Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Endogenous sources - it is produced within the gut. Gas may be produced as a by-product of digestion of certain foods, or when foods are not digested completely. Anything that causes food not to be digested completely by the stomach and/or small intestine can cause flatulence when it reaches the large intestine.
Sky Eclat unajitaid
 
Habari nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi na kupelekea kujamba Sana, Hali hii inanisumbua Sana na kunikosesha raha haswa nikiwa kazini na ikitokea nikijibana tumbo linauma na kuunguruma Sana mwisho nitaharisha na kupata maumivu makali sehemu za haja kubwa

Hali hii imeanza kama miez mitatu iliyopita kama Kuna ushauri au dawa nisaidieni nimalize hili tatizo
Simple...kunywa maji moto yaliyochanganywa na asali..nzuri ni ya nyuki wadogo...kuboresha ladha..kamulia limao kidogo..kitu cha kwanza asubuhi..walau glass tatu..tatizo hitaliona tena..ina speed up metabolism..pia hukata cholestrol..maana yake itakusaidia kukata weight kiaina...limao lina cleansing property..ngoz itakuwa natural..faida ni nyingi..giv it a shot![emoji6]
 
Nashukuru Sana nitaleta marejesho
 
Mkuu umenisaidia hata Mimi. Nadhani ntachukua hapa Mbinga asali ya nyuki wadogo.
Mi huwa najamba sana mfululizo lakini ndo ndo nakula sana.
 
Habari nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi na kupelekea kujamba Sana, Hali hii inanisumbua Sana na kunikosesha raha haswa nikiwa kazini na ikitokea nikijibana tumbo linauma na kuunguruma Sana mwisho nitaharisha na kupata maumivu makali sehemu za haja kubwa

Hali hii imeanza kama miez mitatu iliyopita kama Kuna ushauri au dawa nisaidieni nimalize hili tatizo
Pole sana, zipo tiba nyingi lakini rahisi ni hii: unapokula chakula tafuna KWA muda mrefu kidogo. Lengo ni kufanya chakula kichanganyike na mate vya kutosha.

Pia hata kama unakunywa soda liache funda likae KWA muda kidogo mdomoni ili lichanganyike na mate vya kutosha. KWA Faida ya wengine naomba baada ya siku tano andika matokeo hapa.
 
Mkuu Nilipoiona Post Hii Nikadhani Ni Mimi Nilipost ila nimesahau..

Sijakanyaga Jukwaa hili tangu Mwaka jana lakini Leo Nimekuja ili nimepost kitu hichohicho Ulichopost wewe..
Pole sana, zipo tiba nyingi lakini rahisi ni hii: unapokula chakula tafuna KWA muda mrefu kidogo.

Lengo ni kufanya chakula kichanganyike na mate vya kutosha. Pia hata kama unakunywa soda liache funda likae KWA muda kidogo mdomoni ili lichanganyike na mate vya kutosha. KWA Faida ya wengine naomba baada ya siku tano andika matokeo hapa.
 
Pole sana, zipo tiba nyingi lakini rahisi ni hii: unapokula chakula tafuna KWA muda mrefu kidogo. Lengo ni kufanya chakula kichanganyike na mate vya kutosha. Pia hata kama unakunywa soda liache funda likae KWA muda kidogo mdomoni ili lichanganyike na mate vya kutosha. KWA Faida ya wengine naomba baada ya siku tano andika matokeo hapa.
Sawa nitaleta mrejesho
 
Habari zenu ndugu zangu.

Ebana toka juzi sijielewi elewi, najikuta najamba sana, sijisikii kuumwa chochote bali najamba sana tu.

Nimeshindwa kung'amua tatizo linalonisibu coz najamba tu bila sababu, yani nikiwa peke yangu naachia mabomu hayo mpaka najiogopa.

Tatizo linaweza likawa ni nini ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom