Tatizo la kushindwa kuongea(kupoteza kauli)

Shida ni hiyo imempata binti yangu mkubwa tu gafla hawezi zungumza kabisa hospitali wanasema hawaoni tatizo
Je yawezekana kupona hii shida
Kwa Neema na Baraka za Mungu kijana anapona kabisa na kuendelea na shughuli zake.

usichoke wala kukata tamaa katika kumtafutia tiba na matibabu mbdala, na Mungu mwenyewe atakujibu kwa uponyaji wa mwanao 🐒
 
Mdau Hajataja Mtoto ana umri gani, Tatizo hilo limemuanzaje na anapotezaje kuongea..
Zaidi ni Tabia na Ukuaji wake anatakiwa kuelezea Vipi kuhusu Intellectual Yake Imepungua au Bado ipo Intact..
Amewahi kupata Ajali au Aliwahi kumchapa kwa muda mrefu..

Aliwahi kudondoka??
Historia ya Kupata Mshtuko (Traumatic History ikiwemo PTSD)..
Historia ya Kuchalazwa Shulenii...

Kifupi maelezo hayajakamilika
 
heartbeats
 
Jaribu kuanzia hapa mtoa mada then tuone inakuaje.
 
Kwa Neema na Baraka za Mungu kijana anapona kabisa na kuendelea na shughuli zake.

usichoke wala kukata tamaa katika kumtafutia tiba na matibabu mbdala, na Mungu mwenyewe atakujibu kwa uponyaji wa mwanao 🐒
Shukrani
 
Back
Top Bottom