Awe anapakaa mafuta ya nazi kwa wingi kitovuni na kisha aweke mpira wa maji ya moto aweke kitovuni yote hayo wakati wa kulala. Pia awache kunywa maji mengi kabla kulalamdogo angu ana hili tatizo yuko form 1 sasa hadi wanataka kumrudisha nyumbani naomba msaada wenu wakuu
Duh mkuu kwa usawa huu,nisaidie tu tusaidiane kidogo tugawane umasikini.una laki 7 mie nakusaidia tu
Mwambie awe analala mchana. Tatizo litaisha.jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15,ni mdogo wangu,ana shida ya kukojoa kitandani,tumejaribu sana hosptl lakini ni mzima kabisa,ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa,naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini
Mwambie awe analala mchana. Tatizo litaisha.
Nitaanza mkuu, nitaleta feedbackMimi nilikua nakojoa sana kusema ukweli sekondari nilikua nakojoaga sana sikujuaga nimekujaga kuacha vipi ila msimchukie wala kumsema sana.. Be positive japo mimi nilipitia masimango sana na mateso na vichapo vingi.
Niliwahi kufanya research (nilishaacha kukojoa kitandani) ili kujua tatizo. Wansayansi waliniambia kuna kitu nikaitwa sphincinter muscles (if my spellings are correct) hii ni misuli inayobinya mifereji ya urethra inayotoka kwenye kibofu kuenda kwenye uke/uume na hii misuli ikiwa loose sana basi hutokea kibofu kikiwa kimejaa kidogo mkojo hupita free bila kujizuia.
Dawa na kufanya misuli hii ifanye kazi ni kula matango kwa wingi nami kweli nilianza kula matango na sijawahi kukojoa tena.
Naomba fanya kumwanzishia dozi leo ya matango kisha leta mrejesho hapa. Believe me
kivp mkuu,ye ni student form one,kupata muda mchana ni kazi sana
Bro hii issue we acha tu me ilinitesa sana mpaka namalza form four ila nilkuja kutibiwa nilipofika chuoni kwa msaada wa rafiki angu,mwalim mlezi na dokta wa chuoni jijini mbeya nilipelekwa hospital nikapewa vidonge 60 vinaitwa IMIPRAMINE ni shilingi 5000/ tu. Kwa kawaida huwa ni vidonge 50 ila kwangu ilikuwa increasing dose kwa sababu ya ukomavu wa tatizo kwa mujibu wa dokta nikawa natumia vidonge viwili tu kila siku usiku pindi ninapotaka kulala kwa muda wa mwezi mmoja tu. Daaah mungu mkubwa aisee tatizo lililonitesa kwa muda wa miaka 17 likaisha kabsa mpaka leo hii huwa nawashukuru sana walonisaidia. Alafu ikifeli hiyo dawa ipo hii jaribu pia chukua utumbo wa kuku na uukaange vizuri na mafuta mpaka ukauke kisha mpe atafune pia ni dawa ya hili tatizo.Jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15, ni mdogo wangu, ana shida ya kukojoa kitandani, tumejaribu sana hospitali lakini ni mzima kabisa, ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa.
Naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini.