Nakujua dada yangu hata nyumbani ushashindikana tunakula pamoja ila tukienda chumbani kwako tunakuta sufuria la ukoko chini ya uvungu!😂😂jamani..ninavyotamani kuwa mtu wa kula kidogo..kweli tunatofautiana.
Your welcome na kupitia uzi wako utasaidia wengi..uko sahihi ukinihurumia mkuu,na mpaka nimekuja jukwaani,nimeshikika ndugu yangu😁.Huu ni uzi wangu wa pili baada ya ule wa "Miche ya Matunda".
Nimeona kuendelea kukaa kimya haitanisaidia kitu
Sawa mkuu,asante pia kwa wazo lako.Eee makubwa kilo 40
Oky Ila sio mbaya saana mama wewe ni mfupi 5.0 feet.
Kama hufanyi kazi ngumu, fanya mazoezi.
Wanao fanya mazoezi au kazi ngumu hupata hamu ya kula tofauti na wanaofanya kazi za kukaa mfano ofisini.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 Ndugu yangu kula kidogo kulishanishinda...mnivumilie tu kwakweliNakujua dada yangu hata nyumbani ushashindikana tunakula pamoja ila tukienda chumbani kwako tunakuta sufuria la ukoko chini ya uvungu!
De propera..😜
So katika ulimwengu wa kiroho ushaanza kujiona bonge..🤣 ohoo angalia usijeleta Tena uzi unawezaje kuzishusha kilo zako 102!!!!.🤣🤣😂😂 nitaanza kubongeka soon,maana madini ninayopewa hapa jukwaani sio ya mchezo mchezo
Dawa yako ipo jikoni..😎😂😂😂😂 Ndugu yangu kula kidogo kulishanishinda...mnivumilie tu kwakweli
"imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwao,ni bayana ya mambo YASIYOONEKANA"😂😂So katika ulimwengu wa kiroho ushaanza kujiona bonge..🤣 ohoo angalia usijeleta Tena uzi unawezaje kuzishusha kilo zako 102!!!!.🤣🤣
Kuna siku alishindwa Hadi kupumua alitupa tabu sana..🤣naona umeamua kumuumbua dada😂
Mimi kilo zangu ziligomea 52 hata nile vipi kilo haziongezeki, nilikua natamani sana kua mnene. Mwakajana tu hapo ndio nikaanza kunenepa mpaka leo naanza kuchukia sasa. Maana tumbo linajikata katikati nikikaa ajili ya unene.Mkuu nimegundua jambo,nimegundua wapi ninakosea sio tu kwenye aina ya chakula,lakini pia katika ratiba yangu ya ulaji,Asante sana.
😂😂 Nilienda jkt nikiwa na 39 kg na kambi nzima mimi tu ndio nilikua na uzito mdogo,afande akaniambia "Umekuja Na kilo zako 39,utarudi kwenu na 20" aisee nililia sana nikahisi kifo kiko mbele yangu.
Utakuwa sawa tu mamaa.. ni swala la muda na utendaji.."imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwao,ni bayana ya mambo YASIYOONEKANA"😂😂
mkuu nikiongozana binti yangu,watu wasionijua huwa wanahisi ni mdogo wangu.
Binti yangu ana mwili na ni mrefu
😂😂😂kuhusu ile mambo,boss naomba niweke kwenye( )Mimi kilo zangu ziligomea 52 hata nile vipi kilo haziongezeki, nilikua natamani sana kua mnene. Mwakajana tu hapo ndio nikaanza kunenepa mpaka leo naanza kuchukia sasa. Maana tumbo linajikata katikati nikikaa ajili ya unene.
Je ile mambo unapata kwa jinsi inavyostahili au ilimradi tu?? Maana nayo inachangia.
Btw niliwahi kuandiki hiki kitu hapa maybe inaweza kukupa mwanga kuhusu ulaji wako
Dihydroxyphethylamine
Ni kemikali/homoni inayozalishwa katika ubongo wa katikati kisha kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya ubongo, kwa lugha rahisi kemikali hii huitwa Dapomine. Kazi yake ni kuhamasisha mwili uendelee kufanya jambo ambalo linaupa mwili raha kama vile kula au kufanya mapenzi , kemikali hii ikipungua mwilini husababisha mtu kukosa hamu ya kufanya mapenzi. Kama unakua huna hamu ya kurudia tendo baada ya kumaliza mzunguko basi unaweza kutumia kemikali hii kukuongezea hamu kwa kuongeza kiwango cha uzalishwaji wake mwilini mwako. Unaweza kuiongeza mwilini kutumia njia zifuatazo.
Muziki
Tafiti zinaonyesha kwamba kusikiliza nyimbo unazozipenda husaidia Dapomine kuongezeka kwa 9%,Wakati unatenda tendo na mwanamke wako sikiliza nyimbo uzipendazo hii itakusaidia kuongeza hamu ya kurudia tendo.
Protein
Kula chakula chenye kiwango kingi cha protein kama vile maziwa,samaki,karanga,nyama, mara kwa mara. vyakula hivi vina amino acid, acid hii hupelekea uzalishwaji wa homoni ya dapomine kwa wingi pia huongeza wingi wa mbegu za kiume. Lakini pia kula vyakula vyenye Vitamin kama vile mbogamboga kwa wingi.
Mazoezi
Kufanya mazoezi japo dakika 30 itakusaidia kuongezeka kwa homoni hii ya dopamine, hivyo itakusaidia kupata hamu ya kufanya tendo mara nyingi lakini pia mazoezi yatakusaidia kua na pumzi ya kufanya tendo muda mrefo
🤣🤣🤣🤣naona umeamua utoe siri za familia...nitaghairi shambulio la aliyekuita konokono ohoooKuna siku alishindwa Hadi kupumua alitupa tabu sana..🤣
Hospital walimkataa tukampeleka kwa Bibi mmoja hivi alichomfanya sitaki simulia..🤣
Inaonekana una kwashiokor!Yani hizo 40kg zimeongezeka hivi karibuni baada ya kutumia uji wa lishe kwa bidii zote.Before nilikua na 39.
Kipindi nikiwa mjamzito clinic ya mwisho. kabla ya kujifungua nilikuwa na 54kg, baada tu ya kujifungua nikarudi kule kule[emoji23]
🤣🤣 Dada usighairi nimekoma sitoi Tena.😶🤣🤣🤣🤣naona umeamua utoe siri za familia...nitaghairi shambulio la aliyekuita konokono ohooo
Sitaki huko now. Miaka hairuhusu.Chache Sana jitahidi ufikie 60!
Watu tunachezea 68 mpk 70 we unahangaika na 56! Nawe ongeza kula halafu punguza pombe..😜
Una height ipi? Kwa baadhi ya watu still -70 ni wembamba 🤣 cuzzo wangu ana 72 ila hana hata mwili . mifupa mizito sijuiChache Sana jitahidi ufikie 60!
Watu tunachezea 68 mpk 70 we unahangaika na 56! Nawe ongeza kula halafu punguza pombe..😜