Tatizo la kuchukiwa kazini

Tatizo la kuchukiwa kazini

Sehemu zote nne. Itakuwa shida wewe. Ungepata mwanasaikolojia aukufanyie psychoanalysis agundue shida yako ipo wapi. Kuna shida za kisaikolojia za personality disoders ambazo hufanya mtu apate ugumu kuishi na wengine au kudumu na kazi.
Hivi matatizo kama haya huwa yanatibika?namaanisha kuna wataalamu wa kutibu hili tatizo Tanzania?
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Hili tatizo nilishaliona kwa watu wenye sura mbaya sana.
Sorry, lakini sijaona sura yako naongelea generally.
 
Dah asee hyo condition hata mimi naipitia ila nnapo jua flan ananichukia na hakuna sbb yyte Sina ugomv nae hanidai namuepuka huyo ni adui ..maisha yangu ni Siri mambo yangu binfsi hasa maendeleo najua mwenyewe tu mimi c muongeaji hasa kuhusu suala la maendeleo yangu binafsi nikiwa kazini.Watu huwa tabia ya kukupeleleza na wakishindwa wanakutungia sentesi pia sipendi kuchangamana na watu wanao nichukia bila sbb yyte ile . Ila jitahidi kuwekeza na kufanya maendeleo yangu kimya kimya maana hyo ndo faraja yangu
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Utakuwa una tabia ambayo haipendezi japo wewe unadhani uko sawa. Huwezi kuchukiwa kila sehemu bila sababu. Najua unataka uambiwe kuwa umelogwa lakini siyo kweli. Jingine ni kuwa wewe unaweza kudhani unachukiwa kumbe hauchukiwi, yaani una tatizo la kisaikolojia. Kwa mfano kuna watu wanaseweza kudhani wanadhauriliwa kumbe ni tatizo la kisaikolojia.
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu

Utakuwa mnoko sana
 
Kuna mmoja alinifanyiaga fitna ile kazi ikafa akamleta mtu wake kwenye position yangu.Sikumuuliza wala kugombana nae wala kumuongelea kwa watu nikapata sehem nyingine.Hivi sasa jamaa anakabidhi majukumu na ofisi kwa mtu mwingine. Malipo ni hapahapa duniani unachomfanyia mwingine ndicho utakachofanyiwa
 
Nimesoma hapo umesema umewazidi majukumu wenzio.

This means unaingilia mpaka majukumu yasiyokuhusu.

Hii ndiyo shida yako
 
Hapana siingilii majukumu ya wengine bali hua napewa kazi zilizo nje ya majukumu yangu
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Nilishawahi kupitia hali kama hiyo lakini mimi nilikuwa nachukiwa na wafanyakazi wenzangu wala siyo Boss, nilichofanya ni kuwa bize na kilichonipeleka kazini kisha kuondoka no kiherehere, no umbea, just focus with your work hadi sasa hivi wananionaga niko seriously na mambo yangu hawanifatilii hata.
Kingine unapoenda kazini muombe Mungu.
 
Try to cope up with organization culture yao kama ni lazy lazy na wewe kuwa hivo hivo kama ni watu wa madem na wewe tafta kamoja piga hivo yaan kazi utaiona poa
 
Kuna mmoja alinifanyiaga fitna ile kazi ikafa akamleta mtu wake kwenye position yangu.Sikumuuliza wala kugombana nae wala kumuongelea kwa watu nikapata sehem nyingine.Hivi sasa jamaa anakabidhi majukumu na ofisi kwa mtu mwingine. Malipo ni hapahapa duniani unachomfanyia mwingine ndicho utakachofanyiwa
Ilichkua mda gn since huyu Jamaa kulipwa matendo yake? I mean tokea alivokuchongea ukakosa kazi
 
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Picha zako km 10 hivi nikuone unavyovaa ukiwa hapo kazini unakua umevaaje? Muonekano wako namaanisha ndio. Unaopelekea kuchukiwa na watu kazini sio kingine, kuanzia appearance mpaka unavyojiweka kwa wengine na unavyowazungumzia wengine, kazini usijenge urafiki saaana na wengine tena maboss ndio kabisa usijenge urafiki sana na boss utapoteza kazi, mazoea mazoea kwenye kazi weka pembeni tena km ni mwanamke acha kabisa lasivyo utatombeka ofisi nzima
 
Back
Top Bottom