Hata kama itakuwa ni gesi basi anavyojamba si ndo anaitoa? Kwa hiyo mwache ajambe tu.Sasa huyu amesema imepitiliza mkuu ndo maana nasema inaweza kuwa gesi hiyo au hujaona alichokiandika mkuu
Hata kama itakuwa ni gesi basi anavyojamba si ndo anaitoa? Kwa hiyo mwache ajambe tu.Sasa huyu amesema imepitiliza mkuu ndo maana nasema inaweza kuwa gesi hiyo au hujaona alichokiandika mkuu
hapo pa wanawake kwamba wanaongoza kujizuia huo utafiti uliufanyia wapi
Hata kama itakuwa ni gesi basi anavyojamba si ndo anaitoa? Kwa hiyo mwache ajambe tu.
uko sawa kabisa wanawake kutokana na sex hormones zao (estrogen/progesterone) huwa wana muscles laini (soft) kuliko wanaume. by soft muscles means wana soft sphincters ambazo ni rahisi kuruhusu hewa (ushuzi) kupenya na kutoka kilaini kulinganisha na wanaume ambao sphincter muscles zao zimekaza (tight) kutokana mazoezi na aina ya sex homoni zao (androgen). Lakini pia wanawake huwa wanapenda kulakula na kuchanganya vyakula vinavyozalisha gesi ntuingiWANAWAKE HUJAMBA MARA NNE ZAIDI YA WANAUME KWA SIKU.
YAAN KAMA MWANAUME ANAJAMBA KWA WASTANI MARA 3 KWA SIKU, BASI MWANAMKE ANAJAMBA MARA 12.
Huu ni utafiti wa kisayansi ulioofanywa na madaktari wakufunzi wa Cambrige University 2009.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mmh! Come again muchihaya!!Endogenous sources - it is produced within the gut. Gas may be produced as a by-product of digestion of certain foods, or when foods are not digested completely. Anything that causes food not to be digested completely by the stomach and/or small intestine can cause flatulence when it reaches the large intestine.
Kwangu Mimi hutokea Muda wowote baada ya kula tu..chakula chochote kile..Hilo tatizo linaitwa INDIGESTION kwa lugha teule. Kama alivyogusia huyo mrembo hapo juu, tatizo hili linatokana na vyakula ambavyo vinapokuwa tumboni haviyeyushwi ipasavyo/vinayeyushwa nusu nusu (partial digestion)...
Ok, je umeshawahi kuacha "kuutwanga" kwa muda wa cku kadhaa na ukaona changes? Kama ndio zielezee!Kwangu Mimi hutokea Muda wowote baada ya kula tu..chakula chochote kile..
Ingawaje pia Mi ni Mtu wa Kitwanga kwa sana..
Nimeacha nina mwezi lakin bado hali ni ileileOk, je umeshawahi kuacha "kuutwanga" kwa muda wa cku kadhaa na ukaona changes? Kama ndio zielezee!
Jaribu kufanya hivi, kila asubuhi unapoamka kabla hujala chochote wala kupiga mswaki kunywa maji kama lita moja, maji ya kwaida tu yasiwe yabaridi wala yasiwe ya moto, ya kwaida tu, iwe tabia yako kila siku, itakusaidia sana mkuu naamini hilo tatizo litaisha na hutopata magonjwa ya tumbo kamwe, sema kwa siku za mwanzo itakupa tabu kidogo ila ukizoea mambo yatakuwa mazuri na hutolalamika tena.Habari nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi na kupelekea kujamba Sana, Hali hii inanisumbua Sana na kunikosesha raha haswa nikiwa kazini na ikitokea nikijibana tumbo linauma na kuunguruma Sana mwisho nitaharisha na kupata maumivu makali sehemu za haja kubwa
Hali hii imeanza kama miez mitatu iliyopita kama Kuna ushauri au dawa nisaidieni nimalize hili tatizo