Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

Baada ya kutengeneza hiyo mixture unaitumiaje sasa? Unakunywa au unadondoshea kwenye masikio?

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Ukiwa tayari na hizo items, chukukua majani ya bangi na ile mimea jamii ya katani grind them together mpaka viwe rojo kisha changanya na yale mafuta yetu ya habbat sauda na kuku kwa muda wa masaa matatu kisha squeeze them perfectly kwenye chombo kisafi na hakikisha hakuna sold particles wala suspension yeyote iliyobaki kwenye hicho kimiminika.

Baada ya hapo utapata miscible solution ambayo ndiyo itakuwa required kwajili ya matibabu ya ugonjwa wetu.

Namna ya ku apply dawa;
Utamimina portion ndogo ya dawa yetu kwenye lile jumba la konokono kisha unamimina kwenye masikio yote mawili.
Anza kumimina dawa kwenye sikio lisiloumwa egesha kwa juu sikio husika ili dawa iingie ndani kabisa.
Kaa hivyohivyo dakika15 kisha weka tena dawa kwenye sikio linaloumwa na ukae tena dk15 ndipo uruhusu kichwa kukaa katika hali ya msawazo wa kawaida.

Dawa hii itasaidia sana watu wengi.

Hakikisha unawekwa dawa na mkono wa mtu yuleyule daily.

Asanteni sana wakuu na hakikisheni mnafanyia kazi ushauri wangu na wadau wengine!
 
yani miaka ya quinine imetuathiri wengi sana..
mimi rafiki yangu simu sitakagi kuwakera watu walkojaliwa masikio yao mazuri

mambo ya kukaa unatetwa hapo hapo siwezi, halafu wao wanaonaga kama ni furaha vile
Nakumbuka nilishawahi kutumia quinine mara mbili tu katika maisha yangu.
Tena nilimeza tembe zile nyeupe awamu ya kwanza na baadae niliumwa tena nikameza zile za pale pinc. Siwezi kuwa realistic kwamba ndizo zimeniletea madhara haya!? nilitumia quinine mara ya mwisho mwaka 2013/2014 sielewi kivipi madhara niyapate mwaka huu?!!
Ipo haja ya kufanya utafiti juu ya hili ili ikibainika tuwashitaki watengenezaji wa hii dawa.
 
Baada ya kutengeneza hiyo mixture unaitumiaje sasa? Unakunywa au unadondoshea kwenye masikio?

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
Tambaa na thread mkuu nimeweka muendelezo wa maelezo mpaka mwisho.
Soma na fanyia kazi pengine ikawa ya msaada kwako.
 
Poleni wote.Inaonekana kuna tatizo upande wa utaalamu kwa madaktari wrtu kwani wote mnaonekana kutokupata nafuu hata baada ya kuhudhuria hospitali.

Km mtumishi wa umma , omba rufaa Muhimbili u.ende kwa Wahindi huko Pollo, utarekebishwa vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani miaka ya quinine imetuathiri wengi sana..
mimi rafiki yangu simu sitakagi kuwakera watu walkojaliwa masikio yao mazuri

mambo ya kukaa unatetwa hapo hapo siwezi, halafu wao wanaonaga kama ni furaha vile
yaani..ni vile unakuta unamuongelesha lakini kwa bahati mbaya jibu lake hukuliskia vizuri..unakuta anarudia kwa kufoka hadi unajuuta..

na pale mtu anapoambiwa huyu hasikii vizuri doh..unashangaa kila mtu anakuangalia wee.mpaka unajiuliza kuna nini?
but usikate tamaa
Mungu ana sababu zake.
 
yani miaka ya quinine imetuathiri wengi sana..
mimi rafiki yangu simu sitakagi kuwakera watu walkojaliwa masikio yao mazuri

mambo ya kukaa unatetwa hapo hapo siwezi, halafu wao wanaonaga kama ni furaha vile


aic pole sna my dear!ebu uwe positive tu kwa maisha yako!polen wote leo ndo naona shida hzi aic humu!polen tena!
 
We mtu unamatatizo mengi sana ,,,
 
kama ni quinine bora uhangaike sasa..kwani kadri mda utavyoenda na tatizo litazidi..
 
Dah! Mkuu asikwambie mtu hili tatizo mimi pia lilinipata tangu 2012 mpaka leo naskiaga makelele mengi sana lakini nilijitahid mpaka nimemaliza masomo yangu chuo kilimo mpaka leo tatizo ninalo nimeenda kote sijui muhimbili na pengine pengi mpaka hawa wa tiba mbadala lakini wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…