Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

Pointi tupu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli mimi sio wa ufipa lakini simtaki kabisa huyu jamaa anayeitwa Rais. Ameshindwa kabisa hata tu kuonesha uongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio KIDEMOCRASIA na umetumia HAKI yako sio kila kitu atachokifanya mheshimiwa rais upendezewe nacho ila kuna watu wanapendezewa na wengi, kwaiyo wengi wape.
 
Usiseme watanzania dizaini yako sema nyumbu dizaini yako manaake hastahili kuitwa hata mtanzania
 
Yani Sio Tanzania tu nch zote za Africa najiuliza kwann hawakufunga mipaka ya nchi wakitaka wajue wamefanya ujinga wa kiwango Cha lami wangalie now wale wachina tulio kua tunawachekea na kuwakaribisha nchin leo wanatufukuza kwao na kusema kwamba sisi tunawapelekea Corona ambayo imeanzia kwao na wamefunga mipaka Yao huu ujinga walio fanya unadhihirisha kabisa waafrica bado niwajinga Sana hasa VIONGOZI wetu hiv tungefunga mipaka yetu toka mwanzo ingekuaje.

Na bado naona viongoz wetu wanaendelea kufanya ujinga hiv kwanini wameshindwa kufunga mipaka ya Mikoa ili ugonjwa usisambae ivi tunasubir nn kuchukua hatua Yan Kuna ujinga mtu anafanya mpaka unashangaa au huu ugonjwa VIONGOZI wanajua kwamba ni plan na walifaamishwa so wanasubir tu tufe Mana huu ujinga ni kiwango Cha Lam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali sisi duniani huko kwa siku nchi moja inazika watu elfu moja na hawaleti ushoga na umaku wa kumlaumu na kulialia hovyo hovyo
 
Bado mabasi ya dar na mikoa mingine yanaendelea kusambaza......wakuu wa wilaya,mikoa wanashindwa kusema wanaotoka dsm wawekwe karantini kwasababu bado mamlaka ya uteuzi bado inapiga kahawa tu vijiweni bila kujali bomu lililotegeshwa.
 
Umetumia neno "common sense" lakini umesahau kwamba common sense is not that common to all common people
 
Usiseme watanzania dizaini yako hastahili kuitwa hata mtanzania
Mm mtaliano ila huku Italia atupigi kelele za kidwanz kama mtanzania fake kama wewe ata kama tuna vifo vingi ila bado tunaamini serikali yetu.
 
Vipi umeambukizwa corona na familia yako? Na utakoma kama unasubiri serikali ikutangazie lockdown hakuna cha lockdown

lockdown ni kwa usalama wako na familia yako,haumkomoi Becky kwa kutoweka lockdown...muda ni mwalimu mzuri,leo ndio siku ya tatu ya maombi..subiri tuone yatakayojiri, boss wako katoka kujimwambafy hafungi mipaka previously mpaka kuomba tufunge kwa siku tatu...subiri nakupa na muda na wewe nione utaimba ngonjera gani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…