The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mbona zina utofauti au we waangalia camera tu, zinatofautiana hadi frame.Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi.
Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone 13 huwezi kuwatofautisha hadi uwaulize wewe unatumia iphone gani hiyo. Hayo mambo ndio sipendi.
Tukija kwa manufacturer wengine kama Samsung, Samsung s9 iko tofauti na s10 iko tofauti na s20, iko tofauti na s21 na iko tofauti na s22 kwa muonekano.
Nasikia Iphone 14 itakua tofauti, tusubiri tuone.
Samsung s22 ultra na samsung note 20 ultra ni kulwa na doto.
Iphone wanaboa tu kwenye notch yao sijui wameshindwa nini hata kutumia punch hole.
Ndio maana nasema hadi uwe mfuatiliaji, ukae nazo uchunguze notch ama madirisha yao nk.Zina utofauti ila mpaka kwa wafuatiliaji, kuangalia ukubwa wa notch...etc ila mm naonaga zike plain model zenye camera mbili ndio zinamuonekano mzur
Mkuu hizi ni midrange phonesHata Samsung A series
A32, A33, A52, A53, A73, A72, A23, A13... Hazina tofauti kwa muonekano
Mbaya zaidi hata ios ni sawa iphone 7 ios 15......
Iphone 11 ios 15....
Kwenda na infiss yaoUtofauti Upi mkuu?
unataka kuzitifautisha zikiwa mikononi mwa watu ili iweje uzikwapue
Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi.