heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Shida ni hiyo imempata binti yangu mkubwa tu gafla hawezi zungumza kabisa hospitali wanasema hawaoni tatizo
Je yawezekana kupona hii shida
Je yawezekana kupona hii shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Neema na Baraka za Mungu kijana anapona kabisa na kuendelea na shughuli zake.Shida ni hiyo imempata binti yangu mkubwa tu gafla hawezi zungumza kabisa hospitali wanasema hawaoni tatizo
Je yawezekana kupona hii shida
Mdau Hajataja Mtoto ana umri gani, Tatizo hilo limemuanzaje na anapotezaje kuongea..
heartbeatsMdau Hajataja Mtoto ana umri gani, Tatizo hilo limemuanzaje na anapotezaje kuongea..
Zaidi ni Tabia na Ukuaji wake anatakiwa kuelezea Vipi kuhusu Intellectual Yake Imepungua au Bado ipo Intact..
Amewahi kupata Ajali au Aliwahi kumchapa kwa muda mrefu..
Aliwahi kudondoka??
Jaribu kuanzia hapa mtoa mada then tuone inakuaje.Mdau Hajataja Mtoto ana umri gani, Tatizo hilo limemuanzaje na anapotezaje kuongea..
Zaidi ni Tabia na Ukuaji wake anatakiwa kuelezea Vipi kuhusu Intellectual Yake Imepungua au Bado ipo Intact..
Amewahi kupata Ajali au Aliwahi kumchapa kwa muda mrefu..
Aliwahi kudondoka??
Historia ya Kupata Mshtuko (Traumatic History ikiwemo PTSD)..
Historia ya Kuchalazwa Shulenii...
Kifupi maelezo hayajakamilika
10 hospital nyingi tu kubwa, pengine sijui kakumbwa na upepo mchafuAna umri gani mkuu,,,? Na ni hosptal gani hyo,?
ShukraniKwa Neema na Baraka za Mungu kijana anapona kabisa na kuendelea na shughuli zake.
usichoke wala kukata tamaa katika kumtafutia tiba na matibabu mbdala, na Mungu mwenyewe atakujibu kwa uponyaji wa mwanao 🐒
10yrs yupo sawa tu ila kuongea ndo kapata kipengeleAna umri Gani ?