Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #41
Ungekua sio mjinga ungeenda kusoma hiyo masters ili upate hiyo kazi.Ukweli ni kwamba wengi wanatamba ni wasomi na wahitimu wazuri, kiundani ni wasomi hewa na hawana ufaulu mzuri... hawajafikia kigezo au kiwango, mbali na hiyo hata kujielezea mwenyewe hajui! Kusimama mbele ya hadhira na kuzungumza hata kwa takribani dakika 20 ni shughuli pevu! Itoshe kusema walio wengi ni wasomi hewa! Vijana wengi ni wajinga wajinga tu!
Ni kipi kimekufanya usiende hiyo masters kama sio ujinga PROMAX.
Usiwadharau vijana 😀😀😀