Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

achana na sheria mkonon mi ni vile nipo kweny foreplay nikianza mchezea demu tu vinaanzatoka vimajimaj ya sperms
Uko vizuri,sema unakuwa na wasiwasi, Mimi nikiwa na umri kama huo ,nikiwa na Ahadi na demu,akija ghetto kule kumuona tuu, zilikuwa zinatoka kama kilo nzima,!Nikashauriwa na uncle wangu nipate demu wa kulala nae usiku mzima,nikampata,eeh Bwana eeh,kumbe ulikuwa upwiru! Kumbe huo umri haitakiwi ukae wiki nzima,kama ni wiki basi uwe unafanya kazi nzitonzito au mazoezi!
 
Kawaida hiyo ata mie mwenye nikipapasa paja ya mrembo wadhungu hao wanatiririka
 
Ok kumbe hatuli mbususu vyakutosha ndio maana. Tatizo sasa hawa kenge mbususu zao zimepanda bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…