Tatizo la Apple ni moja, mtu mwenye Iphone 11 na Iphone 13 hawana tofauti.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi.

Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone 13 huwezi kuwatofautisha hadi uwaulize wewe unatumia iphone gani hiyo. Hayo mambo ndio sipendi.

Tukija kwa manufacturer wengine kama Samsung, Samsung s9 iko tofauti na s10 iko tofauti na s20, iko tofauti na s21 na iko tofauti na s22 kwa muonekano.

Nasikia Iphone 14 itakua tofauti, tusubiri tuone.
 
Mbona zina utofauti au we waangalia camera tu, zinatofautiana hadi frame.
Mpangilio wa camera na notch pia
 
Samsung s22 ultra na samsung note 20 ultra ni kulwa na doto.

Iphone wanaboa tu kwenye notch yao sijui wameshindwa nini hata kutumia punch hole.
 
Zina utofauti ila mpaka kwa wafuatiliaji, kuangalia ukubwa wa notch...etc ila mm naonaga zike plain model zenye camera mbili ndio zinamuonekano mzur
 
y31ai6w6roh81.jpg

Angalia vizuri ujiridhishe mkuu.

Nimesikia wataweka punch hole mwaka huu ila lazima muilipie. Yaani kila mabadiliko anayofanya apple kwenye simu zake lazima watumiaji wa mwisho wayalipie hata kama huko Android yako miaka mingi.

Mwaka huu akiweka punch hole, bei yake sio ya kitoto.

Tusubiri.
 
Zina utofauti ila mpaka kwa wafuatiliaji, kuangalia ukubwa wa notch...etc ila mm naonaga zike plain model zenye camera mbili ndio zinamuonekano mzur
Ndio maana nasema hadi uwe mfuatiliaji, ukae nazo uchunguze notch ama madirisha yao nk.

Kwa hiyo watu wawili wakiwa wanaongea kwa pamoja huwezi kujua ipi ni ipi hadi uzishike kuziangalia.
 
Hata Samsung A series
A32, A33, A52, A53, A73, A72, A23, A13... Hazina tofauti kwa muonekano
 
Mbaya zaidi hata ios ni sawa iphone 7 ios 15......
Iphone 11 ios 15....

OS zinapaswa kuwa tofauti? Najua kuna simu hazina update ya OS saivi na hiyo ni kutokana na kuwa za muda mrefu na matoleo mengi yametoka.

iOS ina wadau wake na android ina wadau wake kila mtu atumie kinachompa satisfaction
 
images - 2022-04-18T212738.129.jpeg

Moja ya picha ya gereza la kifahari
 
Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi.

Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone 13 huwezi kuwatofautisha hadi uwaulize wewe unatumia iphone gani hiyo. Hayo mambo ndio sipendi.

Tukija kwa manufacturer wengine kama Samsung, Samsung s9 iko tofauti na s10 iko tofauti na s20, iko tofauti na s21 na iko tofauti na s22 kwa muonekano.

Nasikia Iphone 14 itakua tofauti, tusubiri tuone.

Tafuta hela mkuu acha mboyoyo mingiiii
 
Back
Top Bottom