kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Mpaka nakuja kuomba ushauri humu,ni kwamba kujamba kwangu sio kwa kawaida.Kwahiyo hutaki kujamba?
Mpaka nakuja kuomba ushauri humu,ni kwamba kujamba kwangu sio kwa kawaida.Kwahiyo hutaki kujamba?
Kacheck vidonda vya tumbo.Nimepata mkuu,lakini pia huko choon nikiingia kabla ya kutoa haja naachia mabomu ya hatari.
asante mkuuKunachangizwa na mambo mengi! Kama siyo vyakula unavyokula, basi itakuwa ni dalili ya vidonda vya tumbo. Vyakula kama vile maharage, kutafuna viazi vitamu vibichi, maziwa fresh na mtindi pia vinasababisha tumbo kujaa gesi.
sawa mkuukacheck vidonda vya tumbo.
Boss ,mtaani kwenu Kuna wachawii ??? Kama wapo yule mzee aliepanda hewani kashazibua mtaroo huoonimepata mkuu,lakini pia huko choon nikiingia kabla ya kutoa haja naachia mabomu ya hatari.
asante mkuuUsiogope, wewe ni kiumbe hai. Sifa mojawapo ya kiumbe hai ni kuitikia vichocheo.
Cha msingi epuka kunywa vimiminika sambamba na milo yako. Hakikisha kuna muda wa kutosha kati ya mlo na unywaji wa maji (zisipungue dakika 45). Yaani usile wakati huo huo unakunywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nilikuwa najamba ushuzi unanuka ila toka jana nikijamba sisikii harufu.Unapojamba unajamba ushuzi unanuka au unatoa tu upepo prrrr?
Mfano kukiwa na watu ukiondoa ile sauti ya ushuzi prrr kuna harufu
Yeyote kali inayoambatana na huo ushuzi au ni kijambo tu mkuu?
Hahaa bibi yangu alikua anamsemo wake anasema kiluga(kizigua) AKUSULA NA ANYE yn anayejamba atakunya ko sometime ukiona unajamba sana inabidi uende chooni ukanye.Izo siku zote ulipata choo?
nenda kanye
Unataka ujambeje ili uone ni kawaida?kujamba kwangu sio kwa kawaida.
Sina muda mchafu we kunguniAl Islam huadyn uladh baa sallahu biyh.
Tafuta maana ya statement hii uongoke kaka. Ukafiri sio issue!