Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

Wanainchi wanaomchukia ni kikundi Cha wahuni wa ufipa ila mamilioni ya watanzania watakupa jibu kwenye sanduku la kura uchaguzi ujao
Mda mwingine yanapoongelewa haya uwe na akili kijana, nikwambie ata kama utasalimika wewe sawa lkn hutopata bahati ya kuiona maiti ya baba yako wala maiti ya mama yko.ktk wakt kama ndio alitakiwa aoneshe uwezo na hekima zake na sio kukaa kando.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusipotoshane na kugeuzana misukule ya kakikundi Cha wahuni wa mtaa wa ufipa
 
Wanainchi wanaomchukia ni kikundi Cha wahuni wa ufipa ila mamilioni ya watanzania watakupa jibu kwenye sanduku la kura uchaguzi ujao
Unawaza uchaguzi wakati wenzako tunawaza tunatokaje kwenye hii Corona. Wewe mtu wa ajabu na mbinafsi.
 
Kama tungekubaliana wote tungeiweka kwenye karantini mikoa yote yenye maambukizi. Hakuna mtu kutoka wala kuingia. Kama ni suala la uchumi tutalijadili baadaye baada ya kumpiga na kumshinda adui. Hivi anakosekana mwenye maamuzi wa kuwaza kama mimi?
 
Reactions: Mj1
Nakumbuka mkuu... Sio kosa langu ila labda ww ndio ulituangusha
Kama siyo wewe basi anakuwa mtu fulani, au ndugu au kikundi fulani cha watu au mamlaka fulani. Jambo halitokei hivi hivi, lazima kuna mtu anahusika na kutuletea janga hili la chattle
 
Unawaza uchaguzi wakati wenzako tunawaza tunatokaje kwenye hii Corona. Wewe mtu wa ajabu na mbinafsi.
Corona itapita tu Kama yalivyopita majanga mengine Cha muhimu jikinge
 
Kama tungekubaliana wote tungeiweka kwenye karantini mikoa yote yenye maambukizi. Hakuna mtu kutoka wala kuingia. Kama ni suala la uchumi tutalijadili baadaye baada ya kumpiga na kumshinda adui. Hivi anakosekana mwenye maamuzi wa kuwaza kama mimi?
Mkuu jana sijui juzi tu wametangaziwa kuwa wa Dar wabaki Dar leo asubuhi Ubungo Terminal hapakanyagiki...….Ndicho kilichotokea kwenye jimbo moja la Italy...……..Watu walikimbilia jimbo lingine wakidhani watakuwa salama kumbe ndio wamepeleka maambukizi..(Hawa wetu wanakimbilia mikoani - pengine vijijini ambako wazee na wale wenye magonjwwa yasiyotibika wameshindikana na kurejeshwa vijijini ndio wapo...………) hatuombei ila tusikilizie tu
 
Pendekezo langu siyo hilo la kukimbilia mikoani bali la kuzuia kuingia wala kutoka angalau kwa siku 14
 
Reactions: Mj1
Pendekezo langu siyo hilo la kukimbilia mikoani bali la kuzuia kuingia wala kutoka angalau kwa siku 14
Nimekuelew mkuu………… Nilikuwa natoa tu angalizo kwa kuzingatia hali ya sasa……..uko sahihi kabisa.
 
Kwani jamaa wa kaugonjwa kadogo amerudi mjini au bado yuko chattle😍😍😃😂🐃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…