Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga, uvutaji wa sigara, unywaji wa vilevi...
Tafakari, chukua hatua..
Asante Doctor wangu gorgeousmimi huu ndio ugonjwa wangu mimi hapa nilipo ninatoka maji kwenye viganja vya mikono na nyayoni pasipo na sababu yoyote ile maji kila wakati kwenye viganja na kwenye nyayo hongera bibi.Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS.
Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe automatic kwenye sweatglands ili kupunguza joto.Unapokuwa na hyperhydrosis hizi nervesystem zina kuwa zinafanya kazi pasipo na mpangilio na zinatuma ujumbe wakati wote kwahio jasho linatoka hata kama mwili hauna joto.
Hali hio pia inaweza kusababishwa na mtu kuwa na sukari ya chini,hyperthyroidism au side effects za dawa.
Zipo njia tofauti za kutibu kama
Hizo njia nilizokutajia zinapunguza dalili za ugonjwa huo lakini haziondoi tatizo,njia kama za upasuaji na umeme sidhani kama zinatumika!
- Aluminium chloride solution ambayo unaweka kwenye viganja vya mikono na miguu.
- Potassium permanganate.
- Nimeshawahi kuona botox ikitumika pia lakini ni tiba ya muda hali hio hujirudia.
- Iontophoresis:Njia inayotumia kupitisha maji chini ya ngozi kwa kutumia umeme.
- Upasuaji kwenye nerve ambazo zinahusika na jasho.
Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS.
Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe automatic kwenye sweatglands ili kupunguza joto.Unapokuwa na hyperhydrosis hizi nervesystem zina kuwa zinafanya kazi
pasipo na mpangilio na zinatuma ujumbe wakati wote
kwahio jasho linatoka hata kama mwili hauna joto.
Hali hio pia inaweza kusababishwa na mtu kuwa na sukari ya chini,hyperthyroidism au side effects za dawa.
Zipo njia tofauti za kutibu kama
Hizo njia nilizokutajia zinapunguza dalili za ugonjwa huo lakini haziondoi tatizo,njia kama za upasuaji na umeme sidhani kama zinatumika!
- Aluminium chloride solution ambayo unaweka kwenye viganja vya mikono na miguu.
- Potassium permanganate.
- Nimeshawahi kuona botox ikitumika pia lakini ni tiba ya
muda hali hio hujirudia.- Iontophoresis:Njia inayotumia kupitisha maji chini ya ngozi kwa kutumia umeme.
- Upasuaji kwenye nerve ambazo zinahusika na jasho.
Nimeshawahi kutumia hizo drysol (Aluminium chloride solution na Potassium permanganate) bila mafanikio yeyote Botox ni temporary solution na ni gharama sana huku Iontophoresis inaelezwa kuwa njia bora zaidi ya kutibu na salama lakini sijui mahala wanapotoa huduma hii bongo