Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #101
NdioZile prack za pendulum au...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioZile prack za pendulum au...
Sasa practical sessions za watu afya unazifaham??Ndio
Prac za kupasua simbilisi au 😀😀😀😀Hivi wewe unazijua Prac boss??Sasa practical sessions za watu afya unazifaham??
😀😀😀😀Boss huwezi badilisha ukweli plus kama kuna kozi huwa wanafanya mapractical basi ni BSc Physics your are not serious my dear😲😲
Unazijuaa ww mjuajiPrac za kupasua simbilisi au 😀😀😀😀Hivi wewe unazijua Prac boss??
Hebu chungulia hii prac boss
View attachment 2432971
Ww ungekua umeweza usingeuliza muda wa status kubadilika psrsGraduate anashindwa kutengeneza ajira yake mwenyewe. 😀😀😀Ni aibu sana
Hahaha ..kweli kabisa na ndio Maana kuna Usahili wa kupigwa kupata good candidate Prolific26Kufaulu kwenye makaratasi sio kipimo cha kwamba mtu yuko smart, kuna maboya kibao tuu na GPA kali na hamna kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23]@ mdau anaulizia status kubadilika,,wakt ni kitu wanachokijua prps tu [emoji23][emoji23] Mpka kutoboa ni kazi sanaWw ungekua umeweza usingeuliza muda wa status kubadilika psrs
😀😀😀😀Ww ungekua umeweza usingeuliza muda wa status kubadilika psrs
Yaani GPA itabaki kuwa GPA tu, kinachomfanya mtu kupata GPA ndogo ni nini?Hahaha ..kweli kabisa na ndio Maana kuna Usahili wa kupigwa kupata good candidate Prolific26
Na hatoboi huyuu kwsbb ye si anajikuta mlamba asali kumbe mlamba vumbi[emoji23][emoji23][emoji23]@ mdau anaulizia status kubadilika,,wakt ni kitu wanachokijua prps tu [emoji23][emoji23] Mpka kutoboa ni kazi sana
Ndo iko hivo kiongoz lazima watu watikise cortex cells wajue yaliomo yamo au ulikua mjanja mjanja tuHahaha ..kweli kabisa na ndio Maana kuna Usahili wa kupigwa kupata good candidate Prolific26
Nilishakueleza boss, mimi sio level yako ya kuomba ajira. Mimi ndio natoa ajira. Acha dharau. Sio muda nitawakusanya wanajamii forum wanao lia ajira kama ninyi na kuwaajiri mnifanyie kazi zangu.Na hatoboi huyuu kwsbb ye si anajikuta mlamba asali kumbe mlamba vumbi