Mimi kilo zangu ziligomea 52 hata nile vipi kilo haziongezeki, nilikua natamani sana kua mnene. Mwakajana tu hapo ndio nikaanza kunenepa mpaka leo naanza kuchukia sasa. Maana tumbo linajikata katikati nikikaa ajili ya unene.
Je ile mambo unapata kwa jinsi inavyostahili au ilimradi tu?? Maana nayo inachangia.
Btw niliwahi kuandiki hiki kitu hapa maybe inaweza kukupa mwanga kuhusu ulaji wako
Dihydroxyphethylamine
Ni kemikali/homoni inayozalishwa katika ubongo wa katikati kisha kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya ubongo, kwa lugha rahisi kemikali hii huitwa Dapomine. Kazi yake ni kuhamasisha mwili uendelee kufanya jambo ambalo linaupa mwili raha kama vile kula au kufanya mapenzi , kemikali hii ikipungua mwilini husababisha mtu kukosa hamu ya kufanya mapenzi. Kama unakua huna hamu ya kurudia tendo baada ya kumaliza mzunguko basi unaweza kutumia kemikali hii kukuongezea hamu kwa kuongeza kiwango cha uzalishwaji wake mwilini mwako. Unaweza kuiongeza mwilini kutumia njia zifuatazo.
Muziki
Tafiti zinaonyesha kwamba kusikiliza nyimbo unazozipenda husaidia Dapomine kuongezeka kwa 9%,Wakati unatenda tendo na mwanamke wako sikiliza nyimbo uzipendazo hii itakusaidia kuongeza hamu ya kurudia tendo.
Protein
Kula chakula chenye kiwango kingi cha protein kama vile maziwa,samaki,karanga,nyama, mara kwa mara. vyakula hivi vina amino acid, acid hii hupelekea uzalishwaji wa homoni ya dapomine kwa wingi pia huongeza wingi wa mbegu za kiume. Lakini pia kula vyakula vyenye Vitamin kama vile mbogamboga kwa wingi.
Mazoezi
Kufanya mazoezi japo dakika 30 itakusaidia kuongezeka kwa homoni hii ya dopamine, hivyo itakusaidia kupata hamu ya kufanya tendo mara nyingi lakini pia mazoezi yatakusaidia kua na pumzi ya kufanya tendo muda mrefo