Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Pole sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliandika Uzu kama wiki mbili zimepita ulifutwa. Kupoteza kama nusa July yokea baada ya kuoulizia dawa ya kuua korona kumbe inaua mende tu
 
Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii imenitokea pia nilijisikia dalili za homa siku iliofata nilipima vitu vitatu ikiwa ni pamoja na maralia na uti vyote vikawa neg nikapewa dozi ya Alu ikihisiwa ni maralia iko kwene incubation stage: lakin baada ya kupiga Alu nimepoteza harufu na ladha siku ya saba leo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole mkuu.
Piga malimao, Tangawizi na vitunguu Swaumu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu.
Piga malimao, Tangawizi na vitunguu Swaumu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii virus life span yake ni siku ngap katika mwili wa binadamu?maana Leo nimetimiza siku ya 14 tangu nianze kuugua ila vitu vingi nimepona kama mafua, kikohoz, kifua, homa na yamebaki maumivu kidogo sana mwilini ndo hayajaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harufu mimi huwa zinanitesa ...yoyoye ile napiga chafya
 
Mimi pia nilisikia vibaya sana viungo(joints) vya mwili vikawa vinauma sana.nikaenda kucheki Bs wakasema nina Malaria 3.nikajidunga ile midonge ya mseto aka ALU.

baada kama siku mbili ya kumeza dawa harufu ikakata na radha pia.nikaendelea kupiga malimao sometimes nachanganya na pili pili ya kutosha kwenye kila nilichokuwa nakula.pia nikawa natumia na vitamini B complex ili nipate njaa.nilinusa na nilitafuna sana vitunguu maji.pia nilikuwa natafuna sana vitunguu swaumu.
nilikaa kama siku 8 hivi hali ikarudia kawaida.ila pia nilipewa angalizo na wife kabla kwamba Alu inaweza nipotezea test ya msosi ndiyo maana alinishauri pia nikapewa na ile B complex.

Niliacha kabisa kuhusisha na hali yagu na corona.Ijapokuwa nilikuwa na dalili na sifa zote za mwenye corona.mimi nilijiambia haya ni malaria tu na kujisemea nahitaji kuimarisha kinga yangu ili mwili usiiwe dhaifu kiasi nikapata corona.Shukrani pia kwa mke wangu aliefanikisha recovery yangu.Ila niligoma kabisa kulala,shughuli ziliendela ijapo kwa shiida sana
 
Me ilipona yenyewe.. ila ss kilichibak koo kukauka.... linapona inarudi.... aaaaah.... mwili utapambana nalo tu bwana nshachoka mm kunywa matangawizi malimao....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu me imerudi Ila sio 100% Ila siumwi chochote!
Corona imenifundisha me chai yangu haina sukari tena limao na tangawizi me ninaona ipo poa Sana kuliko chai ya majani!
Usiache chai ya tangawizi na limao!
 
Kumbe tupo wengi: wiki moja sasa, hata hamu ya kula unyumba imekata

semper fidelis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…