Kwani wewe unafikiriaje basi mpe dawa ili apone? bibie HornetNdo yamekuwa haya tena?
Mkuu King'asti; Nimeshatowa Dawa nyingi watu hawarudishi majibu yaani (Feedback) matokeo yake wasipopona wanakuja kuanzisha Thread ya kunialumu Kwani Mimi ni mponyeshaji? Mwenyeezi Mungu peke yake ndio anaye waponyesha viumbe wake mimi inapita sababu nimekupa dawa ndio umepona. Sasa sitatowa Dawa bure bila ya kulipa gharama za dawa sitoweza kutowa bure imepitwa na wakati.Nimejifunza kutokana na Makosa.
Sina dawa ya huu ugonjwa zaidi ningemgokesha maji ya ukoko uliolala, MziziMkavu na duwa waweza kunisalia?Kwani wewe unafikiriaje basi mpe dawa ili apone? bibie Hornet
Ushuhuda mzuri. Vipi huyo tabibu wa kimanyema bado yupo? Au unafahamu wengine wanaotoa matibabu hayo? Taarifa hiyo ingeweza kumsaidia mleta mada (kama anaamini).Mzizi Mkavu, hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.
Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma. Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.
Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.
Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea, hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue, ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.
M/Mpamba.
Pole sana mimi Mtoto wa dada yangu wa kike yamemkuta matatizo ya kukojowaMzizi Mkavu,hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma.Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.
Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea,hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue,ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.M/Mpamba.
Wakuu, mimi nadhani hili ni tatizo la kibaiolojia zaidi kuliko la 'kiswahili'. huyo mkojozi atakuwa na tatizo kwenye sphincter muscles zinazozuia mkojo usitoke ovyo, na akilala aka-relax usiku hizo zinalegea zaidi na kumpelekea kukojoa ovyo kitandani.
Suluhisho: Muwahishe hospitali kubwa akaonane na wataalamu-
Mzizi Mkavu,hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma.Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.
Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea,hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue,ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.M/Mpamba.
Nijuavyo mimi ukiona mpaka mtu ameleta hapa tatizo lake ukae ukijuwa amehakwenda Hospitali kujaribu kultatuwa sasa imeshindikana huko hospitali ndio maana ameleta hapa. Kuna Maradhi ambaya hayawezi kutibika Mahospitalini na yanaweza kutibika kwa tiba mbadala mkuu tpaul hata huko Hospitali kuu ya Muhimbili kuna kitengo cha Dawa Mbadala nenda mwenyewe utajionea.Wakuu, mimi nadhani hili ni tatizo la kibaiolojia zaidi kuliko la 'kiswahili'. huyo mkojozi atakuwa na tatizo kwenye sphincter muscles zinazozuia mkojo usitoke ovyo, na akilala aka-relax usiku hizo zinalegea zaidi na kumpelekea kukojoa ovyo kitandani.
suluhisho: muwahishe hospitali kubwa akaonane na wataalamu-
Mara nyingi matatizo haya husabishwa na sheitwan
Sheitwani huyo humpa mtu usingizi mzito na kusababisha baadhi ya mishipa ya fahamu (nervs) kushindwa kudhibitiwa na ubongo wa kati (sereblum) hupelekea baadhi ya valvu aina ya (sphincter) kuruhusu kupitisha kitu pasipo idhini ya mawimbi ya fahamu ya ubongo kupitia nervs (brain waves)
Kuna aina flani ya valvu ndogo (uretisphicter) iliyopo kwa ndani ya tezi (prostate) ambayo yenye kushuilikia mrija wa mkojo (urethra) nayo hiyo uretisphicter ina muscles controler ambazo ndani yake zimesheheni nervs.
Nervs hizo zinapopoteza mawimbi ya ubongo (brain waves) hupelekea zile muscles kupoteza udhibiti wake (controlizer) na kuruhusu mkojo utoke.
Kwahivyo sheitwani huenda kujikita katika tabaka hilo la ubongo na kupoteza udhibiti wa muscos sphincte.
Maneno yako sahihi mkuu anaebisha mwache abishe lakini ukweli ndo huo na utabaki kua hvyo tuNijuavyo mimi ukiona mpaka mtu ameleta hapa tatizo lake ukae ukijuwa amehakwenda Hospitali kujaribu kultatuwa sasa imeshindikana huko hospitali ndio maana ameleta hapa. Kuna Maradhi ambaya hayawezi kutibika Mahospitalini na yanaweza kutibika kwa tiba mbadala mkuu tpaul hata huko Hospitali kuu ya Muhimbili kuna kitengo cha Dawa Mbadala nenda mwenyewe utajionea.