Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

mdogo angu ana hili tatizo yuko form 1 sasa hadi wanataka kumrudisha nyumbani naomba msaada wenu wakuu
Awe anapakaa mafuta ya nazi kwa wingi kitovuni na kisha aweke mpira wa maji ya moto aweke kitovuni yote hayo wakati wa kulala. Pia awache kunywa maji mengi kabla kulala
 
Pole saana. Imeniuma saana hasa kwa msichana.Wazo la kumuondoa bweni ni zuri...pili hizo ndevu za mahindi na maji ya mchele naambiwa ni dawa. Tatu, mimi niliamua kula mirungi siku tatu usiku kucha na nikawa namuamsha kila baada ya 10 minutes hatimae akaacha kukojoa kitandani
 
Pole sana kwanza kwa jina lako kweli "kazi mnayo"

Chemsha ndevu za mahindi grass moja asubuhi, mchana na jioni kwa wiki moja kama mabadiliko hayapo basi atakuwa sugu, poleni lkn
 
Maji ya mchele niliyatumiaga mapipa na.Mapipa bado ikawa shida

Nikiwa.bwen form.one nikapata hiyo idea ya ndevu za mahind haikusaidia

Ila kuna dawa ya aibu...kulikuwa na.mabwege darasa la mbele yangu ..tupo uwanjani wakaanza kuimba..flan kikojozi.furan.kikojoziii

Ile aibu ilinikosesha rahaa,so nikaset mind n km nilikuwa nalala km nipo macho..hata mkojo unibane kidogo mm choon haikuchukua hata mwezi nikazoea na mpk sasa sina hiyo tabia

Huyu bint apambane na hali yake

Ni km vile ndan kwenu wtt wanafauru fresh ila yakija matokeo yako pekee umefail...sasa ukilidhika na kufail,utaendelea kufail tuu,but ukiona aibu...lazima upambane

Kama.akili yake haija amua,hakika hata acha
 
Jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15, ni mdogo wangu, ana shida ya kukojoa kitandani, tumejaribu sana hospitali lakini ni mzima kabisa, ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa.

Naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini.
 
jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15,ni mdogo wangu,ana shida ya kukojoa kitandani,tumejaribu sana hosptl lakini ni mzima kabisa,ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa,naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini
Mwambie awe analala mchana. Tatizo litaisha.
 
Mimi nilikua nakojoa sana kusema ukweli sekondari nilikua nakojoaga sana sikujuaga nimekujaga kuacha vipi ila msimchukie wala kumsema sana.. Be positive japo mimi nilipitia masimango sana na mateso na vichapo vingi.

Niliwahi kufanya research (nilishaacha kukojoa kitandani) ili kujua tatizo. Wansayansi waliniambia kuna kitu nikaitwa sphincinter muscles (if my spellings are correct) hii ni misuli inayobinya mifereji ya urethra inayotoka kwenye kibofu kuenda kwenye uke/uume na hii misuli ikiwa loose sana basi hutokea kibofu kikiwa kimejaa kidogo mkojo hupita free bila kujizuia.

Dawa na kufanya misuli hii ifanye kazi ni kula matango kwa wingi nami kweli nilianza kula matango na sijawahi kukojoa tena.

Naomba fanya kumwanzishia dozi leo ya matango kisha leta mrejesho hapa. Believe me
 
mwambie awe anakunywa yale maji ya kuoshea mchele ..... vikombe vitatu daily mkojo utakata wenyewe au chemsha ndevu za mahindi unywe maji yake.... all da best mkuu
 
Tukiona ajali twapiga picha kwanza uokoaji baadae..!
Tusaidiane jamani duniani tunapita usijekuta mwenzio kapewa kitengo cha kuchochea kuni kwenye pipa LA kuwachemshia wenye dhambi!!

Usivunjike moyo ndugu!!

Me nimesikiaga ukimnywesha maji ya Michele(yaliyooshewa mchele) tatizo linapungua au ndevu za mahindi yaliyo kauka au kukomaa!!
 
Mimi nilikua nakojoa sana kusema ukweli sekondari nilikua nakojoaga sana sikujuaga nimekujaga kuacha vipi ila msimchukie wala kumsema sana.. Be positive japo mimi nilipitia masimango sana na mateso na vichapo vingi.

Niliwahi kufanya research (nilishaacha kukojoa kitandani) ili kujua tatizo. Wansayansi waliniambia kuna kitu nikaitwa sphincinter muscles (if my spellings are correct) hii ni misuli inayobinya mifereji ya urethra inayotoka kwenye kibofu kuenda kwenye uke/uume na hii misuli ikiwa loose sana basi hutokea kibofu kikiwa kimejaa kidogo mkojo hupita free bila kujizuia.

Dawa na kufanya misuli hii ifanye kazi ni kula matango kwa wingi nami kweli nilianza kula matango na sijawahi kukojoa tena.

Naomba fanya kumwanzishia dozi leo ya matango kisha leta mrejesho hapa. Believe me
Nitaanza mkuu, nitaleta feedback
 
Hyo anatakiwa mumpe tatizo la kisaikolojia la KUZOMEWA na watoto wenzake tena unawaandaa wanakuwa wengii mtaani litamuathiri atakuwa na hofu wakati wa kulala na atasoma udhaifu wake mimi uncle wangu amepona
 
Dawa yake ni rahisi sana
1.Mchemshie ndevu za mahindi mpe anywe kwa siku 7
Au
2.Aokote ndizi isiyojulikana imetupwa na nani kisha achome ale ila hakikisha sio sokoni
 
Jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15, ni mdogo wangu, ana shida ya kukojoa kitandani, tumejaribu sana hospitali lakini ni mzima kabisa, ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa.

Naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini.
Bro hii issue we acha tu me ilinitesa sana mpaka namalza form four ila nilkuja kutibiwa nilipofika chuoni kwa msaada wa rafiki angu,mwalim mlezi na dokta wa chuoni jijini mbeya nilipelekwa hospital nikapewa vidonge 60 vinaitwa IMIPRAMINE ni shilingi 5000/ tu. Kwa kawaida huwa ni vidonge 50 ila kwangu ilikuwa increasing dose kwa sababu ya ukomavu wa tatizo kwa mujibu wa dokta nikawa natumia vidonge viwili tu kila siku usiku pindi ninapotaka kulala kwa muda wa mwezi mmoja tu. Daaah mungu mkubwa aisee tatizo lililonitesa kwa muda wa miaka 17 likaisha kabsa mpaka leo hii huwa nawashukuru sana walonisaidia. Alafu ikifeli hiyo dawa ipo hii jaribu pia chukua utumbo wa kuku na uukaange vizuri na mafuta mpaka ukauke kisha mpe atafune pia ni dawa ya hili tatizo.
 
Back
Top Bottom