Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Wakuu, mimi nadhani hili ni tatizo la kibaiolojia zaidi kuliko la 'kiswahili'. huyo mkojozi atakuwa na tatizo kwenye sphincter muscles zinazozuia mkojo usitoke ovyo, na akilala aka-relax usiku hizo zinalegea zaidi na kumpelekea kukojoa ovyo kitandani.

Suluhisho: Muwahishe hospitali kubwa akaonane na wataalamu
 
Kuwa kikojoz nnaweza kusema muda mwingine husababishwa na malezi hupaswi kumchapa wala kumuaibisha ila kum condition ajitambue kipindi ambacho amelala na kipindi ascholala yani ajue kutofautisha kati ya ndoto na reality.

Kwa maana kikojozi yeyote hukljoa kipindi yupo ndotoni hivyo basi mjenge mazingira ya kukojoa chooni tu linapofika swala la kukojoa na akojoe akiwa amerilux viungo vyake vyote (asiwe na haraka wala papara ) asilazimishe mkojo utoke kwa nguvu na pia mlazimishe asisubiri mkojo umbane sana ndio akojoe akojoe ni hatari kwani hilo hulegegeza sphinkter muscles hivyo humuathiri na kumfanya mda mwingine ashindwe kuuzuia mkojo.

Napenda kshauri pia kama inawezekana aoshe viungo vyake hii itamsaidia sana kulifanya tendo lenyewe la kukojoa.

Liwe na maandalizi yaani maji ya kujisafishia hivyo hata anapokuwa ndotoni akiona anamis kitu kimoja tu ataitilia shaka ndoto hiyo na ataamka tatizo la kukojoa kitandani co tu la watoto hat baadhi ya watu wskubwa huwakumba
Nawasilisha
 
Kila la kheri dr. Watu hawatambui kuwa hata hospitali wagonjwa wengine hupoteza maisha
Mkuu King'asti; Nimeshatowa Dawa nyingi watu hawarudishi majibu yaani (Feedback) matokeo yake wasipopona wanakuja kuanzisha Thread ya kunialumu Kwani Mimi ni mponyeshaji? Mwenyeezi Mungu peke yake ndio anaye waponyesha viumbe wake mimi inapita sababu nimekupa dawa ndio umepona. Sasa sitatowa Dawa bure bila ya kulipa gharama za dawa sitoweza kutowa bure imepitwa na wakati.Nimejifunza kutokana na Makosa.
 
Mzizi Mkavu,hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.

Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma.

Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.

Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.

Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea,hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue,ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.M/Mpamba.
 
Mzizi Mkavu, hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.

Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma. Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.

Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.

Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea, hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue, ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.

M/Mpamba.
Ushuhuda mzuri. Vipi huyo tabibu wa kimanyema bado yupo? Au unafahamu wengine wanaotoa matibabu hayo? Taarifa hiyo ingeweza kumsaidia mleta mada (kama anaamini).

Kwa kweli kujikojolea ni tatizo baya sana kwa saikolojia ya mtoto....hasa kwa mtoto aliyefikia umri wa utambuzi kama huyo binti.
 
Mzizi Mkavu,hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma.Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.
Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea,hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue,ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.M/Mpamba.
Pole sana mimi Mtoto wa dada yangu wa kike yamemkuta matatizo ya kukojowa

kitandani mpaka anaolewa ana miaka 25 walimaliza Dawa Ma-Hospitalini mimi nikawambia huyo atakuwa ni Shetani matokeo yake

wakanikubalia na kuenda kwa wataalam waganga wa kienyeji kumtibia na amepona alikuwa anakojowa kitandani mpaka umri wa miaka

25 wakati anaolewa ilikuwa ni kitu cha aibu lakini tulimuozesha hivyo hivyo na akatibiwa Dawa za kienyeji na akapona. Kuna watu

humu ndani wanabisha kuwa Je shetani naye anaweza kumsababisha mtoto akawa anakojowa kitandani ninawacha na upofu wao kama

Walivyo. Waswahili wanasema alalae usimuamshe ukimuamsha utalala wewe asante kwa kunipa feedback yako Mkuu MSHERWAMPAMBA
 
Ndio muzee Mzizi Mkavu, ahsante kwa reply yako ,kuna jamaa hapa kaulizia kama yule mtaalam wa Kimanyema kama bado yuko hai,kwa kusema ukweli hata mimi hilo lilikuwa swali la kwanza kufikiria lakini ni miaka mingi sana,mimi hivi sasa nagonga 47yrs ni miaka mingi sana imepita tangia nipate hicho kizaa zaa na mpaka kumaliza kutibiwa niliisha msahau yule bi mkubwa aliyenifanyia ufundi wa kiswahili kimanyema mpaka nikapona kabisa na mpaka leo bado ninamshukuru kwa tiba aliyonipatia otherwise hii leo labda nisingefikia huu uwezo nilionao hivi sasa nina type.

Alinitoa ktk janga moja la kutisha sana,mimi ninaamini hata shule nisingeweza kuimaliza kabisa kwa jinsi nilivyo athirika kiakili,yaani kifupi hata masomo kama vile hesabu pamoja na masuala ya lugha yalinipotea ndani ya kichwa changu ,sjui nisingetibiwa ningefikia wapi hivi leo.Na kuhusu yule bi mkubwa wa kimanyema sina habari yake baada ya miaka mingi kupita labda nifanye nimuulize Bi Mkubwa wangu maana yeye anakuwa ni jamaa zao,huko umanyemani ,inshaallah nikiupata huo wosaa nitajaribu kumuulizia kama memory yake bado inamkumbuka yule bibi.

Mzizi Mkavu haya masuala ya mashaytwaani yana habari ndefu sana,kweli wengi tunaathiriwa nayo lakini kuna matibabu kwa wanaoyajua ya kuyakimbiza yasilete athari kubwa sana kwa kiumbe wa mwenyezi mungu,nakumbuka moja ya utaalamu niliokuwa nikifanyiwa,kwanza kabla ya kuanza mchezo wenyewe nilikuwa nikiogeshwa na kufukizwa dawa itokanayo na mti mmoja sisi waswahili tunauuita mti wa mvuje,hii kitu nyie sikieni tuu harufu yake sio mchezo mtu unaweza ukapoteza fahamu kwa harufu yake hata hao masheytwaani huukimbia huo mti kwa jinsi harufu ilivyokuwa kali na nzito.

Halafu then zikaanza kombe na dua za Rooqya,mpaka kitu chenyewe kiliondoka bila ya challenge yeyote ile na hatimaye nikapona ninamshukuru mola kwa hilo,huyo mshikaji lazima apigane sana kwani binti yake asije haribika kabisa na kama atahitaji msaada zaidi aseme nitampatia site za wazee wa roqya na pia wengine wameacha tel contacts zao wanaweza kumsaidia kumtoa huyo adui ndani ya mwili wa binti yake kwa kutumia utaalam wa Rooqya. Hapa sijawahi kuguswa na topic kama hii,imeweza kunirudisha utotoni nilipokuwa naanza kukua na kupata akili,ile sadnness niliyo experience kutokana na hilo tatizo haikuwa ya kikawaida na kidogo ingechukuwa mind yangu.

Nina kisa kimoja ningependa kugawana nanyi hapa,mimi madrasa niliyosoma ilikuwa pale kwa marehemu Sharif Junaid karibu na club ya timu ya cosmopolitan sports club,zamani kulikuwa na desturi kama mtoto akizidisha kuwa kikojozi ilikuwa inafikia wazaze wako kuamua kukupeleka ktk madrasa unayosoma ili ukaimbiwe wimbo wa kikojozi kakojoa na nguo kaitia moto,hiyo ilikuwa ni desturi kubwa sana iliyokuwa ikifanyika enzi hizo sijui hivi leo kama hayo mambo bado yapo tena.

Loo kuna siku mshikaji wangu ambaye alikuwa akinizi kiumri naye akaletwa na wazazi wake kama kikojozi aliyeshindikana basi hiyo kasheshe ilikuwa sio ya mchezo nilipigwa na butwaa na kuingiwa na simanzi na fedheha kubwa sana nilikuwa nikijifikiria mimi kama nikiletwa namimi na kuvalishwa mikeka mibovu na kufungwa makopo huku nikiimbiwa sijui ningekuwa ni mgeni wa nani Kariakookwani nilikuwa tayari nimeisha anza masuala ya wachumba nilifikia mpaka kujiita mtumishi wa watoto (yaani wasichana) kama ningefanyiwa kitu ka alichofanyiwa mshikaji wangu kwa jina Madaraka sijui leo ningelikuwa wapi na ndoto zangu zote za maisha tangia mdogo zingeishia kule kule mitaani nisingeweza persue anything in my entire life, yaani sijui ninggeliwatizama vipi mademu niliokuwa nikihangaikia,lakini mwenyezi mungu muweza alinitoa ktk hilo janga na kunifanya real man.

Namalizia kwa kuasa kuhusu hiki kijiwe chetu cha jamii,tuwe waangalifu sana na mambo hapa na tuwe responsible sana to one another,hii mijadala ya humu inaweza kumsaidia sana mtu ktk maisha yake,love ya all M/Mpamba.
 
Achemshe ndevu za mahindi anywe maji yake ni tiba tosha, tafuta kitabu cha turejee edeni utaelewa mengi.
 
Hiyo ya kuchemsha ndevu za mahindi make sense to me inavyoonekana labda inaweza ikawa tiba nzuri, nitakitafuta hicho kitabu.M/Mpamba.
 
Wakuu, mimi nadhani hili ni tatizo la kibaiolojia zaidi kuliko la 'kiswahili'. huyo mkojozi atakuwa na tatizo kwenye sphincter muscles zinazozuia mkojo usitoke ovyo, na akilala aka-relax usiku hizo zinalegea zaidi na kumpelekea kukojoa ovyo kitandani.

Suluhisho: Muwahishe hospitali kubwa akaonane na wataalamu-

Kwahiyo afanyeje ili zibane
 
Mzizi Mkavu,hii topic imenigusa sana na kwa kweli imenirudisha nyuma kwa miaka mingi sana ,namimi nilikuwa kama huyo binti anayesumbuliwa na hilo tatizo,mimi bila ya kuona haya nilisumbuka sana mpaka ilifikia nina miaka dhidi ya huyo binti lakini bado nilikuwa naendelea kukojoa kitandani mpaka ilifikia kulazwa chini ili nisiharibu magodoro pale nyumbani kwa grand wangu Dar.Ni kweli concept ya mashetani kudhuru watoto ninaiamini kabisa,when things got so serious nilisafirishwa kwenda Ujiji kwa Wamanyema na nilipofika kule nilitambulishwa kwa bi mkubwa mmoja mtu mzima na alinipangia ratiba yangu ya matibabu na huduma.Kwanza nilifanyiwa kitu inaitwa nyungu ili kumuondoa huyo adui aliyekuwa mwilini mwangu akisababisha mimi kukojoa kitandani na halafu baada ya kufushwa nyungu nikapewa mafusho ya kujifukiza kila siku na dawa ya kunywa,amini au usiamini problem ilisimama mara moja na m[paka narudishwa Dar nilikuwa tayari tatizo limeisha ondoka,lo ilikuwa ni kasheshe moja mbaya sana na kidogo iniharibu akili yangu.

Jamaa mwenye huyo binti ni lazima apigane sana kuliondoa hilo tatizo,maana muda ukipita sana itashindikana kumtibu,ninaye cousin sister wangu mmoja yeye naye alisumbuliwa na hiyo kitu mpaka ikashindikana kuolewa,wako wengi mitaani tunasikia kuwa yule mwanamke ni kikojozi hawezi kuolewa na ikitokea kuolewa basi hakai kwa mme ataachwa na kurudishwa nyumbani kwao.Simtishi jamaa lakini kila matatizo yana solutions zake,eventualy binti atatibika wala wasiwe na wasiwasi kabisa na anachotakiwa ni kulifikisha hilo suala ndani ya family yake na akifanya hivyo dawa itapatikana asitie shaka kabisa.Ila experience yangu kuhusu hilo tatizo ilikuwa ni mbaya sana ilifikia mpaka performance yangu shule ikawa affected vibaya sana kwa hilo tatizo,ni kweli kuhusu mashetani nakumbuka nilikuwa nikioteshwa ndoto za ajabu ajabu kila siku na baada ya hizo ndoto ndio tukio la kujikojolea kitandani lilikuwa likinitokea,hii ni kitu very serious sana na nampongeza huyu mwana forum kwa kujitokeza na kutafuta solution ya kumtibu binti yake na pia naamini hii topic itaweza saidia watu wengine pindi wakikutikana na same issue,ukweli hii topic leo imenigusa sana na kunirudisha utotoni Dar.M/Mpamba.

Mhh pole sana mkuu, itabidi nimpeleke kanisani hako kashetani kamtoke.
 
neysar Sikusema kejeli nimesema ukweli huo ni ukweli kuhusu wasichana wengi sana wanaonekana wana matatizo ambayo watu wanahisi ni ushirikina kumbe sivyo ispokua tu tatizo ni nyege neno nyege si matusi au ningesema neno la kizungu.

Binaadamu kuyafikiria sana matatizo kwa upande wa pili hafo tunakufuru na kufanya shirki na kutoona uwepo wa mungu wakati yeye ni kila kitu na anaponya kila maradhi kwa uwezo wake.

Nakupa mfano mmoja tuachane na mila za kusema kila kitu ni shetani au sijui karogwa....

Mfano number 1

Kuna mtoto ana umri 2 yrs alikua anasumbuliwa sana na homa kali ataka awapelekwa kwa waganga wanampa miti kuna mengine anabiwa afukizwe nayo na mengine awekewe maji ya moto alafu afunikwe nguo ili apate mvuke hakupona licha ya kufanyiwa mara kadhaa. Ikapita mda bahati akaenda nchi fulani ya ki magharibi akatokelezewa na homa vile vile katika kupewa huduma ya kwanza akaambiwa avuliwe nguo zote mzazi akashangaaa. Kumbe ile homa ni very high temperature na alikua anafukizwa si wangemuua? Sio kila kitu ni shetani mambo mengine tustaarabike.

Namuamini mungu na ndio kila kitu kwangu

***walmushrikina fiy nnar jahannam*****
 
Last edited by a moderator:
Sawa farkhina. Sukran sana kwa elimu yako uliyoitoa jamvini.

Allah akubaarik
 
Wakuu, mimi nadhani hili ni tatizo la kibaiolojia zaidi kuliko la 'kiswahili'. huyo mkojozi atakuwa na tatizo kwenye sphincter muscles zinazozuia mkojo usitoke ovyo, na akilala aka-relax usiku hizo zinalegea zaidi na kumpelekea kukojoa ovyo kitandani.

suluhisho: muwahishe hospitali kubwa akaonane na wataalamu-
Nijuavyo mimi ukiona mpaka mtu ameleta hapa tatizo lake ukae ukijuwa amehakwenda Hospitali kujaribu kultatuwa sasa imeshindikana huko hospitali ndio maana ameleta hapa. Kuna Maradhi ambaya hayawezi kutibika Mahospitalini na yanaweza kutibika kwa tiba mbadala mkuu tpaul hata huko Hospitali kuu ya Muhimbili kuna kitengo cha Dawa Mbadala nenda mwenyewe utajionea.
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi matatizo haya husabishwa na sheitwan.

Sheitwani huyo humpa mtu usingizi mzito na kusababisha baadhi ya mishipa ya fahamu (nervs) kushindwa kudhibitiwa na ubongo wa kati (sereblum) hupelekea baadhi ya valvu aina ya (sphincter) kuruhusu kupitisha kitu pasipo idhini ya mawimbi ya fahamu ya ubongo kupitia nervs (brain waves)

Kuna aina flani ya valvu ndogo (uretisphicter) iliyopo kwa ndani ya tezi (prostate) ambayo yenye kushuilikia mrija wa mkojo (urethra) nayo hiyo uretisphicter ina muscles controler ambazo ndani yake zimesheheni nervs.

Nervs hizo zinapopoteza mawimbi ya ubongo (brain waves) hupelekea zile muscles kupoteza udhibiti wake (controlizer) na kuruhusu mkojo utoke.

Kwahivyo sheitwani huenda kujikita katika tabaka hilo la ubongo na kupoteza udhibiti wa muscos sphincte.
 
Mara nyingi matatizo haya husabishwa na sheitwan

Hahaa nimecheka sana. Hii iingizwe kwenye katiba mpya iwe moja ya ibara.
 
Nijuavyo mimi ukiona mpaka mtu ameleta hapa tatizo lake ukae ukijuwa amehakwenda Hospitali kujaribu kultatuwa sasa imeshindikana huko hospitali ndio maana ameleta hapa. Kuna Maradhi ambaya hayawezi kutibika Mahospitalini na yanaweza kutibika kwa tiba mbadala mkuu tpaul hata huko Hospitali kuu ya Muhimbili kuna kitengo cha Dawa Mbadala nenda mwenyewe utajionea.
Maneno yako sahihi mkuu anaebisha mwache abishe lakini ukweli ndo huo na utabaki kua hvyo tu
Shaitwani ana nafasi kubwa ya kumtia maradhi binaadamu hata vitabu vyote vinatuambia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom