Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba ushauli mke wangu anatatizo la kukojoa kitandani
Pole sana. Mwambie apunguze unywaji wa maji/juice kuanzia saa moja usiku pia mjaribu kutafuta Alarm ya kuwashtua zile saa ambazo mara nyngi huwa anakojoa. Kwa mfano kama anakojoa saa saba za usiku basi sita na nusu za usiku alarm itegeshwe ili iwaamshe kabla hatafanya vitu vyake kitandani.
Huyu Ndondi ni ndugu yako nini. mbona mimi alishindwa kunitibu tatizo hilo? Nashauri aende hospitali.Dr Ndodi anatibu hilo tatizo
Kukojoa kitandani (Bed wetting):naomba ushauli mke wangu anatatizo la kukojoa kitandani
mnunulie pampas tafuta cd ya mrembo kikojozi itakusaidia