Tatizo la Apple ni moja, mtu mwenye Iphone 11 na Iphone 13 hawana tofauti.

Samsung s22 ultra na samsung note 20 ultra ni kulwa na doto.

Iphone wanaboa tu kwenye notch yao sijui wameshindwa nini hata kutumia punch hole.
Si unajua haina fingure print. Pale ndo kuna sensors za kufungua simu kwa facial recognition sema day after day wanaiponguza nadhani huko mbeleni wataiondoa kabisa zikae chini ya kioo
 
Si unajua haina fingure print. Pale ndo kuna sensors za kufungua simu kwa facial recognition sema day after day wanaiponguza nadhani huko mbeleni wataiondoa kabisa zikae chini ya kioo
Hahah kwani huna habari ndugu wamesema dirisha litaondolewa kabisa kwenye iphone 16? 😂

Halafu prototype ya iphone 14 ni ed n edd na 11,12 na 13!

Nina hakika siku dirisha linatolewa pale other brands zitakuwa zishamove kwenye punch hole hadi under display camera.
 
Yah ninayo maana nilion prototype za iphone 14 imepunguzwa tu. Under display camera niliona kuna kikampuni kimejaribu ila matokeo hayakuwa sawa sana.
Apple ni slow mover when it comes to iPhone lakini changes zake akizifanya zinakaa kwa muda mrefu unlike wengine ambao wanaweka toleo toleo lijalo wanatupa.
Japo naye kwenye 3D touch aliitosa
 
Samsung na Xiaomi ndio wamejaribu hiyo technology ya under display cam na matokeo hayakuwa vizuri sana.

Nina hakika mwakani au mwaka kesho kutwa tuna shuhudia kifaa kikiwa perfect kwenye hiyo angle.

Iphone mi nilichovutiwa nacho kwenye 13's series ni battery life na chip yao a15, hiyo imeipeleka sana sd kuanzia 888,888+ hadi hii 8 gen 1 bado imeshindwa ikamataka kabisa.
 
Mimi niliona simu flani brand siikumbuki ilikuwa review ya mkbh mwaka jana ila haikuwa vizuri kunw muda ilikuwa inazingua.
Hivi kwenye simu uwa mnaweka nini mpaka mnajaza hayo ma Gb mkuu.
Mimi nina simu ina 64gb toka mwaka jana mwezi wa 8 ila mpaka now sijamaliza haya gb 20 🤣🤣.
Ukikuta nina miziki kwenye simu haiwezi kuzidi 10.
 
Wengine wapenzi wa picha, siku hizi picha moja inakula hadi 20mb's bado hapo nyimbo na vidio za kutosha na magame pia.
 
Wengine wapenzi wa picha, siku hizi picha moja inakula hadi 20mb's bado hapo nyimbo na vidio za kutosha na magame pia.
Mimi sio mtu wa mapicha picha kwenye simu ukikuta picha kama nyingi 200 maana uwa nafuta votu vingi kila nikipata muda. Sipendi simu iwe na vitu vingi kiasi kwamba nikitaka kitu niwe naskim.
Pia siwez miziki mingi kwenye simu maana sipendelei sana kutumia earphone au headphone kusikiliza mziki.
Sema transition ya Apple kwenye comps ndio nimeipenda zaidi. Ingekuwa ina run sofftware zangu ningehamia huko
 
Rangi ya blue ya sierra umeiona kwenye iphone gani nyingine??
 
umesema ukweli kama 12 pro max na 13 pro max sioni tofauti zake sana, ingawa katika zote naona I phone 12 ni nzuri zaidi …ngoja tuone ilo toleo linalokuja.
 
Kuna madisigner wamekisia kua iphone 14 zitakua hivi

simu ikiwa na storage kubwa inakufanya ujiamini pia.

kwa sasa ukirekodi video ya harusi kwa 4k dakika 4 tu za bibi harusi akiwa anaingia unakuta linasoma 1.2gb.unaanza kufikiria ukaihamishe wakati ni ya kukaa humo humo tu.
 
umesema ukweli kama 12 pro max na 13 pro max sioni tofauti zake sana, ingawa katika zote naona I phone 12 ni nzuri zaidi …ngoja tuone ilo toleo linalokuja.
iphone 12 ina identity ndio sababu imekuvutia,hasa kwenye mkao wa camera.
 
simu ikiwa na storage kubwa inakufanya ujiamini pia.

kwa sasa ukirekodi video ya harusi kwa 4k dakika 4 tu za bibi harusi akiwa anaingia unakuta linasoma 1.2gb.unaanza kufikiria ukaihamishe wakati ni ya kukaa humo humo tu.
Kwakweli mimi siyo mtu wa mapicha picha kabisa. Labda ndio sababau, mimi simu unakuta ina apps zangu muhimu na imekuwa synced na emails accounts basi
 
Haya angalia kwa makini utofauti wa hizi macho matatu back cameras hizi hapa
 
Nitakuletea mrejesho mkuu..
 
Tofauti ipo sana lakini pia chukua kitu roho imependa achana iPhone vimba kwenye Samsung brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…