Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

Damu yako ina cholesterol (mafuta mengi)

You have elevated blood sugar levels.

Fanya mazoezi na upunguze vyakula vya mafuta na wanga katika mlo wako.
 
Fanya matizi, kunywa maji mengi, punguza mafuta, nyoa mafuzi ya kwenye kwapa!
Plus usisahau kupaka deodorant nzuri ili hata ukiwa unasweat hauharibu mazingira
 
Fanya matizi, kunywa maji mengi, punguza mafuta, nyoa mafuzi ya kwenye kwapa!
Plus usisahau kupaka deodorant nzuri ili hata ukiwa unasweat hauharibu mazingira
Ha ha ha, mkuu mav*z ya kwenye kwapa,
 
Daah watu wanateseka jamani. Uoande wangu ni kua kila siku mimi nasikia baridi yaani na jua hilo la dar ila hua natembea na sweta au koti la ziada. Viganja na miguuu hua vya baridi sana
 
Huanzia mwili wote japo usoni nakuwa kama nimemwagiwa maji cha ajabu adi watoto wangu wadogo hali iko hivo
Wamerithi. Ni hyperhidrosis. Inaathiri 3% ya population duniani. Nami nina hilo tatizo. Mimi nimerithi kwa mama yangu, naye alirithi kwa baba yake.
 
umewahi kuchoma hii botox injection?
 
Ninapenda sana hesabu ila swali linaponishinda ninatokwa na jasho jingi usoni hata kama kuna baridi kali, tatizo ni nini?
 
Dah Asante sana ndugu mwandishi...... Commented today on 23/11/2023
 
Vipi kuhus kutumia feni kupoza mwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…