Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

mfumo wako wa hedhi utakuwa umepoteza memory na hyo inasababishwa na kupokea sahaw* za moto zenye chumvi kali.
 
Vipi kuhusu kutematema mate au kula udongo?
 
Sasa kami nimiezi yote hiyo ndiyo asione dalili ya ujauzi hilo nitatizo wataalam ushauri
 
Habari wakuu,

Jamani Nina miezi mitatu sijaoona Siku zangu (bleed)! Najiuliza nini sababu?
Natumai kuna wataalamu humu wanaoweza kunisaidia.

Natanguliza shukrani
Yawezekana umenasa ujauzito au umebadilisha aina kinga ya uzazi wa mpango
 
Habari wakuu,

Jamani Nina miezi mitatu sijaoona Siku zangu (bleed)! Najiuliza nini sababu?
Natumai kuna wataalamu humu wanaoweza kunisaidia.

Natanguliza shukrani
Je, kuna mwanaume alikut*mba peku ndani ya hiyo miezi mitatu? Tuanzie hapo kwanza...
 
If u are sure ulifanya safe sex..then it could be stress au poor diet au mazoezi makali..but make sure u see a doc
 
Habari wakuu,

Jamani Nina miezi mitatu sijaoona Siku zangu (bleed)! Najiuliza nini sababu?
Natumai kuna wataalamu humu wanaoweza kunisaidia.

Natanguliza shukrani
sasa ww c jesh la mtu mmoja?Umeshindwa haya njoo kwenye majesh mengi sasa.Upo dar au wap?Kama dar nikusaidie namba ya doc wa muhimbil anaye deal na magonjwa ya knamama.
 
Back
Top Bottom