mwendomdundo
Senior Member
- Nov 22, 2014
- 178
- 55
Wadau wangu naamini hamjambo kabisa.Nikiwa kazini,nyumbani au hata nikikaa na wenzangu najisikia vibaya kwani huwa najamba sana na mjambo wenyewe ni ule wenye sauti.Nifanye nini kuepuka hali hii?
Hatakiwi kutumia chochote kuondoa hiyo hali kwani hakuna tatizo lolote kiafya linalotokanalo na ujambaji, ila kama angekuwa hajambi au anapata ujambi Mara chache au la hapati kabisa, basi hilo lingeweza kuwa tatizo. Watu wengi huwa hawajui kuwa kujizuia kujamba ni jambo la hatari kiafya, na wanaoongoza kwa tabia hii ya kujizuia ni wanawake na hasa wawapo na wapenzi wao.Mkuu hiyo ni gesi tumboni inaoneka unakula sana vitu kama marage sana tumia magnesium mkuu zitakusaidia sana mkuu
Hatakiwi kutumia chochote kuondoa hiyo hali kwani hakuna tatizo lolote kiafya linalotokanalo na ujambaji, ila kama angekuwa hajambi au anapata ujambi Mara chache au LA hapati kabisa, basi hilo lingeweza kuwa tatizo. Watu wengi huwa hawajui...
Hatakiwi kutumia chochote kuondoa hiyo hali kwani hakuna tatizo lolote kiafya linalotokanalo na ujambaji, ila kama angekuwa hajambi au anapata ujambi Mara chache au LA hapati kabisa, basi hilo lingeweza kuwa tatizo. Watu wengi huwa hawajui kuwa kujizuia kujamba ni jambo la hatari kiafya, na wanaoongoza kwa tabia hii ya kujizuia ni wanawake na hasa wawapo na wapenzi wao. Nawashauri wote ushauri wa bure kabisa kuanzia sasa kwamba jambeni kwa kujiachia kabisa kwasababu kadri ujambavyo mara kwa mara ndivyo hutoavyo hewa chafu tumboni na hivyo kuwa salama zaidi kiafya.
Jamba mwanawaneee utoe sumu mwilini