The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #21
Aliekwambia sina hela ni nani? Muulize mama yako nani analisha ukoo wenu.Tafuta hela mkuu acha mboyoyo mingiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekwambia sina hela ni nani? Muulize mama yako nani analisha ukoo wenu.Tafuta hela mkuu acha mboyoyo mingiiii
Aliekwambia sina hela ni nani? Muulize mama yako nani analisha ukoo wenu.
DuhAliekwambia sina hela ni nani? Muulize mama yako nani analisha ukoo wenu.
Si unajua haina fingure print. Pale ndo kuna sensors za kufungua simu kwa facial recognition sema day after day wanaiponguza nadhani huko mbeleni wataiondoa kabisa zikae chini ya kiooSamsung s22 ultra na samsung note 20 ultra ni kulwa na doto.
Iphone wanaboa tu kwenye notch yao sijui wameshindwa nini hata kutumia punch hole.
Hahah kwani huna habari ndugu wamesema dirisha litaondolewa kabisa kwenye iphone 16? 😂Si unajua haina fingure print. Pale ndo kuna sensors za kufungua simu kwa facial recognition sema day after day wanaiponguza nadhani huko mbeleni wataiondoa kabisa zikae chini ya kioo
Yah ninayo maana nilion prototype za iphone 14 imepunguzwa tu. Under display camera niliona kuna kikampuni kimejaribu ila matokeo hayakuwa sawa sana.Hahah kwani huna habari ndugu wamesema dirisha litaondolewa kabisa kwenye iphone 16? 😂
Halafu prototype ya iphone 14 ni ed n edd na 11,12 na 13!
Nina hakika siku dirisha linatolewa pale other brands zitakuwa zishamove kwenye punch hole hadi under display camera.
Samsung na Xiaomi ndio wamejaribu hiyo technology ya under display cam na matokeo hayakuwa vizuri sana.Yah ninayo maana nilion prototype za iphone 14 imepunguzwa tu. Under display camera niliona kuna kikampuni kimejaribu ila matokeo hayakuwa sawa sana.
Apple ni slow mover when it comes to iPhone lakini changes zake akizifanya zinakaa kwa muda mrefu unlike wengine ambao wanaweka toleo toleo lijalo wanatupa.
Japo naye kwenye 3D touch aliitosa
Mimi niliona simu flani brand siikumbuki ilikuwa review ya mkbh mwaka jana ila haikuwa vizuri kunw muda ilikuwa inazingua.Samsung na Xiaomi ndio wamejaribu hiyo technology ya under display cam na matokeo hayakuwa vizuri sana.
Nina hakika mwakani au mwaka kesho kutwa tuna shuhudia kifaa kikiwa perfect kwenye hiyo angle.
Iphone mi nilichovutiwa nacho kwenye 13's series ni battery life na chip yao a15, hiyo imeipeleka sana sd kuanzia 888,888+ hadi hii 8 gen 1 bado imeshindwa ikamataka kabisa.
Wengine wapenzi wa picha, siku hizi picha moja inakula hadi 20mb's bado hapo nyimbo na vidio za kutosha na magame pia.Mimi niliona simu flani brand siikumbuki ilikuwa review ya mkbh mwaka jana ila haikuwa vizuri kunw muda ilikuwa inazingua.
Hivi kwenye simu uwa mnaweka nini mpaka mnajaza hayo ma Gb mkuu.
Mimi nina simu ina 64gb toka mwaka jana mwezi wa 8 ila mpaka now sijamaliza haya gb 20 🤣🤣.
Ukikuta nina miziki kwenye simu haiwezi kuzidi 10.
Mimi sio mtu wa mapicha picha kwenye simu ukikuta picha kama nyingi 200 maana uwa nafuta votu vingi kila nikipata muda. Sipendi simu iwe na vitu vingi kiasi kwamba nikitaka kitu niwe naskim.Wengine wapenzi wa picha, siku hizi picha moja inakula hadi 20mb's bado hapo nyimbo na vidio za kutosha na magame pia.
Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi.
Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone 13 huwezi kuwatofautisha hadi uwaulize wewe unatumia iphone gani hiyo. Hayo mambo ndio sipendi.
Tukija kwa manufacturer wengine kama Samsung, Samsung s9 iko tofauti na s10 iko tofauti na s20, iko tofauti na s21 na iko tofauti na s22 kwa muonekano.
Nasikia Iphone 14 itakua tofauti, tusubiri tuone.
View attachment 2188969
Angalia vizuri ujiridhishe mkuu.
Nimesikia wataweka punch hole mwaka huu ila lazima muilipie. Yaani kila mabadiliko anayofanya apple kwenye simu zake lazima watumiaji wa mwisho wayalipie hata kama huko Android yako miaka mingi.
Mwaka huu akiweka punch hole, bei yake sio ya kitoto.
Tusubiri.
simu ikiwa na storage kubwa inakufanya ujiamini pia.Mimi niliona simu flani brand siikumbuki ilikuwa review ya mkbh mwaka jana ila haikuwa vizuri kunw muda ilikuwa inazingua.
Hivi kwenye simu uwa mnaweka nini mpaka mnajaza hayo ma Gb mkuu.
Mimi nina simu ina 64gb toka mwaka jana mwezi wa 8 ila mpaka now sijamaliza haya gb 20 [emoji1787][emoji1787].
Ukikuta nina miziki kwenye simu haiwezi kuzidi 10.
iphone 12 ina identity ndio sababu imekuvutia,hasa kwenye mkao wa camera.umesema ukweli kama 12 pro max na 13 pro max sioni tofauti zake sana, ingawa katika zote naona I phone 12 ni nzuri zaidi …ngoja tuone ilo toleo linalokuja.
Kwakweli mimi siyo mtu wa mapicha picha kabisa. Labda ndio sababau, mimi simu unakuta ina apps zangu muhimu na imekuwa synced na emails accounts basisimu ikiwa na storage kubwa inakufanya ujiamini pia.
kwa sasa ukirekodi video ya harusi kwa 4k dakika 4 tu za bibi harusi akiwa anaingia unakuta linasoma 1.2gb.unaanza kufikiria ukaihamishe wakati ni ya kukaa humo humo tu.
Nitakuletea mrejesho mkuu..View attachment 2188969
Angalia vizuri ujiridhishe mkuu.
Nimesikia wataweka punch hole mwaka huu ila lazima muilipie. Yaani kila mabadiliko anayofanya apple kwenye simu zake lazima watumiaji wa mwisho wayalipie hata kama huko Android yako miaka mingi.
Mwaka huu akiweka punch hole, bei yake sio ya kitoto.
Tusubiri.
Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi.
Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone 13 huwezi kuwatofautisha hadi uwaulize wewe unatumia iphone gani hiyo. Hayo mambo ndio sipendi.
Tukija kwa manufacturer wengine kama Samsung, Samsung s9 iko tofauti na s10 iko tofauti na s20, iko tofauti na s21 na iko tofauti na s22 kwa muonekano.
Nasikia Iphone 14 itakua tofauti, tusubiri tuone.
Kumbe watu walishakisia siku nyingiKuna madisigner wamekisia kua iphone 14 zitakua hiviView attachment 2240904
View attachment 2240905
View attachment 2240906