Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pia nishaisoma mahali!! Kuna ukweli hapa!Chukua zile ndevu za mahindi umchemshie anywe kwa uwezo wa ALLAH ataacha
Mkuu hiyo hali ni ya kawaida na huwaga inapotea kadri mtoto anavyokua mkubwa!!Jamani kuna dogo mvulana yuko form one ana miaka 15, ni mdogo wangu, ana shida ya kukojoa kitandani, tumejaribu sana hospitali lakini ni mzima kabisa, ila ndo hivyo dogo kwa wiki mara 2 au mara tatu anakojoa.
Naombeni mnishauri au mniambie dawa yake ni nini.
Nakupa triki nyingine!! Mara nyingi akiwa anataka kujikojolea huwa anaota anakojoa either chooni au kwenye kichaka au popote pale!! Sasa akiwa anaota akifika sehem ndotoni akawa anataka kuanza kukojoa mwambie aamke hapo hapo aende chooni!!! Anapokua anaota anakojoa ndotoni ndio mda huo anakua anajikojolea!!ntaanza mkuu,ntaleta fdback
Hivi umewah kuota bulaza, yan huwezi kutofautisha km ni ndoto au kweli ndo mana anastuka mikojo ishapita.Nakupa triki nyingine!! Mara nyingi akiwa anataka kujikojolea huwa anaota anakojoa either chooni au kwenye kichaka au popote pale!! Sasa akiwa anaota akifika sehem ndotoni akawa anataka kuanza kukojoa mwambie aamke hapo hapo aende chooni! Anapokua anaota anakojoa ndotoni ndio mda huo anakua anajikojolea!!
Watoto wengi wanaogopa kwenda choon wenyewe so mwambie aamshe wenzake au akuamshe wewe umpeleke chooni!!
Triki nyingine weka alarm usiku ikifika mda flan unamwamsha akakojoe ila hii sio kali kama ya kwanza maana unaweza mwamsha kumbe kashakojoa kitambo!!!
Hivi umewah kuota bulaza, yan huwezi kutofautisha km ni ndoto au kweli ndo mana anastuka mikojo ishapita...
Ndio maana ukajipa na hilo jina [emoji1] [emoji1] [emoji1]Daah.nilikuwa nachezea bakora za Mzee hatari.
amepona?Mm mwenyewe mdogo wangu ameshanimalizia godoro kwa mkojo ila nilipoomba ushauri wadau waliniambia kuhusu kuchemsha ndevu za mahindi na maji ya kuoshea mchele
Napita sana kaka, ntakupataje KahamaKm upo karib na kahama njoo nikupe dawa na utapona
Amitriptyline naona vyote ni ukoo mmoja.IMIPRAMINE
Amitriptyline hutumika as an anti- depressant pia kwa ajili ya neurologic problems nyengine lakini haisaidii kwenye nocturnal enuresis( bed wetting).amitriptyline naona vyote ni ukoo mmoja.