Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Mm mwenyewe mdogo wangu ameshanimalizia godoro kwa mkojo ila nilipoomba ushauri wadau waliniambia kuhusu kuchemsha ndevu za mahindi na maji ya kuoshea mchele
 
Jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15, ni mdogo wangu, ana shida ya kukojoa kitandani, tumejaribu sana hospitali lakini ni mzima kabisa, ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa.

Naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini.
Mkuu hiyo hali ni ya kawaida na huwaga inapotea kadri mtoto anavyokua mkubwa!!
 
ntaanza mkuu,ntaleta fdback
Nakupa triki nyingine!! Mara nyingi akiwa anataka kujikojolea huwa anaota anakojoa either chooni au kwenye kichaka au popote pale!! Sasa akiwa anaota akifika sehem ndotoni akawa anataka kuanza kukojoa mwambie aamke hapo hapo aende chooni!!! Anapokua anaota anakojoa ndotoni ndio mda huo anakua anajikojolea!!

Watoto wengi wanaogopa kwenda choon wenyewe so mwambie aamshe wenzake au akuamshe wewe umpeleke chooni!!

Triki nyingine weka alarm usiku ikifika mda flan unamwamsha akakojoe ila hii sio kali kama ya kwanza maana unaweza mwamsha kumbe kashakojoa kitambo!!!
 
Nakupa triki nyingine!! Mara nyingi akiwa anataka kujikojolea huwa anaota anakojoa either chooni au kwenye kichaka au popote pale!! Sasa akiwa anaota akifika sehem ndotoni akawa anataka kuanza kukojoa mwambie aamke hapo hapo aende chooni! Anapokua anaota anakojoa ndotoni ndio mda huo anakua anajikojolea!!

Watoto wengi wanaogopa kwenda choon wenyewe so mwambie aamshe wenzake au akuamshe wewe umpeleke chooni!!

Triki nyingine weka alarm usiku ikifika mda flan unamwamsha akakojoe ila hii sio kali kama ya kwanza maana unaweza mwamsha kumbe kashakojoa kitambo!!!
Hivi umewah kuota bulaza, yan huwezi kutofautisha km ni ndoto au kweli ndo mana anastuka mikojo ishapita.
 
Ukishajaribu ma-ushauri yote uliyopewa,,afu ikashindikana jaribu hii

Kama muislam mpeleke dogo akasomewe "ruqya".. Masheitwan yanapenda kuwaharibia sana watu,ndgu yangu alikojoa mpka yupo form two Siku aliosomewa tu ndo ikawa kama Tiba yake..dalili kubwa ni kukojoa na kua mchafu..msipomsimamia shuka wala godoro havisafishwi..chumba kinanuka uvundo.
 
Jaribuni kumzoesha kumuamsha mara kwa mara, na apunguze kunywa maji/vimininika wkt wa ucku
 
Lazeni viazi/ndizi nje kesho mpikieni bila yeye kujua ale
 
Juice ya ndefu za mahindi mabichi.zinachemchwa maji yake unakunywa.
 
Hii kitu inaendana na Ukoo, kwetu hakuna Vikojozi! Ila kuna Ukoo fulani dah! Sio baba, mama wala Watoto wote Vikojozi!
 
Mimi nikiwa Dogo kabisa nilikuwa na hilo tatizo..MZEE wangu mkubwa ni dk akaniambia kuanzia SAA 11 jioni nisinywe maji au kimiminika chochote. Since that day sikumbuki kama nishawahi kojoa tena.
 
Very simple, muwe mnamuamsha saa sita au saba usiku ili akojoe then atazoea kuamka mwenyewe tatizo litaisha,
 
Wakati mwingine kukojoa kitandani husababishwa na uchovu mwingi, mpunguzie huyo dogo shughuli za kutwa ili asilale kama mzigo
 
Back
Top Bottom