Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check Sukari mkuuAsalaam Aleykum, Wana JamiiForum
Naombeni msaada jamani wa hali hii, kwakweli ninateseka Sana.
Yaani kwapa langu ni rahisi sana kulowa jasho.
Mwenye ushauri wa tiba ya kudumu, aniambie.
Wakuu, Maoni tafadhali,
Asante mkuu,usiwe unapaka mafuta na uwe unafanya mazoez sana mwili wako una maji mengi
Sawa mkuu, nitalifanyia kazi. AsanteDamu yako ina cholesterol (mafuta mengi)
You have elevated blood sugar levels.
Fanya mazoezi na upunguze vyakula vya mafuta na wanga katika mlo wako.
Ha ha ha, mkuu mav*z ya kwenye kwapa,Fanya matizi, kunywa maji mengi, punguza mafuta, nyoa mafuzi ya kwenye kwapa!
Plus usisahau kupaka deodorant nzuri ili hata ukiwa unasweat hauharibu mazingira
Ndio mjuba. Hata kwapa n sehem ya siriHa ha ha, mkuu mav*z ya kwenye kwapa,
Daah watu wanateseka jamani. Uoande wangu ni kua kila siku mimi nasikia baridi yaani na jua hilo la dar ila hua natembea na sweta au koti la ziada. Viganja na miguuu hua vya baridi sanasinajinasasa hukiwa huna tatizo utasema kama ww tuu hiyo hyperdydrosisi isikie tuu nilishawah kwenda kairuk kwa dktar bingwa akasema hk tz hawatibu inatibika kwa surgery mm ninayo n kero zaidi ya kero 🤮🤮🤮 mm sisikii barid hiyo moja pili nikinywa maji nisipokaa kwenye feni nguo zote zinalowa kama nmeloweka kwenye maji na nikiwa nacheza mpira wa miguu bas jasho utirirka kama unavoona matone ya mvua yanavodondoka piah jasho linajaa kwenye six meno ile ya mpira nakuwa kama nmekanyaga kwenye bwawa la maji mind u nakunywa maji approximately 4 litres per day pasipo feni silali kabisa na hata kuwe na baridi vip sisikii sometimes nikitoka kuoga baada ya kujifuta maji tuu nasweat hapo hapo nikitembea juan ndo kero ............nikiwa sekondary nilipewa siti ya nje ya darasa karibu na dirisha nilikuwa sikai ndan hata kidogo la sivyo ntalowana chapachapa na kiti kitalowana 🤒🤒🤒 chochote kitu cha moto chai ugali mboga sili mpaka vipoe vingnevyo feni iwepo hi isikie tuu hyperhydrosis n zaid ya oversweating
Wamerithi. Ni hyperhidrosis. Inaathiri 3% ya population duniani. Nami nina hilo tatizo. Mimi nimerithi kwa mama yangu, naye alirithi kwa baba yake.Huanzia mwili wote japo usoni nakuwa kama nimemwagiwa maji cha ajabu adi watoto wangu wadogo hali iko hivo
umewahi kuchoma hii botox injection?sinajinasasa hukiwa huna tatizo utasema kama ww tuu hiyo hyperdydrosisi isikie tuu nilishawah kwenda kairuk kwa dktar bingwa akasema hk tz hawatibu inatibika kwa surgery mm ninayo n kero zaidi ya kero [emoji2961][emoji2961][emoji2961] mm sisikii barid hiyo moja pili nikinywa maji nisipokaa kwenye feni nguo zote zinalowa kama nmeloweka kwenye maji na nikiwa nacheza mpira wa miguu bas jasho utirirka kama unavoona matone ya mvua yanavodondoka piah jasho linajaa kwenye six meno ile ya mpira nakuwa kama nmekanyaga kwenye bwawa la maji mind u nakunywa maji approximately 4 litres per day pasipo feni silali kabisa na hata kuwe na baridi vip sisikii sometimes nikitoka kuoga baada ya kujifuta maji tuu nasweat hapo hapo nikitembea juan ndo kero ............nikiwa sekondary nilipewa siti ya nje ya darasa karibu na dirisha nilikuwa sikai ndan hata kidogo la sivyo ntalowana chapachapa na kiti kitalowana [emoji855][emoji855][emoji855] chochote kitu cha moto chai ugali mboga sili mpaka vipoe vingnevyo feni iwepo hi isikie tuu hyperhydrosis n zaid ya oversweating
hapana sijawahumewahi kuchoma hii botox injection?
tell me more about itumewahi kuchoma hii botox injection?
Dah Asante sana ndugu mwandishi...... Commented today on 23/11/2023
---
---
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILITatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni:
Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS.
Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe automatic kwenye sweatglands ili kupunguza joto.Unapokuwa na hyperhydrosis hizi nervesystem zina kuwa zinafanya kazi pasipo na mpangilio na zinatuma ujumbe wakati wote kwahio jasho linatoka hata kama mwili hauna joto.
Hali hio pia inaweza kusababishwa na mtu kuwa na sukari ya chini,hyperthyroidism au side effects za dawa.
Zipo njia tofauti za kutibu kama.
Hizo njia nilizokutajia zinapunguza dalili za ugonjwa huo lakini haziondoi tatizo,njia kama za upasuaji na umeme sidhani kama
- Aluminium chloride solution ambayo unaweka kwenye viganja vya mikono na miguu.
- Potassium permanganate.
- Nimeshawahi kuona botox ikitumika pia lakini ni tiba ya muda hali hio hujirudia.
- Iontophoresis:Njia inayotumia kupitisha maji chini ya ngozi kwa kutumia umeme.
- Upasuaji kwenye nerve ambazo zinahusika na jasho.
zinatumika!
View attachment 1485187
UFAFANUZI WA TATIZO HILI ULIOTOLEWA NA WADAU
---
---
---
===
USHAURI WA NAMNA YA KUTIBU TATIZO HILITiba mbadala ya kutokwa na jasho lisilo la kawaida, kwapani, usoni, viganjani n.k
Mwili wa binadamu hutoka jasho fulani jingi ukiwa upo katika mazingira ya jotoridi lililozidi kiwango, mwili unapokuwa katika kiwango fulani cha shughuli ya kukufanya utokwe jasho zaidi na wakati mwingine ukiwa na stress ya jambo fulani.
Sasa jasho linapotoka muda wowote bila activity, stress wala joto kuwa jingi basi kuna hitilafu.
Kitaalam hali hii ya kutokwa jasho kusiko kawaida kwa lugha ya kiingereza wanaita hyperhidrosis, hali hii huathiri baadhi ya maeneo mwilini hasa hasa usoni, kwapani, viganjani na kwenye nyayo.
Wataalam wanasema tatizo hili ni kijenetiki yaani linaweza kurithiwa. Tatizo la kutokwa jasho huchangiwa na overactivity kwenye neva jambo linalosababisha kutrigger tezi jasho.
Vichochezi ni pamoja na, matumizi ya madawa fulani fulani, kitambi, madawa ya kulevya ikiwemo pombe, kiwango cha chini cha sukari, malaria, kifua kikuu, shinikizo la damu na upungufu la virutubisho mwilini.
Tatizo la kutokwa jasho jingi humfanya mhusika ajisikie aibu na wakati mwingine mfadhaiko, wasiwasi na kujitenga, habari nzuri ni kuwa zipo tiba mdabala zinazopatikana kwa unafuu na urahisi ambazo mhusika anaweza kutumia nyumbani na kuondokana na kutokwa jasho jingi iwe viganjani, usoni, kwapani ama kwenye nyayo za miguu.
APPLE CIDER VINEGAR
Hii hupatikana madukani, mini supermakets ama kwenye supermarkets. Inafanya kazi kwa ufanisi kushughulikia tatizo la kutokwa jasho sababu ni kituliza nafsi cha asili kabisa,
Unaweza kuchagua kati ya yafuatayo:
1.Safisha eneo linalotokwa jasho kisha tumia pamba ama kitamba kisafi cha pamba kupaka apple cider vinegar kwenye hilo eneo, iwe viganjani, kwapani, nyayo ama usoni iache usiku mzima ( kama una ngozi sensitive na changanya maji na apple cider vinegar viwango sawa) baada ya kuoga asubuhi paka baby powder kwenye hilo eneo.
2. Changanya viwango sawa vya apple cider vinegar na maji ya uaridi ( Rosewater) na kupaka eneo linalotokwa jasho jingi, mara 2 hadi 3 kwa siku.
3.Tengeneza mchanganyiko wa wa apple cider vinegar kijiko 1 ama 2, asali mbichi kijiko 1 na maji vuguvugu glasi moja kunywa mara mbili kwa siku.
Apple cider vinegar ina manufaa mengi kiafya na pia inapambana na kitambi.
WANGA WA MAHINDI
Tiba Mbadala nyingine ni wanga wa mahindi, wanga wa mahindi unaweza kuutengeneza mwenyewe kutoka kwenye unga wa mahindi, ama kununua sokoni changanya viwango sawa vya wanga wa mahindi na baking soda, weka kwenye chupa ya powder, itumie kama powder maeneo yanayotoka jasho jingi.
MALIMAO
Malimao yapo masokoni na wengine wamepanda majumbani, ni tiba asilia ya majasho yanayotoka kwa wingi na pia inafukuza backteria wabaya, iko hivi
1.Kamua limao moja na lichanganye na baking soda vizuuri, futa jasho kwenye maeneo husika kisha paka, subiri dakika kumi ukiwa umepaka kisha safisha maeneo husika, fanya hivi mara moja kwa siku
2.Ama unaweza safisha maeneo husika chukua kipande cha limao lidondoshee chumvi na kisha paka kwenye hayo maeneo, kufanya hivi hupunguza utendaji kazi wa tezi jasho
NYANYA
Nyanya! huenda tunazitumia kila siku kwenye mboga, chakula, kwenye salad, Juisi na kadhalika lakini nyanya ni zaidi ya kiungo ni kituliza nafsi na inasaidia kurekebisha kutokwa jasho jingi ama hyperhidrosis kama wataalam wanavyoita.
Iko hivi,
1.Kata vipande viwili vya nyanya na paka sehemu husika subiri dakika 10 hadi 15 kisha safisha na maji ya uvugu vugu.
2.Ama unaweza kusaga juisi ya nyanya na kupaka sehemu husika subiri dakika 10 hadi 15 kisha safisha na maji ya uvugu vugu.
3.Ama unaweza kunywa kikombe cha juisi ya nyanya kila siku kisha ukiona tatizo linaanza kuondoka basi punguza na anza kunywa kila wiki, kisha nipigie na kusema asante.
MAJANI YA CHAI
Wengi hatufahamu lakini tumebarikiwa na majani ya chai Afrika ambayo pia ni ina ufanisi katika kuondoa hili tatizo la kutokwa na jasho hovyo,
Lowesha majani ya chai ama chukua majani ya chai yaliyotumika kisha pakaa kama hina kwenye viganja vya mikono na kuloweka miguu kwenye beseni lenye mchanganyiko wa maji ya vuguvugu na majani ya chai kibao walau kila siku kwa dakika 30, siyo tu ngozi ya miguu itakuwa laini pia tatizo la jasho miguuni litatoweka, usisahau kunywa chai ya sturungi asubuhi na jioni.
EPUKA
1.Vyakula vya pilipili
2.Mafuta ya mgando na mengineyo ya mwili yenye viambatanishi vya petroleum
Usisahau Kunywa maji mengi na yakutosha kila siku.
BAADHI YA USHAURI NA MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU WA JF
---
---
sijawah ni hospital gan wanachoma na bei yake ikojeumewahi kuchoma hii botox injection?
Vipi kuhus kutumia feni kupoza mwili?