Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Habari zenu ndugu zangu.

Ebana toka juzi sijielewi elewi, najikuta najamba sana,s ijisikii kuumwa chochote bali najamba sana tu. Nimeshindwa kung'amua tatizo linalonisibu coz najamba tu bila sababu, yani nikiwa peke yangu naachia mabomu hayo mpaka najiogopa.
Tatizo linaweza likawa ni nini ndugu zangu?
"don't be afraid to fart when urinating, as it is normal for rains to be accompanied by thunderstorms" anonymous.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WANAWAKE HUJAMBA MARA NNE ZAIDI YA WANAUME KWA SIKU.

YAAN KAMA MWANAUME ANAJAMBA KWA WASTANI MARA 3 KWA SIKU, BASI MWANAMKE ANAJAMBA MARA 12.

Huu ni utafiti wa kisayansi ulioofanywa na madaktari wakufunzi wa Cambrige University 2009.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hiyo sawa,mwili wa mwanamke Ni laini zaidi kuliko wa mwanaume, hata sphincter yake sio imara kuliko ya kiume, lakini pia huwa wanapenda kula vyakula vinavyozalisha gesi nyingi kuliko wanaume
 
Habari nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi na kupelekea kujamba Sana, Hali hii inanisumbua Sana na kunikosesha raha haswa nikiwa kazini na ikitokea nikijibana tumbo linauma na kuunguruma Sana mwisho nitaharisha na kupata maumivu makali sehemu za haja kubwa Hali hii imeanza kama miez mitatu iliyopita kama Kuna ushauri au dawa nisaidieni nimalize hili tatizo
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?
Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa unaweza kuzihisi mara kwa mara kila siku.
NUKUU: Hali ya kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa usagaji chakula tumboni mwako.
Je, Nini Dalili Za Tatizo Hili?
Watu wengi wenye tatizo hili wanaweza kuwa na dalili moja au zaidi, nazo huwa kama ifuatavyo:
Tumbo kujaa gesi wakati anapokula chakula
Tumbo kujaa gesi muda mrefu
Kuhisi maumivu ya tumbo la juu
Kuhisi kiungulia juu ya tumbo
Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara na kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kuhisi kichefuchefu na kutaka kutapika
NUKUU: Wakati mwingine watu wanaosumbuliwa na tatizo hili pia hupatwa na kiungulia, lakini health talk na jesca inasaema kumbuka kuwa kiungulia au chakula kutokumeng’enywa tumboni huwa ni hali mbili tofauti. Kiungulia huwa ni moto au maumivu unayoyahisi katikati ya kifua chako ambayo yanaweza kupenya mpaka kwenye shingo yako au mgongoni mwako wakati ama baada ya kumaliza kula.
Je, Nini Husababisha Chakula Kutokumeng’enywa Tumboni?
Chakula kutokusagwa au kumeng’enywa tumboni husababishwa na vyanzo vingi. Mara nyingi health talk na jesca inaeleza hali hii hutokana na mtindo wa maisha ya muhusika mwenyewe, hasa katika matumizi ya vyakula, vinywaji au madawa ya vidonge anayoyatumia. Visababishi vya tatizo hili huwa kama ifuatavyo:
Vyakula vyenye mafuta mengi sana, kama vile chips, roast, nk.
Vyakula vilivyokobolewa kama vile, ugali wa sembe, maandazi, chapati, nk
Utumiaji wa nyama mara kwa mara
Vinywaji vyenye caffeine nyingi,kama vile pombe, kahawa, nk
Uuaji wa chokleti,
Uvutaji sigara
Kuwa na wasiwasi
Mazoea ya kula au kula haraka haraka bila kujali kutafuna chakula vizuri
Na kuto kutafuna chakula vizur na kulainika huwa ndiy chanzo kinaanzia haapo mdomon
Matumizi ya madawa ya vidonge vya antibiotic au vyenye kupunguza maumivu mwili mwako kama vile panadol, nk. Yafaa sana kupata ushauri kwanza wa daktari kabla hujatumia madawa hayo.
Kwan tambua madawa huwa ni kuzuia maambukizi yasiendelee
Wakati mwingine hali ya chakula kutokumeg’enywa tumboni husababishwa na magonjwa au matatizo yanayokuwa tumboni mwako kama vile:fuatana nami
Vidonda vya tumbo
Uvimbe tumboni(Gastritis)
Mawe ya figo
Kuvimba kwa kongosho
Saratani ya tumbo
Utumbo kuziba
Kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye utumbo mwembamba(intestinal ischemia)
Je, Nini Madhara Ya Chakula Kutokusagwa Tumboni?
Kwa kawaida tatizo hili linapodumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa ufumbuzi, basi linaweza kusababisha madhara yafuatayo katika mwili wako:
1.Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo
2.Mgongo au kiuno kuuma
3.Miguu, au mikono kufa ganzi
4.Mwili kuchoka mara kwa mara
5.Kukosa hamu ya kula
6.Macho kushindwa kuona vizuri
7.Mapigo ya moyo kwenda mbio
8.Kichwa kuuma
9.Kutojisikia raha na kukosa amani
10.Viungo kuchoka na kijisikia uchof / uchakavu wa viungo
 
Ndugu zangu sina haja ya kusema ooh kuna rafiki angu anataka msaada nooooo Ni mie mwenyewe ndio mwenye tatizo.

Picha linaanza mi ni mkaka wa miaka 27, mnene kilo 80 hivi. Tatizo langu najamba sana yani kwa siku najamba hata mara 500. Tatizo hili lina mwaka sasa Mpaka naogopa kukaa kaa na watu,

Nina mijambo ya aina 2.

Kuna ule wa kimya kimya: Huu sio tatizo coz hauna sauti ila tatizo linaanzia kwenye harufu aisee watajua ni mie tu harufu ni kali sana.

Kuna ule wa sauti: Huu buana yani ni sabufa yani hauna siri

Hili tatizo linaninyima raha nimebadili mpaka aina ya chakula ila wapi. Tena ukitaka nijambe mpaka nichoke niwe nimeshiba aisee huo mjambo wake sio wa Dar hii...

Kuna kipindi niliona bora nishindage njaa tu niwe nakula usiku kiukweli ilisaidia pakubwa cuz nilipunguza kujamba jamba ila njaa njaa jamani njaa kuvumilia hii kitu haiwezekani...

Nimeshakula baadhi ya dawa ila wapi Mjambo upo na mie tu.

Kuna wakati hujambi ila unasikia tumbo linanguruma aina ya sauti tumboni sijui ni GESI inanisumbua khaa yani mtu akisikia anajua unajamba kumbe ni tumbo lina kruuu kruuu kruuu puuuu puuuu...

Nisaidieni kama Kuna mtu anajua Tiba,ushauri nk aniambie...
 
Ndugu zangu sina haja ya kusema ooh kuna rafiki angu anataka msaada nooooo Ni mie mwenyewe ndio mwenye tatizo.

Picha linaanza mi ni mkaka wa miaka 27, mnene kilo 80 hivi. Tatizo langu najamba sana yani kwa siku najamba hata mara 500. Tatizo hili lina mwaka sasa Mpaka naogopa kukaa kaa na watu,

Nina mijambo ya aina 2...

Kuna ule wa kimya kimya: Huu sio tatizo cuz hauna sauti ila tatizo linaanzia kwenye harufu aisee watajua ni mie tu harufu ni kali sana.

Kuna ule wa sauti: Huu buana yani ni sabufa yani hauna siri

Hili tatizo linaninyima raha nimebadili mpaka aina ya chakula ila wapi. Tena ukitaka nijambe mpaka nichoke niwe nimeshiba aisee huo mjambo wake sio wa Dar hii...

Kuna kipindi niliona bora nishindage njaa tu niwe nakula usiku kiukweli ilisaidia pakubwa cuz nilipunguza kujamba jamba ila njaa njaa jamani njaa kuvumilia hii kitu haiwezekani...

Nimeshakula baadhi ya dawa ila wapi Mjambo upo na mie tu.

Kuna wakati hujambi ila unasikia tumbo linanguruma aina ya sauti tumboni sijui ni GESI inanisumbua khaa yani mtu akisikia anajua unajamba kumbe ni tumbo lina kruuu kruuu kruuu puuuu puuuu...

Nisaidieni kama Kuna mtu anajua Tiba,ushauri nk aniambie...
Tatizo linaanzia kwenye "mkaka" "khaa" "na mie", badili muandiko kwanza mtoto wa kiume wewe

Kingine huo uzito punguza, unakua na kilo 800 wewe ni Mwakalebela?
 
Tatizo linaanzia kwenye "mkaka" "khaa" "na mie", badili muandiko kwanza mtoto wa kiume wewe

Kingine huo uzito punguza, unakua na kilo 800

Tatizo linaanzia kwenye "mkaka" "khaa" "na mie", badili muandiko kwanza mtoto wa kiume wewe

Kingine huo uzito punguza, unakua na kilo 800 wewe ni Mwakalebela?
Tatiz0 linaanzia wewe kuona kilo 800....!
 
Back
Top Bottom