As
Asee kuna saili moja nilipiga ilihitaji GPA ya 3.8 ila bahati mbaya nilikosa ilihitaji mtu mmoja tu na oral tuliingia watatu wakatuambia eti tupo reserve maana kuna institute zilitangaza kazi kwa kada hiyo hiyo lakini GPA ya 3.5 wakasema tuwe tunafatilia placement vizuri zinapokuwa zinatoka za hizo institute mbili je hapo wakuu kuna ukweli au kutiana moyo tu nawasilishaHuyo jamaa nazni alikuwa anaongelea TA wa Institutes ambao wanataka minimum GPA 3.5 ILA kwa vyuo vikuu minimum ni 3.8 GPA