jeshi la mtu moja
Member
- Oct 19, 2016
- 86
- 35
Nichokoe nini?chukua kijiti chokonoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nichokoe nini?chukua kijiti chokonoa
Yawezekana umenasa ujauzito au umebadilisha aina kinga ya uzazi wa mpangoHabari wakuu,
Jamani Nina miezi mitatu sijaoona Siku zangu (bleed)! Najiuliza nini sababu?
Natumai kuna wataalamu humu wanaoweza kunisaidia.
Natanguliza shukrani
Hujabadili kinga!!!Nimepima ila kipimo ni negative
Je, kuna mwanaume alikut*mba peku ndani ya hiyo miezi mitatu? Tuanzie hapo kwanza...Habari wakuu,
Jamani Nina miezi mitatu sijaoona Siku zangu (bleed)! Najiuliza nini sababu?
Natumai kuna wataalamu humu wanaoweza kunisaidia.
Natanguliza shukrani
chukua kijiti chokonoa
Duh!!!Angalia vzr labda njia imeziba?!...kunya je?!
Jamani nimesema kuwa nimepima ILa hakuna mimba!pia situmii Uzazi wa mipangoJe, kuna mwanaume alikut*mba peku ndani ya hiyo miezi mitatu? Tuanzie hapo kwanza...
Miaka 23;pia mwezi wa kumi nilimwachisha MTT matiti ila nilianza kuingia bleed baada ya miezi sita na ilifika mwezi wa **** sikuona siku zanguUmri wako ni gani? Inawezekana mayai yamekwisha yani umefikia Menopause!
HahahahahAngalia vzr labda njia imeziba?!...kunya je?!
sasa ww c jesh la mtu mmoja?Umeshindwa haya njoo kwenye majesh mengi sasa.Upo dar au wap?Kama dar nikusaidie namba ya doc wa muhimbil anaye deal na magonjwa ya knamama.Habari wakuu,
Jamani Nina miezi mitatu sijaoona Siku zangu (bleed)! Najiuliza nini sababu?
Natumai kuna wataalamu humu wanaoweza kunisaidia.
Natanguliza shukrani