhu yake ni kudindishiana tu basi

Japo umeandika kwa kifupi, lakini kama mawazo yako uliyoyaandika yanatokana na uchambuzi yakinifu na sio fikra za ujumla hongera sana.

Ukiwa unakula kwenye sahani moja na mwenzako na sahani ina vijiko 20 mwingine akila vijiko 17 na wewe unakula vijiko 3 kwenye hiyo sahani, Lazima ujue unalazima uwe na hofu kuwa kadiri aliye kuwa anakula vijiko 3 na akaendeleza ulaji akifikia vijiko 8, ufahamu fika aliye kuwa anakula vijiko 17 lazima atakusumbua.

Kila unapoendelea kukaribia kumfikia na sasa unakula vijko 9, ujue lazima atakusumbua tena sana sana.

SIsi ndio tumeua utalii wa kenya kwa kuongeza watalii na sasa hivi Tanzania inaingiza watalii wengi kuliko kenya tunaekea sio muda mrefu kufika 2 million, wakati leo tuandikapo haya maelezo Wakenya wako chini ya million 1 (965,000 ).

Tumenunua ndege na Tanzania ni moja ya nchi zilizo changia kufa Kenya Airways kwa kuwa tulikuwa ni soko kubwa kweo , na ndio maana mashirika yao yaliyo kuwa yakifanya kazi Tanzania kama Jambo, Flamingo , na yote mengine yaliyokuwa yakifanya kazi ndani Tanzania ama yamekufa au yamedhoofika na yanaelekea kufa.

Sisi ndio tunailisha kenya, chakula kinacho agizwa kutoka nje ya Kenya sisi tunachangia 80% na tunapeleka Chakula kingi kiasi South Sudan, Somalia tunaendelea kuwalisha.

Idadi ya wanafunzi walio kuwa wanasoma kenya kutoka Tanzania wamepungua kwa asilimia 90% na kwa hiyo kufanya kupunguza External Education Revenue kwa upande wa private Schools kwa kiwango kikubwa.

Gharama ya kulipia ndege ambazo tulikuwa tukiwalipa kenya kwa kutoa huduma za kuongoza ndege kwa Rada zao, sasa hatulipi tena.

Na ndege zilizo kuwa zikipita Tanzania lakini zikiongozwa kupitia RADA za Kenya kwa kuwa sisi tulikuwa hatuna uwezo huo sasa malipo haya tunachukua sisi.

Bidhaa zote au nyingi ambazo Tanzania ilikuwa ikiagiza kutoka Kenya sasa hivi nyingi ya bidhaa hizi tunaagiza kutoka ama China au nchi nyingine ambazo zinazalisha kwa bei nzuri sana kuliko kenya.

Tuliaminishwa kuwa Kenya imewekeza Tanzania kiwango kikubwa kabisa kuliko nchi yeyote dunia, lakini baada ya kufanya Inestment value analysis tumegundua thamani ya investment iliyowekezwa Tanzania Kutokea Kenya iko chini mnoo, kwa hiyo sio sahihi na thamani ni kidogo kabisa ila wameongeza zero nyingi mwisho.

Bomba la kupitisha mafuta kutoka Oima Uganda kwenda baharini lilitakiwa kupitia kenya na sasa litapitia Tanzania kwenda Tanga , jee unajua mabilioni ya dollah Waganda watakayo kuwa wakiliipa Tanzania kwa mwaka?

Kuna mambo mengi ambayo yatachukuwa muda mrefu kuyaelezea.

Ushirikiana kati ya Tanzania na kenya ni walazima kwa nchi zetu, hatuna njia ya mkato au mbadala kwa sasa na muda mrefu ujao..
Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana.

Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa tulichotegemea kupata na mwingine wa yanayoendelea sasa. Ilikuwa ni maigizo matupu. Haya leo hayanihusu!

Juzi wakati wa msiba wa mzee Mkapa, tulisema wazi kuwa upo mgogoro wa kidiplomasia ambao ulipelekea ndege ya Kenya kugeuza angani na kuwarudisha wajumbe wa kutoka Kenya waliokuja kuhudhuria mazishi yale. Mbiombio Kabudi akaja na taarifa eti ndege hiyo ilikumbwa na hitilafu, tena alizungumza palepale msibani. Mbiombio akaagiza ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kutoa taarifa kama yake. Ila Kenya hawakutoa taarifa yoyote kuhusu tukio lile. Tukasema huku kuwa lipo tatizo ila kama kawaida ya wafuasi wasioelewa wakaendelea kushupaza shingo!

Siku mbili baadaye ukweli umedhihirika! Ukweli umewekwa hadharani kuwa upo mgogoro mkali wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania.

Kiukweli siyo uungwana hata kidogo kwa kilichofanyika juzi! Hizo ni siasa za kitoto na sijui nani anazianzisha, kwa malengo gani?

Kwanza mimi nashangaa sana, lini ndege ya Tanzania imewahi kutangaza hata kivutio kimoja tu cha utalii kilichopo Kenya? Mbona ndege za Kenya zimeandika hadi hifadhi ya Ngorongoro? Tumewahi hata kuwapa wakenya asante ya mdomo hadharani kwa kututangazia vivutio vyetu vya utalii huko duniani?

Enzi ya utawala wa JK na Mkapa Kenya na Tanzania walikuwa ndugu. Nakumbuka enzi ya Mkapa kila shughuli ya kitaifa marais wote watatu wa nchi za EAC lazima wawepo. Leo kuna nini? Lazima tukiri kuwa lipo tatizo la kimfumo. Rais Magufuli ana hulka ambayo waziri wake wa mambo ya nje anahitaji kujiongeza sana na kuzuia yale maboko ambayo yakitoka kwake yanaleta madhara.

Mbaya zaidi zipo taarifa kuwa mgogoro kati ya Kenya na Tanzania umetanuka hadi kwa mataifa ya Uganda na Rwanda. Pia na wao wameshaacha kushirikiana na Tanzania kwenye mambo mengi.

Ni lazima tuelewe kuwa Rais wa Tanzania ana tatizo kubwa sana la ubaguzi ambalo alianza kuwaita watu weupe "Mabeberu ( Sifa mbaya sana kwa mkuu wa nchi) . Hivyo anahitaji kuwa na waziri anayejua sana kujiongeza na kumshauri ila siyo huyu Kabudi ambaye anacheza kila ngoma ya Magufuli na kutuletea uongo na ulaghai.

Kama nchi ni lazima tukiri kuwa tunatumia njia ya aina yake kuishi na Corona ambayo ni vigumu sana kuaminika usoni pa mataifa mengi. Lazima tuje na mikakati ambayo tutawaeleza wenzetu watuelewe na siyo eti tunapiga Nyungu au miujiza. Ni lazima tujue tupo ndani ya dunia ya aina gani.

Japo umeandika kwa kifupi, lakini kama mawazo yako uliyoyaandika yanatokana na uchambuzi yakinifu na sio fikra za ujumla hongera sana.

Ukiwa unakula kwenye sahani moja na mwenzako na sahani ina vijiko 20 mwingine akila vijiko 17 na wewe unakula vijiko 3 kwenye hiyo sahani, Lazima ujue unalazima uwe na hofu kuwa kadiri aliye kuwa anakula vijiko 3 na akaendeleza ulaji akifikia vijiko 8, ufahamu fika aliye kuwa anakula vijiko 17 lazima atakusumbua.

Kila unapoendelea kukaribia kumfikia na sasa unakula vijko 9, ujue lazima atakusumbua tena sana sana.

SIsi ndio tumeua utalii wa kenya kwa kuongeza watalii na sasa hivi Tanzania inaingiza watalii wengi kuliko kenya tunaekea sio muda mrefu kufika 2 million, wakati leo tuandikapo haya maelezo Wakenya wako chini ya million 1 (965,000 ).

Tumenunua ndege na Tanzania ni moja ya nchi zilizo changia kufa Kenya Airways kwa kuwa tulikuwa ni soko kubwa kweo , na ndio maana mashirika yao yaliyo kuwa yakifanya kazi Tanzania kama Jambo, Flamingo , na yote mengine yaliyokuwa yakifanya kazi ndani Tanzania ama yamekufa au yamedhoofika na yanaelekea kufa.

Sisi ndio tunailisha kenya, chakula kinacho agizwa kutoka nje ya Kenya sisi tunachangia 80% na tunapeleka Chakula kingi kiasi South Sudan, Somalia tunaendelea kuwalisha.

Idadi ya wanafunzi walio kuwa wanasoma kenya kutoka Tanzania wamepungua kwa asilimia 90% na kwa hiyo kufanya kupunguza External Education Revenue kwa upande wa private Schools kwa kiwango kikubwa.

Gharama ya kulipia ndege ambazo tulikuwa tukiwalipa kenya kwa kutoa huduma za kuongoza ndege kwa Rada zao, sasa hatulipi tena.

Na ndege zilizo kuwa zikipita Tanzania lakini zikiongozwa kupitia RADA za Kenya kwa kuwa sisi tulikuwa hatuna uwezo huo sasa malipo haya tunachukua sisi.

Bidhaa zote au nyingi ambazo Tanzania ilikuwa ikiagiza kutoka Kenya sasa hivi nyingi ya bidhaa hizi tunaagiza kutoka ama China au nchi nyingine ambazo zinazalisha kwa bei nzuri sana kuliko kenya.

Tuliaminishwa kuwa Kenya imewekeza Tanzania kiwango kikubwa kabisa kuliko nchi yeyote dunia, lakini baada ya kufanya Inestment value analysis tumegundua thamani ya investment iliyowekezwa Tanzania Kutokea Kenya iko chini mnoo, kwa hiyo sio sahihi na thamani ni kidogo kabisa ila wameongeza zero nyingi mwisho.

Bomba la kupitisha mafuta kutoka Oima Uganda kwenda baharini lilitakiwa kupitia kenya na sasa litapitia Tanzania kwenda Tanga , jee unajua mabilioni ya dollah Waganda watakayo kuwa wakiliipa Tanzania kwa mwaka?

Kuna mambo mengi ambayo yatachukuwa muda mrefu kuyaelezea.

Ushirikiana kati ya Tanzania na kenya ni walazima kwa nchi zetu, hatuna njia ya mkato au mbadala kwa sasa na muda mrefu ujao..
 
Ingefaa sana kama ungemrudisha mwenzio kwenye chujio la mawazo kwa kuchuja hili kwa manufaa yetu wote....

Lakini na wewe umeishia kuchungulia na kuiacha hoja ya mtoa mada ikiwa imesimama tisti...

I mean this; Una nini cha tofauti sana na hiki alichoandika mwenzako?

Japo umeandika kwa kifupi, lakini kama mawazo yako uliyoyaandika yanatokana na uchambuzi yakinifu na sio fikra za ujumla hongera sana.

Ukiwa unakula kwenye sahani moja na mwenzako na sahani ina vijiko 20 mwingine akila vijiko 17 na wewe unakula vijiko 3 kwenye hiyo sahani, Lazima ujue unalazima uwe na hofu kuwa kadiri aliye kuwa anakula vijiko 3 na akaendeleza ulaji akifikia vijiko 8, ufahamu fika aliye kuwa anakula vijiko 17 lazima atakusumbua.

Kila unapoendelea kukaribia kumfikia na sasa unakula vijko 9, ujue lazima atakusumbua tena sana sana.

SIsi ndio tumeua utalii wa kenya kwa kuongeza watalii na sasa hivi Tanzania inaingiza watalii wengi kuliko kenya tunaekea sio muda mrefu kufika 2 million, wakati leo tuandikapo haya maelezo Wakenya wako chini ya million 1 (965,000 ).

Tumenunua ndege na Tanzania ni moja ya nchi zilizo changia kufa Kenya Airways kwa kuwa tulikuwa ni soko kubwa kweo , na ndio maana mashirika yao yaliyo kuwa yakifanya kazi Tanzania kama Jambo, Flamingo , na yote mengine yaliyokuwa yakifanya kazi ndani Tanzania ama yamekufa au yamedhoofika na yanaelekea kufa.

Sisi ndio tunailisha kenya, chakula kinacho agizwa kutoka nje ya Kenya sisi tunachangia 80% na tunapeleka Chakula kingi kiasi South Sudan, Somalia tunaendelea kuwalisha.

Idadi ya wanafunzi walio kuwa wanasoma kenya kutoka Tanzania wamepungua kwa asilimia 90% na kwa hiyo kufanya kupunguza External Education Revenue kwa upande wa private Schools kwa kiwango kikubwa.

Gharama ya kulipia ndege ambazo tulikuwa tukiwalipa kenya kwa kutoa huduma za kuongoza ndege kwa Rada zao, sasa hatulipi tena.

Na ndege zilizo kuwa zikipita Tanzania lakini zikiongozwa kupitia RADA za Kenya kwa kuwa sisi tulikuwa hatuna uwezo huo sasa malipo haya tunachukua sisi.

Bidhaa zote au nyingi ambazo Tanzania ilikuwa ikiagiza kutoka Kenya sasa hivi nyingi ya bidhaa hizi tunaagiza kutoka ama China au nchi nyingine ambazo zinazalisha kwa bei nzuri sana kuliko kenya.

Tuliaminishwa kuwa Kenya imewekeza Tanzania kiwango kikubwa kabisa kuliko nchi yeyote dunia, lakini baada ya kufanya Inestment value analysis tumegundua thamani ya investment iliyowekezwa Tanzania Kutokea Kenya iko chini mnoo, kwa hiyo sio sahihi na thamani ni kidogo kabisa ila wameongeza zero nyingi mwisho.

Bomba la kupitisha mafuta kutoka Oima Uganda kwenda baharini lilitakiwa kupitia kenya na sasa litapitia Tanzania kwenda Tanga , jee unajua mabilioni ya dollah Waganda watakayo kuwa wakiliipa Tanzania kwa mwaka?

Kuna mambo mengi ambayo yatachukuwa muda mrefu kuyaelezea.

Ushirikiana kati ya Tanzania na kenya ni walazima kwa nchi zetu, hatuna njia ya mkato au mbadala kwa sasa na muda mrefu ujao..
 
Japo umeandika kwa kifupi, lakini kama mawazo yako uliyoyaandika yanatokana na uchambuzi yakinifu na sio fikra za ujumla hongera sana.

Ukiwa unakula kwenye sahani moja na mwenzako na sahani ina vijiko 20 mwingine akila vijiko 17 na wewe unakula vijiko 3 kwenye hiyo sahani, Lazima ujue unalazima uwe na hofu kuwa kadiri aliye kuwa anakula vijiko 3 na akaendeleza ulaji akifikia vijiko 8, ufahamu fika aliye kuwa anakula vijiko 17 lazima atakusumbua.

Kila unapoendelea kukaribia kumfikia na sasa unakula vijko 9, ujue lazima atakusumbua tena sana sana.

SIsi ndio tumeua utalii wa kenya kwa kuongeza watalii na sasa hivi Tanzania inaingiza watalii wengi kuliko kenya tunaekea sio muda mrefu kufika 2 million, wakati leo tuandikapo haya maelezo Wakenya wako chini ya million 1 (965,000 ).

Tumenunua ndege na Tanzania ni moja ya nchi zilizo changia kufa Kenya Airways kwa kuwa tulikuwa ni soko kubwa kweo , na ndio maana mashirika yao yaliyo kuwa yakifanya kazi Tanzania kama Jambo, Flamingo , na yote mengine yaliyokuwa yakifanya kazi ndani Tanzania ama yamekufa au yamedhoofika na yanaelekea kufa.

Sisi ndio tunailisha kenya, chakula kinacho agizwa kutoka nje ya Kenya sisi tunachangia 80% na tunapeleka Chakula kingi kiasi South Sudan, Somalia tunaendelea kuwalisha.

Idadi ya wanafunzi walio kuwa wanasoma kenya kutoka Tanzania wamepungua kwa asilimia 90% na kwa hiyo kufanya kupunguza External Education Revenue kwa upande wa private Schools kwa kiwango kikubwa.

Gharama ya kulipia ndege ambazo tulikuwa tukiwalipa kenya kwa kutoa huduma za kuongoza ndege kwa Rada zao, sasa hatulipi tena.

Na ndege zilizo kuwa zikipita Tanzania lakini zikiongozwa kupitia RADA za Kenya kwa kuwa sisi tulikuwa hatuna uwezo huo sasa malipo haya tunachukua sisi.

Bidhaa zote au nyingi ambazo Tanzania ilikuwa ikiagiza kutoka Kenya sasa hivi nyingi ya bidhaa hizi tunaagiza kutoka ama China au nchi nyingine ambazo zinazalisha kwa bei nzuri sana kuliko kenya.

Tuliaminishwa kuwa Kenya imewekeza Tanzania kiwango kikubwa kabisa kuliko nchi yeyote dunia, lakini baada ya kufanya Inestment value analysis tumegundua thamani ya investment iliyowekezwa Tanzania Kutokea Kenya iko chini mnoo, kwa hiyo sio sahihi na thamani ni kidogo kabisa ila wameongeza zero nyingi mwisho.

Bomba la kupitisha mafuta kutoka Oima Uganda kwenda baharini lilitakiwa kupitia kenya na sasa litapitia Tanzania kwenda Tanga , jee unajua mabilioni ya dollah Waganda watakayo kuwa wakiliipa Tanzania kwa mwaka?

Kuna mambo mengi ambayo yatachukuwa muda mrefu kuyaelezea.

Ushirikiana kati ya Tanzania na kenya ni walazima kwa nchi zetu, hatuna njia ya mkato au mbadala kwa sasa na muda mrefu ujao..

Kama haya yote ndivyo yalivyo, kwanini tunakubali kuishi ktk mgogoro wa kijinga na kipumbavu kama huu?

Hutuwezi kuutatua mgogoro huu kidiplomasia na haya yakaendelea mbele? Tunafeli wapi? Na hiki kinachoendelea sasa tunadhani ndiyo utatuzi?

By all means, huwezi kuzuia mashindano ya kiuchumi na biashara. Ndani ya mashindano haya, sabotage haiepukiki. The issue iwe how to deal with any kind of sabotage...

Hii approach inayotumiwa na Tanzania, siyo. The best approach iwe ni kuwahakikishia Kenya with scientific evidence kuwa, Tanzania hakuna Corona....!!

Kinachoendelea sasa ni mchezo wa kitoto sana huku TZ tukikwepa wajibu wetu wa msingi kama nchi ktk dunia hii....
 
panua maelezo yako yako finyu sana kwa mchambuzi kutoa uchambuzi ambao ni focused.

Walio tuziua kwenda ndege zet kwao ni wao, kwa hiyo watalii ambao wanapita kenya kwenda Zanzibar na ambao ni wengi kuliko wana ishia Kenya hawato weza kuchukuliwa na Air Tanzania au kutumia njia nyingine mbali ya Kenya Airways.

We are as very scientific as Kenya are , we are protecting our vital economic Interests.

Hii ni Economic problems unavikwa joho Diplomatic problem, na njia sahihi ni ku emphasis calculation katika every sythesis analysis katika hili iwe based on Economic interests.

Covic 19 ipo dunia yote, hata watalii wanao kuja wanatoka nchi zenye korona, na sisi kwa ugonjwa huu walisema tunaokotwa barabarani kwa wingi tukiwa maiti. SASA KAMA NI KWELI UTATUSAIDIA.
 
Mfupa uliomshinda Mwanadiplomasia nguli hayati Mzee Mahiga, Prof Kabudi ataweza kweli kumshauri boss kubwa?.

Prof kilichombakisha ni kuganga njaa na kulinda heshima feki ya kuitwa Waziri!.

Tatizo la Raia namba moja wetu ni kujiamini kupita kiasi ambapo kunapelekea yeye kuona kila kitu anakijua na anakiweza!.

Na mpaka sasa hivi hana wasaidizi wa kuweza kuwa na uthubutu wa kumshauri na kama ushauri unatolewa basi unatolewa kwa hofu kubwa!.

Baraza la Mawaziri linaishia kupokea maelekezo tu kutoka kwa boss, na kibaya zaidi na Bunge ambalo lingesaidia kumu shape nalo ndio hilo!.

Hapa aliyekuwa amebaki wa kuweza kumumdu huyu mzee ni mtoto pendwa maana mzee hakohowi, ila nae ndio huyo amekuwa akimshauri mambo ya kuvuruga amani na mshikamano wa Taifa.

Kwa huu uongozi wa one man show sijui nini hatima ya huko tunakoelekea kama Taifa!.

UWONGO UNAWEZA UKARUDIWA RUDIWA MARA NYINGI WATU WASIO KUWA MAKINI WAKAAMINISHWA KINACHOSEMWEMWA NI KWELI:

UKWELI WA MAGUFULI ALIVYO : Magufuli ndio Rais pekee tuliempata Tanzania ambae anasoma taarifa na shauri zote za kitaalamu mapaka koma, kuliko rais yeyote aliye wahi kutokea Tanzania.

Ni Rais ambaye analala muda mfupi mno katika kipindi akiwa Rais kuliko Rais yeyote tulie wahi kumpata nchi hii.

Na yeye yuko kama Mkapa , ndiye Rais ambae haogopi ushauri wowote ambao mara nyingine wale watoa ushauri huwa wanasita jee huu ushauri tumpe mkulu au laa.

Na ndio Rais ambaye anapenda na kuamini elimu kuliko Rais yeyote tangu tuapate uhuru. ( hata teuzi zake zinaweza kukonyesha nini muono wake kwa elimu hasa bobezi)

Na ndio Rais jasiri mpaka sasa kuliko watanguli wake.

Rais Magufuli ana sura mbili Ukarimu, mapenzi ya kweli na mpaka utani na wateule wake LAKINI Magufuli havumilii kuvurunda na kufanya mabo kinyume na maelekezo yake.

Anapotka kitu chake hata protokali ya yeye awe tofauti na wewe hana hilo. Na nina kwambia hata wapinzani kina Seif na wengine walipo kwenda kuzungumza na Magufuli WAWE WAKWELI wanapicha tofauti ya Magufuli kuliko walizo kuwa na kabla.

NI RAIS UNAE ZUNGUMZA NA WASAIDIZI WAKE AKITAKA USHAURI KWAO BILA KUHITAJI CHUJIO LA MAWAZO YAKO, ILA AKIKUDHARAU HAKUPI HESHIMA TENA LABDA UIJENGE UPYA. NA KWA HILI LA UKWELI BILA KUPINDISHA MANENO WAZIRU MKUU AMEWEZA, RIPORT YEYOTE YA WAZIRI MKUU ATAIFANYIA KAZI BILA MASWAHI, AKIKUSEMA VIBAYA WAZIRI MKUU UJUE BIASHARA YAKO IMEISHA. It seems, Prime Minister and few of Ministers Jafo, Kabudi, Lukuvi,Mbarawa has won his full confidence.
Muda ndio utakao eleza mengi kadiri siku zinavyo kwenda.
 
Japo umeandika kwa kifupi, lakini kama mawazo yako uliyoyaandika yanatokana na uchambuzi yakinifu na sio fikra za ujumla hongera sana.

Ukiwa unakula kwenye sahani moja na mwenzako na sahani ina vijiko 20 mwingine akila vijiko 17 na wewe unakula vijiko 3 kwenye hiyo sahani, Lazima ujue unalazima uwe na hofu kuwa kadiri aliye kuwa anakula vijiko 3 na akaendeleza ulaji akifikia vijiko 8, ufahamu fika aliye kuwa anakula vijiko 17 lazima atakusumbua.

Kila unapoendelea kukaribia kumfikia na sasa unakula vijko 9, ujue lazima atakusumbua tena sana sana.

SIsi ndio tumeua utalii wa kenya kwa kuongeza watalii na sasa hivi Tanzania inaingiza watalii wengi kuliko kenya tunaekea sio muda mrefu kufika 2 million, wakati leo tuandikapo haya maelezo Wakenya wako chini ya million 1 (965,000 ).

Tumenunua ndege na Tanzania ni moja ya nchi zilizo changia kufa Kenya Airways kwa kuwa tulikuwa ni soko kubwa kweo , na ndio maana mashirika yao yaliyo kuwa yakifanya kazi Tanzania kama Jambo, Flamingo , na yote mengine yaliyokuwa yakifanya kazi ndani Tanzania ama yamekufa au yamedhoofika na yanaelekea kufa.

Sisi ndio tunailisha kenya, chakula kinacho agizwa kutoka nje ya Kenya sisi tunachangia 80% na tunapeleka Chakula kingi kiasi South Sudan, Somalia tunaendelea kuwalisha.

Idadi ya wanafunzi walio kuwa wanasoma kenya kutoka Tanzania wamepungua kwa asilimia 90% na kwa hiyo kufanya kupunguza External Education Revenue kwa upande wa private Schools kwa kiwango kikubwa.

Gharama ya kulipia ndege ambazo tulikuwa tukiwalipa kenya kwa kutoa huduma za kuongoza ndege kwa Rada zao, sasa hatulipi tena.

Na ndege zilizo kuwa zikipita Tanzania lakini zikiongozwa kupitia RADA za Kenya kwa kuwa sisi tulikuwa hatuna uwezo huo sasa malipo haya tunachukua sisi.

Bidhaa zote au nyingi ambazo Tanzania ilikuwa ikiagiza kutoka Kenya sasa hivi nyingi ya bidhaa hizi tunaagiza kutoka ama China au nchi nyingine ambazo zinazalisha kwa bei nzuri sana kuliko kenya.

Tuliaminishwa kuwa Kenya imewekeza Tanzania kiwango kikubwa kabisa kuliko nchi yeyote dunia, lakini baada ya kufanya Inestment value analysis tumegundua thamani ya investment iliyowekezwa Tanzania Kutokea Kenya iko chini mnoo, kwa hiyo sio sahihi na thamani ni kidogo kabisa ila wameongeza zero nyingi mwisho.

Bomba la kupitisha mafuta kutoka Oima Uganda kwenda baharini lilitakiwa kupitia kenya na sasa litapitia Tanzania kwenda Tanga , jee unajua mabilioni ya dollah Waganda watakayo kuwa wakiliipa Tanzania kwa mwaka?

Kuna mambo mengi ambayo yatachukuwa muda mrefu kuyaelezea.

Ushirikiana kati ya Tanzania na kenya ni walazima kwa nchi zetu, hatuna njia ya mkato au mbadala kwa sasa na muda mrefu ujao..

Japo umeandika kwa kifupi, lakini kama mawazo yako uliyoyaandika yanatokana na uchambuzi yakinifu na sio fikra za ujumla hongera sana.

Ukiwa unakula kwenye sahani moja na mwenzako na sahani ina vijiko 20 mwingine akila vijiko 17 na wewe unakula vijiko 3 kwenye hiyo sahani, Lazima ujue unalazima uwe na hofu kuwa kadiri aliye kuwa anakula vijiko 3 na akaendeleza ulaji akifikia vijiko 8, ufahamu fika aliye kuwa anakula vijiko 17 lazima atakusumbua.

Kila unapoendelea kukaribia kumfikia na sasa unakula vijko 9, ujue lazima atakusumbua tena sana sana.

SIsi ndio tumeua utalii wa kenya kwa kuongeza watalii na sasa hivi Tanzania inaingiza watalii wengi kuliko kenya tunaekea sio muda mrefu kufika 2 million, wakati leo tuandikapo haya maelezo Wakenya wako chini ya million 1 (965,000 ).

Tumenunua ndege na Tanzania ni moja ya nchi zilizo changia kufa Kenya Airways kwa kuwa tulikuwa ni soko kubwa kweo , na ndio maana mashirika yao yaliyo kuwa yakifanya kazi Tanzania kama Jambo, Flamingo , na yote mengine yaliyokuwa yakifanya kazi ndani Tanzania ama yamekufa au yamedhoofika na yanaelekea kufa.

Sisi ndio tunailisha kenya, chakula kinacho agizwa kutoka nje ya Kenya sisi tunachangia 80% na tunapeleka Chakula kingi kiasi South Sudan, Somalia tunaendelea kuwalisha.

Idadi ya wanafunzi walio kuwa wanasoma kenya kutoka Tanzania wamepungua kwa asilimia 90% na kwa hiyo kufanya kupunguza External Education Revenue kwa upande wa private Schools kwa kiwango kikubwa.

Gharama ya kulipia ndege ambazo tulikuwa tukiwalipa kenya kwa kutoa huduma za kuongoza ndege kwa Rada zao, sasa hatulipi tena.

Na ndege zilizo kuwa zikipita Tanzania lakini zikiongozwa kupitia RADA za Kenya kwa kuwa sisi tulikuwa hatuna uwezo huo sasa malipo haya tunachukua sisi.

Bidhaa zote au nyingi ambazo Tanzania ilikuwa ikiagiza kutoka Kenya sasa hivi nyingi ya bidhaa hizi tunaagiza kutoka ama China au nchi nyingine ambazo zinazalisha kwa bei nzuri sana kuliko kenya.

Tuliaminishwa kuwa Kenya imewekeza Tanzania kiwango kikubwa kabisa kuliko nchi yeyote dunia, lakini baada ya kufanya Inestment value analysis tumegundua thamani ya investment iliyowekezwa Tanzania Kutokea Kenya iko chini mnoo, kwa hiyo sio sahihi na thamani ni kidogo kabisa ila wameongeza zero nyingi mwisho.

Bomba la kupitisha mafuta kutoka Oima Uganda kwenda baharini lilitakiwa kupitia kenya na sasa litapitia Tanzania kwenda Tanga , jee unajua mabilioni ya dollah Waganda watakayo kuwa wakiliipa Tanzania kwa mwaka?

Kuna mambo mengi ambayo yatachukuwa muda mrefu kuyaelezea.

Ushirikiana kati ya Tanzania na kenya ni walazima kwa nchi zetu, hatuna njia ya mkato au mbadala kwa sasa na muda mrefu ujao..
Kwahiyo umekubali kuwa tunaua soko letu la mazao? Maana hatuwapelekei bure huko.

Kuhusu investment naona huelewi ila Kenya imewekeza maradufu Tanzania kuliko sisi na hata asilimia kubwa ya mazao yanayotoka Tanzania yanalimwa na wakenya. Pia kuhusu biashara emb nenga mpaka wa Horohoro na Namanga urudi tuje kujadili vizuri. Pia fuatilia sekta ya utalii uone watalii wanaotokea upande Kenya kuupanda mlima ni wangapi kisha uje ulinganishe na wanaotokea upande wa KIA!
 
Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana.

Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa tulichotegemea kupata na mwingine wa yanayoendelea sasa. Ilikuwa ni maigizo matupu. Haya leo hayanihusu!

Juzi wakati wa msiba wa mzee Mkapa, tulisema wazi kuwa upo mgogoro wa kidiplomasia ambao ulipelekea ndege ya Kenya kugeuza angani na kuwarudisha wajumbe wa kutoka Kenya waliokuja kuhudhuria mazishi yale. Mbiombio Kabudi akaja na taarifa eti ndege hiyo ilikumbwa na hitilafu, tena alizungumza palepale msibani. Mbiombio akaagiza ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kutoa taarifa kama yake. Ila Kenya hawakutoa taarifa yoyote kuhusu tukio lile. Tukasema huku kuwa lipo tatizo ila kama kawaida ya wafuasi wasioelewa wakaendelea kushupaza shingo!

Siku mbili baadaye ukweli umedhihirika! Ukweli umewekwa hadharani kuwa upo mgogoro mkali wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania.

Kiukweli siyo uungwana hata kidogo kwa kilichofanyika juzi! Hizo ni siasa za kitoto na sijui nani anazianzisha, kwa malengo gani?

Kwanza mimi nashangaa sana, lini ndege ya Tanzania imewahi kutangaza hata kivutio kimoja tu cha utalii kilichopo Kenya? Mbona ndege za Kenya zimeandika hadi hifadhi ya Ngorongoro? Tumewahi hata kuwapa wakenya asante ya mdomo hadharani kwa kututangazia vivutio vyetu vya utalii huko duniani?

Enzi ya utawala wa JK na Mkapa Kenya na Tanzania walikuwa ndugu. Nakumbuka enzi ya Mkapa kila shughuli ya kitaifa marais wote watatu wa nchi za EAC lazima wawepo. Leo kuna nini? Lazima tukiri kuwa lipo tatizo la kimfumo. Rais Magufuli ana hulka ambayo waziri wake wa mambo ya nje anahitaji kujiongeza sana na kuzuia yale maboko ambayo yakitoka kwake yanaleta madhara.

Mbaya zaidi zipo taarifa kuwa mgogoro kati ya Kenya na Tanzania umetanuka hadi kwa mataifa ya Uganda na Rwanda. Pia na wao wameshaacha kushirikiana na Tanzania kwenye mambo mengi.

Ni lazima tuelewe kuwa Rais wa Tanzania ana tatizo kubwa sana la ubaguzi ambalo alianza kuwaita watu weupe "Mabeberu ( Sifa mbaya sana kwa mkuu wa nchi) . Hivyo anahitaji kuwa na waziri anayejua sana kujiongeza na kumshauri ila siyo huyu Kabudi ambaye anacheza kila ngoma ya Magufuli na kutuletea uongo na ulaghai.

Kama nchi ni lazima tukiri kuwa tunatumia njia ya aina yake kuishi na Corona ambayo ni vigumu sana kuaminika usoni pa mataifa mengi. Lazima tuje na mikakati ambayo tutawaeleza wenzetu watuelewe na siyo eti tunapiga Nyungu au miujiza. Ni lazima tujue tupo ndani ya dunia ya aina gani.
"Professorial rubbish". TAL.
 
Nimeona WAJINGA-WAJINGA wengi wamepongeza TANZANIA kuzuia ndege za Kenya bila kujua undani wa mgogoro huu....
Ila mwisho wa siku kabudi atajikuta anatembea Kwenye bonde la umauti
mkuu taratibu kwamba vichwa vyao vyafanana na wagonjwa wa usonji
 
Back
Top Bottom