Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

mnatumia mnoo vidonge vya uzazi na sindano hizo za uzazi wa mpango ndo maana mnaharibu mzunguko wenu
 
Pole mdogo wangu tafuta mkude pori chemsha mizizi yake unywe maji yake asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 .....utaanza kupata hedhi ...ikiceli nifate pm nitakusaidia zaidi

Sent using i phone x
 
Pole Sana Kwa Changamoto Yako
Utapata Ufumbuzi Soon
Kule Kilimanjaro Kuna Mti Ingawa Jina Nimelisahau
Unachukua Magome yake Unachemsha Na Maziwa Fresh Unakunywa Tatizo Linakwisha
 
Habar wakuu, nina shida ya kutoona siku zangu za hedhi mpaka nimeze dawa za kunisaidia kuona karibu mwaka wa 10 sasa nishafanya vipimo vingi nishazunguka mahospitalin ila tatizo haliishi, sina mtoto hata mmoja nina miaka 30 sasa, naomba mwenye kujua dawa ushauri mnisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hello, pole sana! Hosp walisemaje?
 
Back
Top Bottom