KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ati ndama..🤣Yani siku ikatokea nimefikisha hata 45kg,uwii! nitaruka ruka kama ndama kwa furaha😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati ndama..🤣Yani siku ikatokea nimefikisha hata 45kg,uwii! nitaruka ruka kama ndama kwa furaha😂
😂😂😂 Mwana SUASO tafuta wale jamaa wa Human Nutrition wakupe simbi.Yani siku ikatokea nimefikisha hata 45kg,uwii! nitaruka ruka kama ndama kwa furaha😂
Asante sana Mr Propera😊,umenipa kitu kingine kipya kichwani mwangu.Nitafanyia kazi na baada ya miezi 2,Mungu akitupa uhai,nitarudi kuleta mrejesho.Lily pole mama.. fanya kufata mashauri ya wataalum kilo 44 kwa umri wako si nzuri kabisa!!
Hali ya kupoteza hamu ya kula huwatokea wengi hata mimi Kuna kipindi hamu ilikata mpk nikawa najishangaa ila kilo hazijawahi kushuka kiwango hicho!.
Sahivi napakia mpaka naitwa propera..🤣🤣
Halafu kula tu si kula bali kula ukijua unakula nini..?? Anza kucheki unachokula punguza vyakula vya kisasa haraka sana acha kunywa na hizi kemikali za viwandani stop it. Huu ndo muda wa kupiga natural food ambavyo havijafanyiwa manuva ya kutosha,Mimi naimani chakula huwa ni tiba ya vitu vingi sana so hatua ya kwanza cheki milo yako palipo na tatizo badili then cheki hatua nyengine Kama Kuna dawa tumia,naomba na Lita za maji uziongeze halafu chengine jitoe tu ukapime magonjwa lukuki huenda Kuna kitu hakipo sawa mwili.
Nitashukuru ukifanyia kazi immediately,imani yangu ipo kwenye chakula chenyewe huwa kinatibu na kuathiri mwili!,na hiyo ndio huwa tiba ya kwanza coz chakula kinaupa mwili nguvu,madini na ndio msingi pia wa hormones za mwili kupata vichocheo vinavyoendesha mwili.. narudia tena angalia kula yako then ndo uangalie hatua nyengine maana unaweza kupewa dawa lakini zikakuendesha tu maana unakuta unachokula ni kama makapi vitu natural ni vidogo sana!.Asante sana Mr Propera😊,umenipa kitu kingine kipya kichwani mwangu.Nitafanyia kazi na baada ya miezi 2,Mungu akitupa uhai,nitarudi kuleta mrejesho.
Pima HIVHabari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku.
Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba.
Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili niwe ninapata apetite ya chakula
NOTE:
Umri wangu ni 28,uzito 40 kg,urefu 151cm
Dawa ya minyoo nilitumia mwezi wa 7/2021
Sawa ndugu kila la kheriWacha niwatafute aisee,nimedhamiria mpaka ikifika Dec mwaka huu at leats niwe na 45kg.
Mkuu nimegundua jambo,nimegundua wapi ninakosea sio tu kwenye aina ya chakula,lakini pia katika ratiba yangu ya ulaji,Asante sana.Nitashukuru ukifanyia kazi immediately,imani yangu ipo kwenye chakula chenyewe huwa kinatibu na kuathiri mwili!,na hiyo ndio huwa tiba ya kwanza coz chakula kinaupa mwili nguvu,madini na ndio msingi pia wa hormones za mwili kupata vichocheo vinavyoendesha mwili.. narudia tena angalia kula yako then ndo uangalie hatua nyengine maana unaweza kupewa dawa lakini zikakuendesha tu maana unakuta unachokula ni kama makapi vitu natural ni vidogo sana!.
Hapa najiuliza kwa hizo kilo mwili wako ukifanya factory reset utabakiwa na ngapi Sasa..☹️
Barikiwa piaAsante Chief,nitajitahidi kufanyia kazi niliyoshauriwa.
Ubarikiwe
Asante pia kwa ushauri,be blessed mkuuKwa ufuatiliaji ni hiivi
18.5 mpaka 24.5 BMI ni kawaida huyu lishe yake ni nzuri Tu.
BMI chini ya hapo lishe duni ,na Zaidi ya hapo wewe ni lishe mbovu ( overweight to obesity)
Dada yangu upo kwenye 17. 5 kg/cmsq.
Kwa hiyo unamalnutrition .
Ushauri
Andaa mpango wa Kula baada ya Kula usile vitu vitu hapo katikati maana mnapenda mno vikaranga , JoJo , sijui juice hatari tupu
Acha kabisa kutumia unga WA lishe Kwa sababu utadidimiza digestive system yako
Kula vyakula vyenye high carb itakusaidia Sana .
🤣🤣🤣 Pole Sana dah! Yani kilo 39! Unajua nakuonea huruma sana. Fanya jitihada mama hili Jambo lipe kipaumbele..Mkuu nimegundua jambo,nimegundua wapi ninakosea sio tu kwenye aina ya chakula,lakini pia katika ratiba yangu ya ulaji,Asante sana.
😂😂 Nilienda jkt nikiwa na 39 kg na kambi nzima mimi tu ndio nilikua na uzito mdogo,afande akaniambia "Umekuja Na kilo zako 39,utarudi kwenu na 20" aisee nililia sana nikahisi kifo kiko mbele yangu.
Kuanika na maswali hapa siyo poa lkn possible kuwa Una anorexia nervosaAsante pia kwa ushauri,be blessed mkuu
Naomba nikuoe.Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku.
Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba.
Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili niwe ninapata apetite ya chakula
NOTE:
Umri wangu ni 28,uzito 40 kg,urefu 151cm
Dawa ya minyoo nilitumia mwezi wa 7/2021
uko sahihi ukinihurumia mkuu,na mpaka nimekuja jukwaani,nimeshikika ndugu yangu😁.Huu ni uzi wangu wa pili baada ya ule wa "Miche ya Matunda".🤣🤣🤣 Pole Sana dah! Yani kilo 39! Unajua nakuonea huruma sana. Fanya jitihada mama hili Jambo lipe kipaumbele..