mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
lzewe6xssdgxzrff6dHabari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
KWANZA POLE SANA KIJANA,HAYO MAISHA PIA NILISHAWAHI KUYAPITIA KITAMBO.Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
KUCHUKIWA KAZINI HUWA MARA NYINGI KUNASABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO,NITAYAORODHESHA YOTE HAPA HALAFU WEWE MWENYEWE UTAELEWA UPO KWENYE KIPENGELE KIPI.
1.UKIWAZIDI ELIMU/AU UKIWA SMART KUWAZIDI WAFANYAKAZI ULIOWAKUTA HAPO KAZINI IKIWEMO NA BOSS WAO.
2.UKIWA NI MTU UNAYEJIAMINI SANA NA MWENYE MISIMAMO NA HUPENDI KUPEWA MAAGIZO YA KIJINGA YASIYO NA MANTIKI,PIA HUTAKI MAISHA YA KUJIPENDEKEZA AU KUISHI KAMA CHAWA.
3.UKIWA SERIOUS SANA NA MAMBO YAKO NA HUNA MUDA WA KUJICHANGANYA NA WAFANYAKAZI WENZAKO,HII HUTOKEA ZAIDI KWENYE SEHEMU ZA KAZI AMBAZO WATU WANAFANYA MAGENDO KWA HIYO WANAHOFIA USALAMA WAO USIJE UKAWACHOMA SIKU ZA MBELENI.
4.KAMA HAUPO KWENYE VIPENGELE VYOTE HAPO JUU BASI UJUE UMEFANYIWA MAMBO YA KISHIRIKINA,UMEFUNGWA ILI MAISHA YAKO YOTE UWE NI MTU WA MAHANGAIKO WATU WAKO WA KARIBU HAWATAKI UFANIKIWE KIMAISHA.
KAMA UNAHITAJI USHAURI AU UNA MASWALI ZAIDI KUWA HURU KUNICHEKI NITAKUELEKEZA KIUNDANI ZAIDI