Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
- Thread starter
- #81
Pole sana mkuu.Mnanitisha wakuu maana hapa nilipo nina mafua makali pua zimeziba zote napumua kwa shida na mwili unasikia barid kali muda wote siwez kwenda nje au sehem yoyote bila kuvaa nguo nying ili nipate joto la kutosha... Kilichonishangaza ni jana usiku nimeoga nataka nitoke OUT nikajipulizia perfume sikuhisi harufu nikadhan labda sijaitikisa nikaitikisa na kujipulizia tena lakin bado sikuhisi harufu yoyote japo nilipata kiungulia kwenye koho hiyo sehem niliyokwenda nikajaribu kuwauliza wadau kama wanaisikia perfume niliyojipuliiza?? Wakadai wanaisikia tena ni kali sana... Laiti kama Uku mkoani napoishi kungekuwa na kipimo cha COVID-19 ningeenda kupima [emoji31][emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app