Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Nendo hospital, onana na Dr wa magonjwa ya kina mama uchunguzwe hormones zako, kuna imbalance inatakiwa kurekebishwa.

Hii usipoishughurikia itaathiri uzazi wako.

Pole
 
Dalili ya hormonal imbalance tumia kirutubisho kiitwacho REFINED YUNZHI ESSENCE au njoo PM kwa maelezo zaidi.
 
pata kipimo cha: sex hormones, salpingography, wakisema hakuna tatizo basi ndipo utafikia kuanza kutumia madawa ya kushtua mayai, japo bado kuna vipimo zaidi ya hivyo unaweza kuendelea navyo mpaka kujua wapi kuna tatizo.
 
Njoo PM nikuelekeze upone.
 
Kama hautojali unaweza ni PM majibu yako ya ultrasonogpraphy, au uliambiwa shida hakuna kwa mdomo ukaondoka.

Ahsante.
 
Mimi pia nina hili tatizo, jinsi hedhi inavyonikera huwa naona fresh tu
You need to see a psychologist mpendwa, uko na shida mahali halafu katika maisha usipende kuchukulia kila kitu simple simple tu it will cost you somedays mpendwa.
 
Nimeku PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…