Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Kwa sasa unaendeleaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ilinianza tarehe 24-25 April niliumwa kichwa, mwili kama unachemka ila joto halipandi.
Nilitapika na kuharisha pia(hii baadae niliambiwa ni minyoo), kupima malaria, typhoid, hamna, wakasema nna UTI.

Nikawa fresh kidogo, ila tarehe 26 April nikawa nakohoa kohoa, 27 April kukohoa ikakata hapo ndio nikapotez harufu na ladha,nakumbuka pilipili kichaa niliitafuna bila kuhisi chochote.

Nilivyoperuzi nikahisi ni symptoms za Covid-19,braza wangu ni daktari yupo Turkey ndio akaniambia hii ni Covid-19 kwamba kashakuwa na cases kama hizo nyingi kule.
Hapo kabla ya mimi, wadogo zangu na jirani walishapitia hali hiyo na washkaji wengine kama watano pia.

Nikawa nameza panadol kama anti-pain( kutuliza kichwa, au kama utahisi homa), azuma kama anti-bacteria infections( kukinga kutopata pneumonia), nilipiga nyingine kwa ajili ya ile ishu ya minyoo.

Ila hapa kwenye minyoo ndio naamini kuwa hawa wajuba wakikuingia mwilini halafu wakakuta una kaugonjwa wanakupelekesha mbio, maana kuwa na minyoo nilikuwa nahisi kichefu chefu zaid, na kushindwa kula kabisa yaani na kutapika.

Hali ikaja kukaa sawa yenyewe, sikunywa tangawizi wala limao.

So kama hauna changamoto zingine hiyo hali inakata yenyewe, dogo zangu wame recover bila ya dawa.

NB:
kama ni Covid-19,bado unaweza kuwa positive hata week 3, so tukae mbali na watu wenye matatizo ya kiafya, ( vaa barakoa, beba sanitizer ili tusiambukize wengine)

Pia, kujilinda muhimu kwa kuwa unaweza kupata tena infections.



Alexander The Great
 
Sure.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tupo wengi.

Nami nilipoteza harufu na ladha, homa Kali, mwili kuuma na kipanda uso kinapiga balaa nikawa na hofu na Corona nilijifukiza mpaka nikakinai....kisamvu nikawa siwezi kula, nakiona kama ndio mfukizo.

Nilipimwa nikaambiwa UTI nikapewa Azuma sikupona, nikapewa sepha, nimemaliza sijapona bado kichwa kinabangua sana na homa Kama kwa mbali nimerudi Jana nimeambiwa UTI bado iko juu.

Majuzi niliamua kununua dawa ya kienyeji ya UTI nilipokunywa mara moja tu baada ya masaa Kama 2 nikasikia harufu hadi toka jirani, nilishangaa sana, japo ladha bado haijarikava kivilee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa gani hiyo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnanitisha wakuu maana hapa nilipo nina mafua makali pua zimeziba zote napumua kwa shida na mwili unasikia barid kali muda wote siwez kwenda nje au sehem yoyote bila kuvaa nguo nying ili nipate joto la kutosha... Kilichonishangaza ni jana usiku nimeoga nataka nitoke OUT nikajipulizia perfume sikuhisi harufu nikadhan labda sijaitikisa nikaitikisa na kujipulizia tena lakin bado sikuhisi harufu yoyote japo nilipata kiungulia kwenye koho hiyo sehem niliyokwenda nikajaribu kuwauliza wadau kama wanaisikia perfume niliyojipuliiza?? Wakadai wanaisikia tena ni kali sana... Laiti kama Uku mkoani napoishi kungekuwa na kipimo cha COVID-19 ningeenda kupima 😫😩
 
Angalieni kuna uzi hili hili jukwaa una page kama 200 ,wengi waliyokutana na hiyo hali na ni COVID katika hatua za mwisho,tafuteni huo uzi wengi wametoa ushauri
Wasiende Hospital wala kukubali kupimwa joto la mwili (likifikia 38c ni laima watengwe kwa kufungiwa ) hapo ndipo watakapoambukizana COVID-19
 
Tulia mkuu usiambukize wengine KOVIDI19.
 
Ni dalili za Corina...nyungu ni muhimu....pia juice ya limao na tangawizi na mazoezi...Hali itakuwa shwari tu...
 
week mbili siskii harufu, jana imerudi vizuri tu leo tena imepotea tabu tu, test yenyewe ilikaa kama siku 3 ikarudi vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…