Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Pole kwa tatizo kwa sababu ni wa kiume jitahidi kula vyakula visivyo jaza gas sana tumboni kama karanga,njugu kula kwa wastani.

vilevile tumia vitunguu swaumu punje mbili kila asubuhi kwa wiki hivi ili mzunguko wa damu uongeze unywe na maji mengi ila utaendelea kujamba kama kawaida ila baadae itapungua kwa dawa za hospitalini tumi magenisium.

Ungekua mwanamke bila shaka tungesema una michezo ya nyuma maana huwa huwana dogo na aibu hawana.
 
Itoshe kusema unasumbuliwa na madonda ya tumbo. Namna ya kushughulika na madonda ya tumbo ikiwemo kuachana na aina nyingi ya vyakula ndo tiba yako ya kudumu.
 
MMkA
Ndugu zangu sina haja ya kusema ooh kuna rafiki angu anataka msaada nooooo Ni mie mwenyewe ndio mwenye tatizo.

Picha linaanza mi ni mkaka wa miaka 27, mnene kilo 80 hivi. Tatizo langu najamba sana yani kwa siku najamba hata mara 500. Tatizo hili lina mwaka sasa Mpaka naogopa kukaa kaa na watu,

Nina mijambo ya aina 2...

Kuna ule wa kimya kimya: Huu sio tatizo cuz hauna sauti ila tatizo linaanzia kwenye harufu aisee watajua ni mie tu harufu ni kali sana.

Kuna ule wa sauti: Huu buana yani ni sabufa yani hauna siri

Hili tatizo linaninyima raha nimebadili mpaka aina ya chakula ila wapi. Tena ukitaka nijambe mpaka nichoke niwe nimeshiba aisee huo mjambo wake sio wa Dar hii...

Kuna kipindi niliona bora nishindage njaa tu niwe nakula usiku kiukweli ilisaidia pakubwa cuz nilipunguza kujamba jamba ila njaa njaa jamani njaa kuvumilia hii kitu haiwezekani...

Nimeshakula baadhi ya dawa ila wapi Mjambo upo na mie tu.

Kuna wakati hujambi ila unasikia tumbo linanguruma aina ya sauti tumboni sijui ni GESI inanisumbua khaa yani mtu akisikia anajua unajamba kumbe ni tumbo lina kruuu kruuu kruuu puuuu puuuu...

Nisaidieni kama Kuna mtu anajua Tiba,ushauri nk aniambie..

Nisaidieni kama Kuna mtu anajua Tiba,ushauri nk aniambie...
Tatizo linaanzia hapo kwenye 'Mkaka' na ndo Maana unajamba hovyo, achana na hizo pigo dogo
 
Tatizo linaanzia kwenye "mkaka" "khaa" "na mie", badili muandiko kwanza mtoto wa kiume wewe

Kingine huo uzito punguza, unakua na kilo 800 wewe ni Mwakalebela?
Mwanaume ndo alivyokwambia!?
 
Amka mapema unywe maji vugu vugu glasi mbili ..changanya na asali kidogo na habat sawda.. ..

Utajamba..uende miayo na baada ya MDA mfupi itakwenda haja kubwa.

Wiki tu ..Safi Ila punguza ulafi na mivyakula yenye asid!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Nilipoiona Post Hii Nikadhani Ni Mimi Nilipost ila nimesahau..

Sijakanyaga Jukwaa hili tangu Mwaka jana lakini Leo Nimekuja ili nimepost kitu hichohicho Ulichopost wewe..

Ninateseka kwa ukweli mpaka mkewangu ananichukia kila asubuh najamba hatari, nikila tu kosa..
Nikiwa na marafiki zangu tumbo linaunguruma Kama Tarumbeta..

Nahitaji Msaada..
Ushapata msaada?
 
Back
Top Bottom