Tatizo la kukosa hamu ya kula

Yani siku ikatokea nimefikisha hata 45kg,uwii! nitaruka ruka kama ndama kwa furaha😂
😂😂😂 Mwana SUASO tafuta wale jamaa wa Human Nutrition wakupe simbi.
 
Asante sana Mr Propera😊,umenipa kitu kingine kipya kichwani mwangu.Nitafanyia kazi na baada ya miezi 2,Mungu akitupa uhai,nitarudi kuleta mrejesho.
 
😂😂😂 Mwana SUASO tafuta wale jamaa wa Human Nutrition wakupe simbi.
Wacha niwatafute aisee,nimedhamiria mpaka ikifika Dec mwaka huu at leats niwe na 45kg.
 
Asante sana Mr Propera😊,umenipa kitu kingine kipya kichwani mwangu.Nitafanyia kazi na baada ya miezi 2,Mungu akitupa uhai,nitarudi kuleta mrejesho.
Nitashukuru ukifanyia kazi immediately,imani yangu ipo kwenye chakula chenyewe huwa kinatibu na kuathiri mwili!,na hiyo ndio huwa tiba ya kwanza coz chakula kinaupa mwili nguvu,madini na ndio msingi pia wa hormones za mwili kupata vichocheo vinavyoendesha mwili.. narudia tena angalia kula yako then ndo uangalie hatua nyengine maana unaweza kupewa dawa lakini zikakuendesha tu maana unakuta unachokula ni kama makapi vitu natural ni vidogo sana!.

Hapa najiuliza kwa hizo kilo mwili wako ukifanya factory reset utabakiwa na ngapi Sasa..☹️
 
Pima HIV
 
Mkuu nimegundua jambo,nimegundua wapi ninakosea sio tu kwenye aina ya chakula,lakini pia katika ratiba yangu ya ulaji,Asante sana.

😂😂 Nilienda jkt nikiwa na 39 kg na kambi nzima mimi tu ndio nilikua na uzito mdogo,afande akaniambia "Umekuja Na kilo zako 39,utarudi kwenu na 20" aisee nililia sana nikahisi kifo kiko mbele yangu.
 
Kwa ufuatiliaji ni hiivi

18.5 mpaka 24.5 BMI ni kawaida huyu lishe yake ni nzuri Tu.

BMI chini ya hapo lishe duni ,na Zaidi ya hapo wewe ni lishe mbovu ( overweight to obesity)

Dada yangu upo kwenye 17. 5 kg/cmsq.

Kwa hiyo unamalnutrition .

Ushauri
Andaa mpango wa Kula baada ya Kula usile vitu vitu hapo katikati maana mnapenda mno vikaranga , JoJo , sijui juice hatari tupu
Acha kabisa kutumia unga WA lishe Kwa sababu utadidimiza digestive system yako

Kula vyakula vyenye high carb itakusaidia Sana .
 
Wachangiaji mmepotosha sana huu uzi
Kwa mfano nutrition status in adult haipimwi uzito kwa umri ni uzito kwa kwa urefu(m) hapo unatafuta kitu inaitwa bmi
Pili apetite ya kula inakuwa regurgited na hormones leptin na greilin plus vitami
Ulaji wa tango pia unaweza ku worsen condition sababu tango na soluble diatary fibres ambayo ina prevent maximum absorption ya carbohydrates so you end up with adulthood malnutrition or severe underweight
Kama una shida yyt ya lishe individually nicheki
Ila comment nyingi za hapa zinapotosha
 
Asante pia kwa ushauri,be blessed mkuu
 
🤣🤣🤣 Pole Sana dah! Yani kilo 39! Unajua nakuonea huruma sana. Fanya jitihada mama hili Jambo lipe kipaumbele..
 
Naomba nikuoe.


Maana utanipunguzia sana Bajeti ya chakula.
 
🤣🤣🤣 Pole Sana dah! Yani kilo 39! Unajua nakuonea huruma sana. Fanya jitihada mama hili Jambo lipe kipaumbele..
uko sahihi ukinihurumia mkuu,na mpaka nimekuja jukwaani,nimeshikika ndugu yangu😁.Huu ni uzi wangu wa pili baada ya ule wa "Miche ya Matunda".
Nimeona kuendelea kukaa kimya haitanisaidia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…